Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Unagahamu Qur'an ina harufi Alif Lam Mym zinaanza kwenye sura ngapi?

Anza kufanyia hilo kazi ulete jibu.
Nimepitia katika quran herufi hizo zinaanza katika Surat baqarah, Surat Al Imran alafu kuna Alif, Lam, Swaad hiyo ni katika Surat Al Aaraf na Alif , lam , Raa katika Surat hud na Alif, lam Raa kwa mara nyingine katika Surat Yusuf na Alif, Lam, Miim , Raa katika Surat Raad na Alif, Laam Raa katika suratul Ibrahim na Alif, Laam, Raaa katika suratul hijr
Hivyo Alif Laam Miim zinaanza katika sura mbili tu.
Ila kama ni lazima alifu Laam na Miim kuchanganyika zinakuwa sura tatu na kama ni lazima moja wapo ya herufi tatu kuwepo tu basi sura zote zitahusika inakuwa ni jumla ya sura 8.
Nasubiri muongozo Arsis kama nimekosea unaweza niambie pia
 
Kwanini Africa (sub-sahara) iko nyuma sana kwa kila nyanja ya maendeleo, ingawaje kuna utajiri mkubwa wa rasilimali ukilinganisha na bara zingine.

Je, kuna code yoyote imefichwa kuhusu mtu mweusi?
Hakuna code imefichwa. Wakati tu unabadilika, hii Afrika ndio zamani ilikua mbele kwa elimu zote na maendeleo.

Unajua hapa mnaita Tanzania siku hizi, zamani kidogo ilikua na sarafu ya dhahabu kabla ya nchi zingine nyingi?

Hapa Afrika imewaumiza risasi.
 
naomba utufafanulie hapo kufungua biashara kwa faida yako ndio iko vp hiyo maana wengi kufungua biashara kwa kuwauzia watu ili kupata mapato vp wewe useme fanya biashara kwa faida ya wengi na biashara hiyo ipo kwa ajili ya watu..embu fanya kutuwekea kwa mifano iyo kauli yako.
Sema biashara ipi ji uwe na mfano hai
 
Swali lingine ni kuwa mimi mke wangu ana shida ya kuanguka ghafla tu alafu ananyamaza ila hii hali ina dalili za mambo ya kishirikina nimejaribu kwa uwezo wangu ALLAH alienijalia kumsomea ruqyah anapata nafuu lakini hii hali aishi ata leo hii hiyo hali imemtokea.
Unaweza kunisaidia nini cha kufanya na hii ni shida gani?
Natanguliza shukurani
Kwanza wewe tu kumsomea haitoshi. Yeye mwenyewe inatakiwa awe na mwili msafi, afanye ibada, halafu ugonjwa ya kuanguka inaweza kua mambo mengi, damu nyingi, damu kidogo, tatizo la ubongo, tatizo la mishipa, tatizo la uchawi na kurogwa, tatizo la mgongo.

Kwanza anza na tiba ya kusafisha mishipa yake ya mwili mzima, Anywe mdalasini ya maji vuguvugu kila siku kabla hajala kitu alfajir na usiku kitu cha mwisho. Ale mbadala sini ya kuroweka kwenye maji ya vuguvugu na asali safi vijiko viwili kabla hajala kitu. Kikombe au glass moja tu asubuhi na moja usiku kwa siku saba tu.

Asiwache ibada. Halafu tupe majibu.
 
Back
Top Bottom