Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hapa nakubaliana nawewe.. probably YESU liko jina lake la Siri lenye nguvu kuliko walilongangania walokole Sasa hivi
Nilivyoelewa mimi kuwa Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.

Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.

Hii mada nzito sana kuliko tunavyoiona kijuujuu, sijawaahi kuona mada, hapa JF, iliyonifanya nibukuwe kwa haraka haraka kama hii. Nimepata ma 'reference" kibao ya kuchimbuwa, nimepata kipya humu cha "Meritaton.".

Duh! hivi kuna ma reference kibao kila mmoja kaandika chakae kuhusu Meritaton, cha ajabu, bibilia haijaandika sana kuhusu mama yake Yesu, Qur'an imeandika sana kuhusu Mariam, na mleta mada katupa jipya kabisa kutokea kwa "Arsis".

Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.

cc' Corazon Espinado
 
Swali zuri sana hilo. naamini wengi hawatokuelewa.

Mimi binafsi niliandika jana atuongezee nyama kuhusu hiyo dunia ya "Ramadiyin". Nimeona alichojibu, ni kama nisome, nimepitia alichoambiwa akispome nimekikuta mtandaoni, ni kitabu cha imani za Kihindu cha zamani sana, kweli nikakugta "Rama" bado napitia, nimeona kuwa huyo Rama ni kiumbe kutoka nje na walikuja na mashine yao "UFO". bado nasoma, niseme ni "interesting" - theboss.

Nahisi kama kuna "coce" fulani inafunguka kwa maana ya majina na si lazima jina lote kamili. Hii wwanatumia sana Waarabu, Wayahudi na sasa nimefahamu Wahindu pia wanayo hiyo, tena wao wanaenda mbali zaidi mpaka kutumia herufi moja moja ya kwenye jina kumaaanisha vitu vingi kwa pamoja.

Naendelea kubukuwa.

cc; Corazon Espinado
Interesting
 
Hata mimi nikirudi kariakoo lazima kichwa kiume ingawa najua fika kariakoo pazito sanaaa
Ukiingia Kariakoo, kwa kuwa Kariakoo nzima sasa hivi ni soko na maduka, soma dua hii:

098- Du’aa Ya Kuingia Sokoni, Madukani

لا إلهَ إلاّ اللّه وحدَهُ لا شريكَ لهُ، لهُ المُلْـكُ ولهُ الحَمْـد، يُحْيـي وَيُميـتُ وَهُوَ حَيٌّ لا يَمُـوت، بِيَـدِهِ الْخَـيْرُ وَهوَ عَلىَ كلّ شيءٍ قَدِيرٌ.

Laa ilaaha illa Allaahu Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku wa Lahul-Hamdu, Yuhyiy wa Yumiytu wa Huwa Hayyun laa yamuwtu, Biyadihil-khayru wa Huwa ‘alaa kulli shay-in Qadiyr

Chanzo:
Hapana mwabudiwa wa haki ila Allaah hali ya kuwa Peke Yake, Hana mshirika, ni Wake Ufalme na ni Zake Himdi, Anahuisha na Anafisha, Naye ni Hai Asiyekufa, kheri iko mikononi Mwake, na Yeye juu ya kila kitu ni Muweza[1]
 
Hapa nakubaliana nawewe.. probably YESU liko jina lake la Siri lenye nguvu kuliko walilongangania walokole Sasa hivi
Pole sana. Hakuna doctrine hio kwenye theology labda kama unamaanisha majini na ushirikina ambao hauna relevance wala equivalence na Yesu. Hil ndilo jina pekee tunepewa kuokolewa kwalo.
 
T
Hakuna manabii wala mitume wa Mungu (Yehova/Elohim) waliohubiria majini. Waka hajuna majin waliofuata mafundisho ya Kristo wala mitume wake hivyo hakuna majini yansyofungamana na ukristo. Huku we casting out the demons kwa mamlaka Ya jina kuu la Yesu. Hatupungi waka kupandisha pepo maaba hatuna ushirika nao wowote.
Ukiona mkristo anafanya hayo, tambua huo ni ushirikina wake binafsi wala hatuna doctrine za kijinga jinga hizo, our God is holly n pure, hachangamani na mapepo wala sisi tunaomuamin na kumfuata hatuna time na mapepo waka majini, si mazuri si mabaya kama myaitavyo.
This is the Truth in Christianity Doctrine.
The faith has northing to do with the demons but to cast them out wherever we contact them.
This is the Command from our Lord and Saviour Jesus Christ.
Mathayo (Mat) 10:8
Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.
 
