Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kazi yako ni ipi?hapana, sio kazi yangu hio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yako ni ipi?hapana, sio kazi yangu hio.
Unajichora tu.Kuna maswali yangu sijajibiwa nimeuliza au niwe na subra ☺
Nimepitia katika quran herufi hizo zinaanza katika Surat baqarah, Surat Al Imran alafu kuna Alif, Lam, Swaad hiyo ni katika Surat Al Aaraf na Alif , lam , Raa katika Surat hud na Alif, lam Raa kwa mara nyingine katika Surat Yusuf na Alif, Lam, Miim , Raa katika Surat Raad na Alif, Laam Raa katika suratul Ibrahim na Alif, Laam, Raaa katika suratul hijrUnagahamu Qur'an ina harufi Alif Lam Mym zinaanza kwenye sura ngapi?
Anza kufanyia hilo kazi ulete jibu.
Hakuna code imefichwa. Wakati tu unabadilika, hii Afrika ndio zamani ilikua mbele kwa elimu zote na maendeleo.Kwanini Africa (sub-sahara) iko nyuma sana kwa kila nyanja ya maendeleo, ingawaje kuna utajiri mkubwa wa rasilimali ukilinganisha na bara zingine.
Je, kuna code yoyote imefichwa kuhusu mtu mweusi?
Brother wako nimemkubali yuko poa sana aiseeNimempata Kaka muda huu mjinga kanitaja jina langu 😁🤣 na mie nimemtaja mwanangu anyways I have nothing to afraid of kujulikana kwangu sababu kuna member wanijua na sina shari na mtu majibizano huku mie na elimika naburudika.
ni mwamba yupi huyo na nitampataje?Kuna mwamba humu anajua sana kuna siku nilimpa mechi tena correct score nikala 450,000 sema niliogopa kutia mzigo aisee ningemfirisi Kanjibai
Sema biashara ipi ji uwe na mfano hainaomba utufafanulie hapo kufungua biashara kwa faida yako ndio iko vp hiyo maana wengi kufungua biashara kwa kuwauzia watu ili kupata mapato vp wewe useme fanya biashara kwa faida ya wengi na biashara hiyo ipo kwa ajili ya watu..embu fanya kutuwekea kwa mifano iyo kauli yako.
Kwa sababu uislamu ni dini ya kweli , sio dini ya mchongo.Huwezi kutenganisha majini na uislam
Uliishi kipindi cha mitume?Sema biashara ipi ji uwe na mfano hai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anamfahamu sana, nimemuuliza siku nyingi, kisa chake alichonipa kitakuja, tufanye subira. Ndio kwanzza tumeanza.
Kuna kitu alinipa kuhusu mama yake Yesu, huwezi amini, uwe Muislam au Mkristo hamtoamini.
Arsis ni kichwa kikubwa na kizuri sana, kwa muono wangu.
Nimeona AsanteTayari.
Kwanza wewe tu kumsomea haitoshi. Yeye mwenyewe inatakiwa awe na mwili msafi, afanye ibada, halafu ugonjwa ya kuanguka inaweza kua mambo mengi, damu nyingi, damu kidogo, tatizo la ubongo, tatizo la mishipa, tatizo la uchawi na kurogwa, tatizo la mgongo.Swali lingine ni kuwa mimi mke wangu ana shida ya kuanguka ghafla tu alafu ananyamaza ila hii hali ina dalili za mambo ya kishirikina nimejaribu kwa uwezo wangu ALLAH alienijalia kumsomea ruqyah anapata nafuu lakini hii hali aishi ata leo hii hiyo hali imemtokea.
Unaweza kunisaidia nini cha kufanya na hii ni shida gani?
Natanguliza shukurani
Mimi sio jini.Tupe ishara tuamini kama kweli wewe ni jini
Hio kazi ya kishetani, kamari tu hio kwa jina lingine. Sisi hatuhusikia nayo hio,, tunasema aache kabisa.Kuna mtu aliuliza kuhusu suala la kubet na mikeka ya uhakika, toa neno hapo
Tuambie mwanzo wa maisha ya Kisisina mpaka kifo chake.Mimi sio jini.
siyo ya haki tena?Kwa sababu uislamu ni dini ya kweli , sio dini ya mchongo.
Nimeshajibu hilo soma juu vizuri.Arsis upo slow kujibu
Nauliza pete ya nabii suleyman ipo wap kwa sasa?
Na sanduku la agano lipo wapi kwa sasa?
Na mimi nataka mawasiliano yako je unsweza kunipa pete yako?
Mwache, kuna vitu anataka kujua.Dogo ungeenda jukwaa la Celebrity kwanza mbona unachafua na kuvuruga hapa?