Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni biashara, tiba ipo. Kuna maradhi mengi sasa hivi ni biashara za kishetani tu.Kwa nini amna tiba ya cancer na HIv .na ni nani ali leta haya magonjwa duniani .tupe ufafanuzi
mfano duka la vinywaji vya jumla kama soda,katon za maji na juice pia biashara ya tigo pesa,M pesa au biashara za kuuza mifugo kama kuku wa kisasa..pia biashara ya stationary..Sema biashara ipi ji uwe na mfano hai
Asante sana nitafanyia kazi hiyo tiba ya mdalasini na asali.Kwanza wewe tu kumsomea haitoshi. Yeye mwenyewe inatakiwa awe na mwili msafi, afanye ibada, halafu ugonjwa ya kuanguka inaweza kua mambo mengi, damu nyingi, damu kidogo, tatizo la ubongo, tatizo la mishipa, tatizo la uchawi na kurogwa, tatizo la mgongo.
Kwanza anza na tiba ya kusafisha mishipa yake ya mwili mzima, Anywe mdalasini ya maji vuguvugu kila siku kabla hajala kitu alfajir na usiku kitu cha mwisho. Ale mbadala sini ya kuroweka kwenye maji ya vuguvugu na asali safi vijiko viwili kabla hajala kitu. Kikombe au glass moja tu asubuhi na moja usiku kwa siku saba tu.
Asiwache ibada. Halafu tupe majibu.
Hizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.Hizo sura zinaweza kuwa Surat ikhilasw, falaq na mass ndio sura ndogondogo zinazohusiana na mambo ya uchawi na ukubwa wa Allah. Nimejaribu au kuna nyingine ndogo tofauti na hizo bwana Arsis tupe elimu
Hizo labda kwako ni aya ki lugha zlakini sio aya za Qur'an. Ni maneno yanatumika kichawi.Yuzi rasi min sari sasi
Aya maneno yana maana gani
maneno ya kila mtu humu kwako ni chai?chai
Utasaidiwa kuwa na subira, acha ipite hii session ya maswali na majibu.Arsis nipo hapa umenijibu lakini umesema niwe hapa mtanisaidia kujua ni namna gani ya kufanya ili nipate haki yangu, halafu ni kweli hao watu wanafuatilia sana na hapa Yawezekana wanasoma sasa huo msaada si watauona hapa? Na PM hutaki kuulizwa swali?
Fanya tulivyokuelekeza usiwe na wasiwasi.Asante sana nitafanyia kazi hiyo tiba ya mdalasini na asali.
Kitu kimoja nirekebishe ni kuwa uangukaje wake unaonesha dhahiri ni wakukumbwa na jini maana akianguka ana ng'ara meno nanikianza kumsomea anajiburuza kama nyoka na kuna muda anapiga kelele wakati namsomea ruqya hii inanifanya nione ni mambo ya sihr kwani ata mara ya mwisho kumsomea aliniambia aliharisha sana mchana wake sana tu na pia ndoto zake nyingi ni za kukimbizwa , kuona watu wengi na ndoto za kutisha sana.
Vipi na hili nalitatuje
Fanya kazi za halali kwa bidii.Tupe spells nw code za kupiga pesa
Unafahamu kuhusu elimu nyinyi mnaiita "time travel"?Una maanisha ulijuwepo kabla ya hapo, maana unasema "kwa miaka 5000 sasa".
Mimi pia nimesikiliza ile audio, lakini kwa kua sio swali langu sikujibu kitu. Mkitaka niwaeleza zaidi mtanijulisha.Nimejikuta nakucheka wajifanya wajua kumbe hujui.
Na humjui pia,na nisingependa kumuongelea hata yeye tu kujiongelea kujimwambafai kamwe huwezi kuta anaongelea, halafu mbona hata yeye amesema jinn huwa hasemi ukweli asli yake jina Ila kuna hesabu unapata umeishi nao miaka 20 mwenzio kazaliwa kalelewa nao nini yeye kuongea nao mie tu wanijia ndani kwangu naona nao japo wanakuja kwa umbo lake haswa mida ya mchana unakuta kama nalewa usingizi anyways niishie hapa sipo hapa kuongelea habari za mtu nipo kujifunza.weka elimu yako wewe tujifunze kuhusu majinn
Arsis ni kweli upo mji uliozama chini ya bahari ukifahamika kama Raphta.... mji huo upo wapi kwa sasaSwali lako zuri sana. Kweli na sio kweli. Utawala wa Misri ambao unajulikana na amabao wasomi wa siku hizi wanadanganya una miaka 3000 mpa 5000 au zaidi kidogo, ni utawala wa zamani sana una mika zaidi ya millioni. Walikuepo watu wa rangi zote na wamataifa yote. Ni utawala mkiubwa sana, pale Misri, Giza ndio kitovu ch huo utawala lakini ulikua mpaka siku hizi mnaita Amerika, ulikuwepo Mpaka China ulikuwepo mpaka chini ya Afrika Kusini. Kule siku hizi barafu tupu, mnaita Antarctica, ipo miji mikubwa sana chini ya barafu. Mingine ipo chini ya bahari ya Mediterenean. Mengine ipo chini ya bahari yenu hapa Tanzania.
Watu wapo kila rangi ili magfahamiane tu, huyu wa wapi yule wa wapi. Utawala wa mwisho wa Egypt ni rangi mchanganyiko.
Kwa faida ya wengi hizo sura saba za mwisho ni kuanzia Surat kawthar mpaka suratul nnas yaani. 1. Suratul kauthar 2.Suratul kafirun 3.Suratul Nasr 4. Suratul Lahab 5. Suratul ikhilasw 6. Suratul Falaq 7. Suratul NassHizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.
Sura saba za mwisho za Qur'an zote.
Hizo zote mzielewe na maana yake.