Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

sasa mkuu hio acess ya ulimwengu wa roho ili nasi tuweze kujua wapi yupitr na nini tufanye maisha yetu yang'ae vile alivyotuumba mungu!
 
we nae fala tu kushupalia huu ujinga wako wa zinaa kila koment alafu mwenyewe unajiona comment cha maana kumbe nnya tu.. Arisis hafanyi uchawi humu..una onyesha ww ni domo zege hivyo umekubuhu kwa waganga kutumia madawa ya kichawi kupumbaza wanawake ukawazini ovyooo.!
 
Nimependa jinsi ulivyo muwazi
Ukipata muda jaribu kuisoma na kuitafakari quran pia. Naamini utajifunza kitu ila huyu Arsis jini anabalaa.
Kama arsis alisema kweli na mhusika amesema kweli,basi huyu mhusika ni mtu ambaye alikuwa muislamu jina kwa maana hakuwa na elimu ya dini yake

Kama atakuwa mkweli naomba akili hili mbele yetu

Asante
 
Kuna vitu nimeuliza kuhusu majinn maruhani bro akawa anaelezea huku na record call recording nashangaa imeji record kidogo na katoa elimu sana japo aliharibu kunitaja majina yangu ya passport 🤣😆 japo jina hili la bint yangu Ila ngoja nijaribu kuandika mawili 3 tukimsubiri mjukuu wa mzee Mabruk.
 
Karibu
 
Heshimu starehe za watu paka mabaka wewe.. ndio maana hata mbinguni titapewa bikra 72.. kama sio muhimu hapa duniani, unafikiri tungezidishiwaje.. kila ntu na raha yake
 
Karibu sana .
Natumai mjukuu wa mzee mabruk atafurahi pia kusikia kutoka kwako
 
Nilimuuliza kuhusu ma Sheikh au Manabii wanao toa mapepo inakuaje mpaka watu wanalipuka nasikitika call recording iliji cancel sina habari nimekuja kujua banda nika recording hapo mwisho alio nielekeza nitajaribu kuandika kwa kadri nitakavyo kumbuka nitamtafuta kwa wakati mwingine.

Anasema inakuaje mafuta au maji watu mapepo yanapanda, anasema kwanza watumishi wa dini iwe Sheikh au Nabii huwajaza kwanza imani waumini wao hivyo wakiwa wengi wamejaa imani basi yale maji mafuta yana fanya kazi ndo maana ukiwa huamini hata upewe mafuta kama hauna imani hayafanyi kazi kwa kweli alielezea kwa upana ngoja nimtafute baadae tena aelezee mwenyewe how it work japo hapendi sana kuuliza uliza ila ana elimu sana ya majinn nyota Ila hapendi story hizo.

Pia nikamuuliza majinn na sie nani ana elimu unakuta anafundisha tiba akasema sie binadamu sema majinn wanaishi miaka mingi walikuwa wanaishi zaidi ya miaka 1000 wale binadamu walokuwa na elimu wana kufa majinn wanabaki nazo sababu wana uwezo wa kuingia kwenye ubongo wa mtu wakaiba maarifa yake aka copy yote muda mchache akawa nayo yeye ila elimu ujuzi wote wa mwanadamu sio jinn kama Arsis hapo yaani atakuwa alichota maarifa kwa watu wa enzi na enzi sasa anampa bwana corazon 😄
 

Attachments

Hii audio ni very informative kwajinsi ninavyofahamu mimi naweza sema zaidi ya asilimia 95 amesema kweli.
Ndio maana tumefundishwa unapotaka kula anza kwa jina la Mungu kwa maana usipofanya hivyo utakula na mashayatwin sasa binadamu situnakula vitu tofauti basi hata majini wanakula vitu tofauti na hao ndio masubiani
Kwa upande wa maruhani kujifananisha na malaika pia ni kweli. Ngoja namimi nitoe elimu kidogo
Mwanadamu yeyote anapofanya jambo baya mfano wizi, Kula riba, uzinzi ,ushirikina ,hasadi, chuki, kiburi, kukata undugu n.k moyoni mwake kunakuwa na doa jeusi doa hili litakuwa linakuwa kadri unavyofanya maasi, hivyo basi jini akitaka kukuingia au mchawi akitaka kukuloga anawatumia majini waovu kuangalia je moyo wako una doa jeusi nalina ukubwa gani wakikuta moyo wako ni mweusi sana ni rahisi kulogeka kinyume chake mtu mchamungu hana doa katika moyo wake hivyo ni ngumu kulogeka.
Sasa kwa upande wa majini wao kadri jini anavyo mtumikia iblis na kunywa damu za kafara na kuharibu maisha ya watu jini huyo anabadilika kutoka umbo lake la asili anakuwa na umbo baya la kutisha mfano anaanza kuota mapembe, mikia na anakuwa anatisha na huyu sasa ataitwa shetani wa kijini kinyume chake ni kuwa kadri jini anavyo muabudu mola wake akajiweka mbali na maaswi basi anakuwa anang'aa kama malaika yaani anaanza kufanana na malaika ndio maana iblis kabla ya kuasi alikuwa kama malaika na aliishi nao. Sasa majini wanaokuwa hivi wengi ndio hao maruhan wanapenda kujifananisha na malaika.
Pamoja na hayo mwanadamu na jini wote wanaweza kutubu kwa mola wao kabla ya umati na lile doa jeusi linaondoka kwa mwanadamu na umbo la kishetani likaondoka kwa jini
Nimefunguka tu kidogo jamani Ila natamani bwana Arsis aje na muendelezo
 
Baadae waungwana nikaoge nisali Dhuhr ila sijui kwanini toka ni some uzi huu kuna majinn wanitembelea ndotoni 😄Ila nikiamka sikumbuki nimeota nini au Arsis 😁

Navyojua majinn wa mbea haswa wanapo ongelewa na wanaupenda ubinadamu unaweza kukuta member wengine majinn na hapa wana comment wanachangia wanasoma uzi huu.
 
AAs
Asante sista kaka ako anayoelimu ya majini kweli
Uzi unazidi kunoga
 
Baada ya dhuhur uje muulize bro je majina ya BARHATIYAH ni shirki?
Hili swali nilimuuliza pia Arsis na subira majibu natanguliza shukurani Nourhan
 
Asante kwa elimu
 
Ngoja nimpigie kama hatokuwa na wagonjwa japo hapendi sana kuongelea mpaka siku afurahi atatoa elimu mpaka mtu una furahi nimejifunza kwake kwa kiasi tena ukimuona unamdharau maana ana miaka 30+ elimu imelala hapo sijui ya majini sijui nyota ana mavitabu ya kihindi mengine hata huwa siyaelewi sijui ya kichawi ya kizungu a najua mwenyewe😁.
Baada ya dhuhur uje muulize bro je majina ya BARHATIYAH ni shirki?
Hili swali nilimuuliza pia Arsis na subira majibu natanguliza shukurani Nourhan
 
Asante pia kwa elimu najifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…