Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Kwa hiyo wewe mpaka sasa ni ngunguri ?ebu niambie mimi hapa nilipo sasahv nafanya kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajitoa fahamu?Story Ina fikirisha mnaenda msikitini alafu mna roga kwahiyo uislamu na uchawi ni ndugu? Ama umekuja kuchafua dini za watu?
braza shida nini acha sisi tusome hapa.huku nasubir folen yangu ya kwe da kilingeni leo watu wemg kwelUnatupoteza wasomaji na wafuatiliaji wa thread yako.
Unashika hiki unaacha, cha kule unahamishia huku!
Hakuna mtiririko mzuri wa? acha usimuliaji na mtu hawezi kuelewa unaongelea nini.
Unakuja kujipigia promo kwa ID nyingine.uandishi mbovu una makosa unakera.utunzi wenyewe hauvutiistori nzuri una uandishi flani kama Brandon Anderson (stormlight archive) yani unamueka msomaji anakuepo mazingira hayo.. barikiwa
Ilikuwaje hadithia kidogoKuna muda nikataka kukupuuza ila hapo ulipotaja neno.... Telepathy, nikaweka kambi
(Ntakuja pm, maana mimi pia napitia the same story japo wewe umenizidi maqam🤝
Hivi vitu ukimuelezea mtu ngumu kuelewa maana kwenye watu 1000 huwa vimempata mmoja pekee au hakuna kabisa!!!
Baba yangu alikuwa spiritual master kwahyo haya mambo yapo
Mleta mada kaeleza mambo mengi makubwa ila juu juu (siwezi sema kakosea maana target yake ni kufikisha ujumbe kuhusu alichokiona baada ya kufunguka macho, na alhamdulillah ujumbe umefika,,,, japo utata umebaki mwingi kwenye vichwa vya watu)Ilikuwaje hadithia kidogo
Nakubaliana na wewe sana katika hiki kipande hapo juu. Hata Biblia inasema ukiamua kuwa moto basi uwe moto kweli kweli na ukiamua kuwa baridi na uwe baridi haswa, na yule ambaye atakuwa vuguvugu nitamtapika, asema Mungu mwenyewe! Ni kweli hakuna kitu mbaya kwa Mungu au shetani kama mtu aliye vuguvugu!Mleta mada kaeleza mambo mengi makubwa ila juu juu (siwezi sema kakosea maana target yake ni kufikisha ujumbe kuhusu alichokiona baada ya kufunguka macho, na alhamdulillah ujumbe umefika,,,, japo utata umebaki mwingi kwenye vichwa vya watu)
Ngoja nisawazishe eneo dogo hapa kwajinsi ninavyoelewa!!
Mada kubwa mezani ni SPIRITUAL AWAKENING
Viumbe wa kiroho... Ni viumbe wote ambao hawaonekani kwa macho ya kawaida (malaika, majin n.k kila mtu anawafaham kwa mujibu wa imani yake) viumbe Hawa huwa na connection kwa watu maalum pekee
Watu maalum ni hawa 👉 Manabii na mitume, wachamungu sana, waganga wa kichawi na watu waliopendelewa
Ili uwe kwenye special group lazima uwe connected na source of power yoyote kati ya hizi
A. Mungu
B. Ibiris
Sasa viumbe wa kiroho wao pia wapo makundi mawili tu.... Kutokana na uanachama wao kweny hizo source of power (hapo either awe upande wa Mungu au Shetani🤝
Sasa hao special group pia wananamna yao ya kuwasiliana na hao viumbe.....
