Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Asante sana nitafanyia kazi hiyo tiba ya mdalasini na asali.
Kitu kimoja nirekebishe ni kuwa uangukaje wake unaonesha dhahiri ni wakukumbwa na jini maana akianguka ana ng'ara meno nanikianza kumsomea anajiburuza kama nyoka na kuna muda anapiga kelele wakati namsomea ruqya hii inanifanya nione ni mambo ya sihr kwani ata mara ya mwisho kumsomea aliniambia aliharisha sana mchana wake sana tu na pia ndoto zake nyingi ni za kukimbizwa , kuona watu wengi na ndoto za kutisha sana.
Vipi na hili nalitatuje
 
Hizo sura zinaweza kuwa Surat ikhilasw, falaq na mass ndio sura ndogondogo zinazohusiana na mambo ya uchawi na ukubwa wa Allah. Nimejaribu au kuna nyingine ndogo tofauti na hizo bwana Arsis tupe elimu
Hizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.

Sura saba za mwisho za Qur'an zote.

Hizo zote mzielewe na maana yake.
 
Utasaidiwa kuwa na subira, acha ipite hii session ya maswali na majibu.

Kunywa maji kidogo, shusha pumzi uwe na subira.
 
Fanya tulivyokuelekeza usiwe na wasiwasi.
 
Mimi pia nimesikiliza ile audio, lakini kwa kua sio swali langu sikujibu kitu. Mkitaka niwaeleza zaidi mtanijulisha.
 
Arsis ni kweli upo mji uliozama chini ya bahari ukifahamika kama Raphta.... mji huo upo wapi kwa sasa
 
Hizo hizo, usisahaau na Fatiha na Ayatil Kursi.

Sura saba za mwisho za Qur'an zote.

Hizo zote mzielewe na maana yake.
Kwa faida ya wengi hizo sura saba za mwisho ni kuanzia Surat kawthar mpaka suratul nnas yaani. 1. Suratul kauthar 2.Suratul kafirun 3.Suratul Nasr 4. Suratul Lahab 5. Suratul ikhilasw 6. Suratul Falaq 7. Suratul Nass
Nasuratul fatiha Ni sura ya kwanza katika qur an maarufu kama alhamdu na ayatul Kursi ni aya ya 255 katika suratul baqara
 
mkuu una neno gani kuhusu kinachoitwa mizimu ya ukoo kwenye familia na athari zake hasa kwenye mafanikio ya maisha na ndoa tunapo oa kwenye familia hizomaana tunasikia inasemwa wale mizimu yao ni yakichawi, au wale wana mizimu ya uganga,au ukoo wa kisharifu hivi haya mambo ya mizimu ya familia yapoje tunajua ipo mizimu mizuri na mibaya je,yanaathiri vipi na vipi uondoe shari zake mbaya kama zikiwepo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…