Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Na
Wewe nae andika vizuri nijuwe Arsis kasema nini kuhusu mimi.

Hata jinni Arsis lazima anitambuwe uwezo wangu mapema tu. Mwambie mimi ndiyo Miss JF 2023/24.
 


Mimi namuamini Allah na nafata kauli ya Allah ya "Soma kwa jina la" "Rabbika". Nimeogopa kuitafsiri Rabbika.
. Nimi bitamsona Arsis na mwengine yeyote huku najilinda kwa aliyonifundisha Allah. Siwezi kumuamini Arsis. na siwezi kumjuwa bila kumsikiliza (kumsoma) kwanza.
 
Unanipa ruhusa niseme alichonambia Arsis kuhusu wewe? Nimetonywa PM, simba anaogopa kusema.
 
Kwanini majini wote ni waarab, tuanzie hapa kwanza.
 
Unabwabwaja sana, namwachia Arsis aseme mwenyewe.
 
Wewe lazima utakuwa shoga.

Maana mambo yako niyaki shoga shoga tu...
 
Niruhusu niseme Arsis kasema nini kuhusu wewe.
 
Mtoa mada Yupo kimya mda mrefu sana.
Na hajatoa udhuru.
Sasa si ni bora tuongee sisi ili kuchangamsha jukwaa.

Kukuridhisha ngoja tukae kimya ili kumngojea mtoa mada.
Kama unaijua namba yake ya simu jaribu kumpigia, na mwulize.
Mbona kimya kirefu.
Nipo, nawasoma, naandika niwape kionjo kipya leo.
 
Yesu ni cheo sio jina la mtu, Sikumbuki ni kitabu gani katika biblia kinamzungumzia Yesu mwingine aliyekua Ngariba.. nautafuta huo mstari nitarudi
 
Arsis ni Jinn tena mkubwa mzee maana jinn anavyokuwa mzee ndio anazidi kuwa na nguvu pia anaonekana licha ya nguvu ana elimu na ilmu.
Ila ni muongo kusema yeye anaqeza kuwa chochote kawaida ya making wengi ni waongo hawapendi kusema ukweli kila kitu haswa jina lake asli yake sababu wanaogopa kutumikishwa na mwanandamu, Mwanadamu ana nguvu sana ni khalifa, Ila jinn anamuogopa sana Mwenyeezi Mungu kuliko sie wanadamu na ukiwa Mcha Mungu ndio kabisa wanakuogopa.

Majinn wanapenda sana ubinadamu wanapenda sana kila kitu cha mwanandamu japo wana uwezo Ila hawawezi kitu kuchukua bila idhini ya mwanadamu mfano jinn anataka damu kwanini asikamate mwenyewe akamfyonza jibu ni hawezi mpaka mwanadamu ampe go ahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…