Inawezekana...

Kuna kila dalili na ishara yapo malango mengi tu ya 'Maingiliano' ya 'dhahiri-macho' na 'dhahiri--kiini macho' Pwani yote ya Afrika Mashariki--pia maeneo mbalimbali ambayo labda utapata kusikia ni ya 'Matambiko'...

Siku za mbele kidogo, haya tunakwenda kufahamu kiufundi na weledi; ni hapa tu katikati siku hizi za katikati; tathmini inaendelea: 'udadisi' kuhusiana na utayari wa jamii zetu, muktadha akilifu, katika 'usahihi wa dhamirii' ya 'kujiongeza'-- ili waondokane na 'kasumba' na pia 'ushamba' wa 'visomo shobo' vya sayansi ya kimadarasani...

Sasa, swali la maudhi--ikiwa wanajamii hata kuotea visomo vyao vya uchumi na fedha/utaifa na jamii; kwamba vyote vimegubikwa na 'msiba wa kiroho'; kweli wanastahili kuongozewa njia kwenye 'mambo yaliyositirika' kama habari za 'SHIHATA'--ili iweje?

Kwanza, wananchi wanahitaji kufahamu maana na kusudi la 'Mwenge wa Uhuru'... Mengine yatafuatia kwa nafasi yake...

Sasa, unaweza kusikia habari za 'malango ya asili'; mengi yapo mapangoni, ardhini ama sehemu sizizoingilika kwa mwili wa nyama; hayo yanayoweza hata kukutobozesha, uingie na kutokea, siyo tu 'ndani kwa ndani'/'uso kwa uso' mwa 'vitovu vya mwili wa Dunia yetu' bali hata kungine 'nje ya Dunia'--lakini 'malango' yanaweza kutengenezwa kokote na popote na mtu mwenye 'Maarifa/Visomo/Maarifu' na 'Ujuzi Sahihi'...

Lakini, moja--Kuutafuta 'Ufalme wa Mbingu/Mungu na Haki yake, mengine kuzidishiwa' ndiyo ufunguo wa 'Mawalii' wote, na tena kwa ajili ya kustahiki kuyafahamu yote kadiri ya utimilifu wa UTU Bora--Kuutafuta ukaribu na 'Allah'...
Kuhani mose, siku hizi sikusikii sana ukipaza sauti yako ya kitume kuitangaza ile dini au Imani yako mpya.
Unaweza kutukumbusha.
Inaitwaje.
Na misingi yake ni ipi.
 
Nilivyoelewa mimi kuwa Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.

Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.

Hii mada nzito sana kuliko tunavyoiona kijuujuu, sijawaahi kuona mada, hapa JF, iliyonifanya nibukuwe kwa haraka haraka kama hii. Nimepata ma 'reference" kibao ya kuchimbuwa, nimepata kipya humu cha "Meritaton.".

Duh! hivi kuna ma reference kibao kila mmoja kaandika chakae kuhusu Meritaton, cha ajabu, bibilia haijaandika sana kuhusu mama yake Yesu, Qur'an imeandika sana kuhusu Mariam, na mleta mada katupa jipya kabisa kutokea kwa "Arsis".

Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.

cc' Corazon Espinado
Mngejiuliza kwanza wenyewe, Jina la Isa mmelitoa wapi wakati sio jina lake halisi.

Ingependeza ukaisemea Dini yako kwanza ambayo una ujuzi nayo.

Hivi kwanini uulize jina bandia la Yesu ambaye hayupo kwenye Imani yako badala ya kuulizia jina la Isa ambalo lipo kwenye Imani yako, ikiwa ni mtu yuleyule?

Ungemwuliza mtoa mada amwulize Qrsis habari za Isa Bin Mariam kwanza,
Ili mjibu mmelitoa wapi Hilo jina.
 
Pole sana. Hakuna doctrine hio kwenye theology labda kama unamaanisha majini na ushirikina ambao hauna relevance wala equivalence na Yesu. Hil ndilo jina pekee tunepewa kuokolewa kwalo.
Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.

Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".

Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?
 
Hapa bibi nakubaliana nawewe
 
kamba wa vidimbwi vya babu hawa, kama sio mlaji, mmoja tu anakutosha. Ni hatari. Mahandakini kuna rutuba ya ajabu, hata samaki wa pwani ya pale sio wengi lakini changu anakua ni changu kweli kweli si mchezo.

View attachment 3076458
Umenitamanisha sana, nambie lini "msimu" lini? Nihamie huko Duga mapangoni kwa siku za msimu.
 
Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.

Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".

Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?
Mwulize kwanza Muhammadi alilitoa wapi jina la Isa ?
Wakati sio jina halisi.
Endelea kuyaamini Majini.
Arsis ni Jini
 
Mtoa mada endelea kushusha Nondo.
Wenye uelewa wanajua kabisa unachosimulia sio maneno yako na huenda sio msimamo wako.

Bali ni kile ulichokisikia na kukiona baada ya kufunguliwa macho.

Wanaokuvutia kwenye dini zao wataiharibu simulizi yako.

Kama kuna mtu anataka kulinganisha simulizi yake na dini, aulize habari ya dini yake na sio dini nyingine ili aikashifu kwa majibu ya Arsis ambaye bado hatujathibitisha kuwa anaongea vile Mungu anapenda.
 
Mwulize kwanza Muhammadi alilitoa wapi jina la Isa ?
Wakati sio jina halisi.
Endelea kuyaamini Majini.
Arsis ni Jini
Kwenye Qur'an.
. Kitabu pekee ambacho hakina shaka ndani yake.

Hata we we jinni tu, labda huelewi maana ya jinni ndiyo unaona ajabu sana.

Kuwa jinni siyo tatizo, kuwa shetani ndiyo tatizo.
 
Arsis nimesoma humu na nakubalina nae, anasema hakuna jina la "Yesu" kwa lugha ya mama'ke. naongezea wala wala ya alipoishi.

Nimetafuta kwa Ki Aramaic, inayosemekana ni kugha ya "Yesu" hakuna jina "Yesu" na jirani zake ni Waarabu, hakuna jina "Yesu".

Wewe mbonde umelitowa wapi jina la "Yesu"?
Ahsante mkuu Faiza.
But...
Msingi wa imani yetu ya kikristo ni Kristo (Yesu) mwenyewe. Na imani hii chanzo au msingi wake ni Neno la Kristo au maandiko ya Biblia.

Na Biblia yenyewe inakiri wazi kuwa kuna mambo meengi sana ambayo hayakuwekwe kwenye Bible maana isingelitosha. Ni mengi mnoo. Probably ndio hayo maandiko na vijitabu vingine mnavyohangaika kusoma na kutafuta tafuta elimu kuvihusu.

But as a matter of fact kwamba Bible was written under INSPIRATION of God (kama ambavyo inasemekana kuwa Q'uran ilishushwa), tuna kila sababu ya kuwa na uhakika kwamba yale yaliowekwa ndani yake (Bible) ndio hasa yalikusudiwa kama Fundisho Mungu alilenga kusema nasi (tunaomuamini kupitia Kristo Yesu).

NA kwasababu hii (hapo jjuu), katika theology (right one) , tuna jenga doctrine upon what was WRITTEN of the old and new testament alone na si nje ya hapo. Doctrine yetu haijengwi juu ya kile ambacho biblia haisemi /haijakijumuisha kwenye vitabu vyake..

Kwahiyo bas, maadam, Biblia imetamka Jina Yesu, ina maana jina lake ni Yesu.

Habar za translation hizo ni vitu obvious kabisaa.

Unapozungumzia kigiriki ,ni kwasababu hii.

Biblia iliandika katika lugha 3 lakin lugha 2 kubwa zaid ndio zime dominate.
Agano la kale limetumia Kiebrania na hiyo ulioitaja wewe kwa kiasi.

Wakat agano jipya limeandikwa kwa Kigiriki kama oringinal language..

All other translation kuja kingereza mpaka kiswahili, tafsiri yake inatoka kwenye original manual script ya lugha hizo 3 hasa kiebrania na kigiriki.

Kwahiyo Yesu ni tranlation ya jina toka huko whatevet was used to Address Jesus, He still is the same and the name is just the same Powerful name.
 
Back
Top Bottom