Umeona eeh?Story yako ni nzuri lakini ina typing error nyingi sana.
Nilivyoelewa mimi kuwa Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.Hapa nakubaliana nawewe.. probably YESU liko jina lake la Siri lenye nguvu kuliko walilongangania walokole Sasa hivi
InterestingSwali zuri sana hilo. naamini wengi hawatokuelewa.
Mimi binafsi niliandika jana atuongezee nyama kuhusu hiyo dunia ya "Ramadiyin". Nimeona alichojibu, ni kama nisome, nimepitia alichoambiwa akispome nimekikuta mtandaoni, ni kitabu cha imani za Kihindu cha zamani sana, kweli nikakugta "Rama" bado napitia, nimeona kuwa huyo Rama ni kiumbe kutoka nje na walikuja na mashine yao "UFO". bado nasoma, niseme ni "interesting" - theboss.
Nahisi kama kuna "coce" fulani inafunguka kwa maana ya majina na si lazima jina lote kamili. Hii wwanatumia sana Waarabu, Wayahudi na sasa nimefahamu Wahindu pia wanayo hiyo, tena wao wanaenda mbali zaidi mpaka kutumia herufi moja moja ya kwenye jina kumaaanisha vitu vingi kwa pamoja.
Naendelea kubukuwa.
cc; Corazon Espinado
Ni super kabisa, maana nabukuwa hata siasa nimezikimbia. Au katumwa na upinzani huyu mleta mada?Interesting
Ukiingia Kariakoo, kwa kuwa Kariakoo nzima sasa hivi ni soko na maduka, soma dua hii:Hata mimi nikirudi kariakoo lazima kichwa kiume ingawa najua fika kariakoo pazito sanaaa
Pole sana. Hakuna doctrine hio kwenye theology labda kama unamaanisha majini na ushirikina ambao hauna relevance wala equivalence na Yesu. Hil ndilo jina pekee tunepewa kuokolewa kwalo.Hapa nakubaliana nawewe.. probably YESU liko jina lake la Siri lenye nguvu kuliko walilongangania walokole Sasa hivi
Arsis yupo,Mpaka sahizi upo na arsis au ulishaachana nao?
This is the Truth in Christianity Doctrine.Hakuna manabii wala mitume wa Mungu (Yehova/Elohim) waliohubiria majini. Waka hajuna majin waliofuata mafundisho ya Kristo wala mitume wake hivyo hakuna majini yansyofungamana na ukristo. Huku we casting out the demons kwa mamlaka Ya jina kuu la Yesu. Hatupungi waka kupandisha pepo maaba hatuna ushirika nao wowote.
Ukiona mkristo anafanya hayo, tambua huo ni ushirikina wake binafsi wala hatuna doctrine za kijinga jinga hizo, our God is holly n pure, hachangamani na mapepo wala sisi tunaomuamin na kumfuata hatuna time na mapepo waka majini, si mazuri si mabaya kama myaitavyo.
Kuhani mose, siku hizi sikusikii sana ukipaza sauti yako ya kitume kuitangaza ile dini au Imani yako mpya.Inawezekana...
Kuna kila dalili na ishara yapo malango mengi tu ya 'Maingiliano' ya 'dhahiri-macho' na 'dhahiri--kiini macho' Pwani yote ya Afrika Mashariki--pia maeneo mbalimbali ambayo labda utapata kusikia ni ya 'Matambiko'...
Siku za mbele kidogo, haya tunakwenda kufahamu kiufundi na weledi; ni hapa tu katikati siku hizi za katikati; tathmini inaendelea: 'udadisi' kuhusiana na utayari wa jamii zetu, muktadha akilifu, katika 'usahihi wa dhamirii' ya 'kujiongeza'-- ili waondokane na 'kasumba' na pia 'ushamba' wa 'visomo shobo' vya sayansi ya kimadarasani...
Sasa, swali la maudhi--ikiwa wanajamii hata kuotea visomo vyao vya uchumi na fedha/utaifa na jamii; kwamba vyote vimegubikwa na 'msiba wa kiroho'; kweli wanastahili kuongozewa njia kwenye 'mambo yaliyositirika' kama habari za 'SHIHATA'--ili iweje?
Kwanza, wananchi wanahitaji kufahamu maana na kusudi la 'Mwenge wa Uhuru'... Mengine yatafuatia kwa nafasi yake...
Sasa, unaweza kusikia habari za 'malango ya asili'; mengi yapo mapangoni, ardhini ama sehemu sizizoingilika kwa mwili wa nyama; hayo yanayoweza hata kukutobozesha, uingie na kutokea, siyo tu 'ndani kwa ndani'/'uso kwa uso' mwa 'vitovu vya mwili wa Dunia yetu' bali hata kungine 'nje ya Dunia'--lakini 'malango' yanaweza kutengenezwa kokote na popote na mtu mwenye 'Maarifa/Visomo/Maarifu' na 'Ujuzi Sahihi'...
Lakini, moja--Kuutafuta 'Ufalme wa Mbingu/Mungu na Haki yake, mengine kuzidishiwa' ndiyo ufunguo wa 'Mawalii' wote, na tena kwa ajili ya kustahiki kuyafahamu yote kadiri ya utimilifu wa UTU Bora--Kuutafuta ukaribu na 'Allah'...
Hata mimi nimeipend sana, inabidi mleta mada awe makini na uandishi tu, haijalishi style ipi, asikosee kosee spelling.Story nzuri sana
Mngejiuliza kwanza wenyewe, Jina la Isa mmelitoa wapi wakati sio jina lake halisi.Nilivyoelewa mimi kuwa Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.
Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.
Hii mada nzito sana kuliko tunavyoiona kijuujuu, sijawaahi kuona mada, hapa JF, iliyonifanya nibukuwe kwa haraka haraka kama hii. Nimepata ma 'reference" kibao ya kuchimbuwa, nimepata kipya humu cha "Meritaton.".
Duh! hivi kuna ma reference kibao kila mmoja kaandika chakae kuhusu Meritaton, cha ajabu, bibilia haijaandika sana kuhusu mama yake Yesu, Qur'an imeandika sana kuhusu Mariam, na mleta mada katupa jipya kabisa kutokea kwa "Arsis".
Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.
cc' Corazon Espinado
Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.Pole sana. Hakuna doctrine hio kwenye theology labda kama unamaanisha majini na ushirikina ambao hauna relevance wala equivalence na Yesu. Hil ndilo jina pekee tunepewa kuokolewa kwalo.
Hapa bibi nakubaliana naweweArsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.
Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".
Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?
Umenitamanisha sana, nambie lini "msimu" lini? Nihamie huko Duga mapangoni kwa siku za msimu.kamba wa vidimbwi vya babu hawa, kama sio mlaji, mmoja tu anakutosha. Ni hatari. Mahandakini kuna rutuba ya ajabu, hata samaki wa pwani ya pale sio wengi lakini changu anakua ni changu kweli kweli si mchezo.
View attachment 3076458
Mwulize kwanza Muhammadi alilitoa wapi jina la Isa ?Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.
Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".
Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?
Kwenye Qur'an.Mwulize kwanza Muhammadi alilitoa wapi jina la Isa ?
Wakati sio jina halisi.
Endelea kuyaamini Majini.
Arsis ni Jini
Ahsante mkuu Faiza.Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.
Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".
Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?