FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Na
Hata jinni Arsis lazima anitambuwe uwezo wangu mapema tu. Mwambie mimi ndiyo Miss JF 2023/24.
Wewe nae andika vizuri nijuwe Arsis kasema nini kuhusu mimi.Arsis aliwahi kunambia "kwenye elimu usiogope anaebisha na wewe, ogopa asiebishana".
Mpe elimu na yeye amwage yake, ndio faida kwetu.
Arsis kamsifu sana FaizaFoxy navvyi challenge, kamsifu sana na Che mittoga lakini kasema kitu naogopa kukisema hapa. Akinipa rukhsa Che mittoga nakisema.
Hata jinni Arsis lazima anitambuwe uwezo wangu mapema tu. Mwambie mimi ndiyo Miss JF 2023/24.