Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kwanza wewe tu kumsomea haitoshi. Yeye mwenyewe inatakiwa awe na mwili msafi, afanye ibada, halafu ugonjwa ya kuanguka inaweza kua mambo mengi, damu nyingi, damu kidogo, tatizo la ubongo, tatizo la mishipa, tatizo la uchawi na kurogwa, tatizo la mgongo.

Kwanza anza na tiba ya kusafisha mishipa yake ya mwili mzima, Anywe mdalasini ya maji vuguvugu kila siku kabla hajala kitu alfajir na usiku kitu cha mwisho. Ale mbadala sini ya kuroweka kwenye maji ya vuguvugu na asali safi vijiko viwili kabla hajala kitu. Kikombe au glass moja tu asubuhi na moja usiku kwa siku saba tu.

Asiwache ibada. Halafu tupe majibu.
Asante sana nitafanyia kazi hiyo tiba ya mdalasini na asali.
Kitu kimoja nirekebishe ni kuwa uangukaje wake unaonesha dhahiri ni wakukumbwa na jini maana akianguka ana ng'ara meno nanikianza kumsomea anajiburuza kama nyoka na kuna muda anapiga kelele wakati namsomea ruqya hii inanifanya nione ni mambo ya sihr kwani ata mara ya mwisho kumsomea aliniambia aliharisha sana mchana wake sana tu na pia ndoto zake nyingi ni za kukimbizwa , kuona watu wengi na ndoto za kutisha sana.
Vipi na hili nalitatuje
 
Hizo sura zinaweza kuwa Surat ikhilasw, falaq na mass ndio sura ndogondogo zinazohusiana na mambo ya uchawi na ukubwa wa Allah. Nimejaribu au kuna nyingine ndogo tofauti na hizo bwana Arsis tupe elimu
Hizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.

Sura saba za mwisho za Qur'an zote.

Hizo zote mzielewe na maana yake.
 
Arsis nipo hapa umenijibu lakini umesema niwe hapa mtanisaidia kujua ni namna gani ya kufanya ili nipate haki yangu, halafu ni kweli hao watu wanafuatilia sana na hapa Yawezekana wanasoma sasa huo msaada si watauona hapa? Na PM hutaki kuulizwa swali?
Utasaidiwa kuwa na subira, acha ipite hii session ya maswali na majibu.

Kunywa maji kidogo, shusha pumzi uwe na subira.
 
Asante sana nitafanyia kazi hiyo tiba ya mdalasini na asali.
Kitu kimoja nirekebishe ni kuwa uangukaje wake unaonesha dhahiri ni wakukumbwa na jini maana akianguka ana ng'ara meno nanikianza kumsomea anajiburuza kama nyoka na kuna muda anapiga kelele wakati namsomea ruqya hii inanifanya nione ni mambo ya sihr kwani ata mara ya mwisho kumsomea aliniambia aliharisha sana mchana wake sana tu na pia ndoto zake nyingi ni za kukimbizwa , kuona watu wengi na ndoto za kutisha sana.
Vipi na hili nalitatuje
Fanya tulivyokuelekeza usiwe na wasiwasi.
 
Nimejikuta nakucheka wajifanya wajua kumbe hujui.

Na humjui pia,na nisingependa kumuongelea hata yeye tu kujiongelea kujimwambafai kamwe huwezi kuta anaongelea, halafu mbona hata yeye amesema jinn huwa hasemi ukweli asli yake jina Ila kuna hesabu unapata umeishi nao miaka 20 mwenzio kazaliwa kalelewa nao nini yeye kuongea nao mie tu wanijia ndani kwangu naona nao japo wanakuja kwa umbo lake haswa mida ya mchana unakuta kama nalewa usingizi anyways niishie hapa sipo hapa kuongelea habari za mtu nipo kujifunza.weka elimu yako wewe tujifunze kuhusu majinn
Mimi pia nimesikiliza ile audio, lakini kwa kua sio swali langu sikujibu kitu. Mkitaka niwaeleza zaidi mtanijulisha.
 
Swali lako zuri sana. Kweli na sio kweli. Utawala wa Misri ambao unajulikana na amabao wasomi wa siku hizi wanadanganya una miaka 3000 mpa 5000 au zaidi kidogo, ni utawala wa zamani sana una mika zaidi ya millioni. Walikuepo watu wa rangi zote na wamataifa yote. Ni utawala mkiubwa sana, pale Misri, Giza ndio kitovu ch huo utawala lakini ulikua mpaka siku hizi mnaita Amerika, ulikuwepo Mpaka China ulikuwepo mpaka chini ya Afrika Kusini. Kule siku hizi barafu tupu, mnaita Antarctica, ipo miji mikubwa sana chini ya barafu. Mingine ipo chini ya bahari ya Mediterenean. Mengine ipo chini ya bahari yenu hapa Tanzania.

Watu wapo kila rangi ili magfahamiane tu, huyu wa wapi yule wa wapi. Utawala wa mwisho wa Egypt ni rangi mchanganyiko.
Arsis ni kweli upo mji uliozama chini ya bahari ukifahamika kama Raphta.... mji huo upo wapi kwa sasa
 
Hizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.

Sura saba za mwisho za Qur'an zote.

Hizo zote mzielewe na maana yake.
Kwa faida ya wengi hizo sura saba za mwisho ni kuanzia Surat kawthar mpaka suratul nnas yaani. 1. Suratul kauthar 2.Suratul kafirun 3.Suratul Nasr 4. Suratul Lahab 5. Suratul ikhilasw 6. Suratul Falaq 7. Suratul Nass
Nasuratul fatiha Ni sura ya kwanza katika qur an maarufu kama alhamdu na ayatul Kursi ni aya ya 255 katika suratul baqara
 
mkuu una neno gani kuhusu kinachoitwa mizimu ya ukoo kwenye familia na athari zake hasa kwenye mafanikio ya maisha na ndoa tunapo oa kwenye familia hizomaana tunasikia inasemwa wale mizimu yao ni yakichawi, au wale wana mizimu ya uganga,au ukoo wa kisharifu hivi haya mambo ya mizimu ya familia yapoje tunajua ipo mizimu mizuri na mibaya je,yanaathiri vipi na vipi uondoe shari zake mbaya kama zikiwepo.?
 
Back
Top Bottom