Baadhi ni hisia, ndoto, telepathy na kuona
(Hii njia ya kuona ndio njia ya juu zaidi tuseme ndio maqam ya mwisho.... Sasa huwa unaanza kwa kupanda daraja
Utaanza njia ya hisia, ndoto, telepathy mwisho utaona🤝
Mleta mada yupo kwenye special group upande wa watu waliopendelewa... Maana hajafata process wala hajaandaliwa ila karushwa daraja moja kwa moja
(Kwa imani ya kiislam huwa Kuna watu wanazaliwa wakiwa n mawalii wa Mwenyezi Mungu,,,,, kitu ambacho n nadra sana mtu kukipata
Au mfano mtu ufanye ibada mpk uwe nabii😁😁😁🏃
Ngum sana, nabii huzaliwa akiwa tayar ni nabii
(Dah mambo ya kiroho huwa yanamaelezo mengi sana...... Ila ukiweza kuwasiliana na viumbe wa kiroho hii Dunia umeiweza🤝
Njaa kwako sahau, kuonewa kwako sahau, kukataliwa kwako sahau,,, hii ni Siri ambayo wazungu wanaitumia sana
Ushuhuda:
Baba yangu alikuwa na uwezo wa kwenda kwenye mlima wowote au mto mkubwa, akifika anawaita watawala wa huo mto au mlima wanakuja live anawaeleza anataka nn kutoka kweny himaya yao halafu wakielewana kazi kwisha
(Anaenda kweny kaburi la mtu aliyekufa anamuamsha anaongea nae akimaliza anarudi kulala..... (Najua hapa ntaonekana muongo)
Anazama kweny maji anatoka mkavu bila kuloana
Anaweza kuchukua ile sarafu ya zaman inayotafutwa kila kona
SIMBA MBILI au Rupia (akafanya yake akamtoa yule Simba na king George wakakaa na kuanza mazungumzo
Alikuwa na uwezo wa ajabu sana.....
Note: source yake ya Power haikuwa GOD
(Kwenye hii Dunia ukitaka kuwa mtu hatari we chagua njia moja upite hiyo kikamilifu utaona balaa lake.... Kama n Mungu swali sana acha dhambi kwa ukamilifu wake utaona utavyokuwa hatari
Kama n upande wa shetwani... Roga sana, usisite kutoa mtu kafara Yani kuwa nyambisi haswaa utaona ibiris atavyokupenda😂
Fanya juu chini upate mapenzi either ya Mungu au Ibiris.... Usikubali kukaa katikati maana utakuwa mtumwa
ni kweli.kuwa na kuona kwa jicho lingine kiulimwengu inawezekana sana tu.kama ulivyosema njia ni hizo mbili.Mleta mada kaeleza mambo mengi makubwa ila juu juu (siwezi sema kakosea maana target yake ni kufikisha ujumbe kuhusu alichokiona baada ya kufunguka macho, na alhamdulillah ujumbe umefika,,,, japo utata umebaki mwingi kwenye vichwa vya watu)
Ngoja nisawazishe eneo dogo hapa kwajinsi ninavyoelewa!!
Mada kubwa mezani ni SPIRITUAL AWAKENING
Viumbe wa kiroho... Ni viumbe wote ambao hawaonekani kwa macho ya kawaida (malaika, majin n.k kila mtu anawafaham kwa mujibu wa imani yake) viumbe Hawa huwa na connection kwa watu maalum pekee
Watu maalum ni hawa 👉 Manabii na mitume, wachamungu sana, waganga wa kichawi na watu waliopendelewa
Ili uwe kwenye special group lazima uwe connected na source of power yoyote kati ya hizi
A. Mungu
B. Ibiris
Sasa viumbe wa kiroho wao pia wapo makundi mawili tu.... Kutokana na uanachama wao kweny hizo source of power (hapo either awe upande wa Mungu au Shetani🤝
Sasa hao special group pia wananamna yao ya kuwasiliana na hao viumbe.....
Baadhi ni hisia, ndoto, telepathy na kuona
(Hii njia ya kuona ndio njia ya juu zaidi tuseme ndio maqam ya mwisho.... Sasa huwa unaanza kwa kupanda daraja
Utaanza njia ya hisia, ndoto, telepathy mwisho utaona🤝
Mleta mada yupo kwenye special group upande wa watu waliopendelewa... Maana hajafata process wala hajaandaliwa ila karushwa daraja moja kwa moja
(Kwa imani ya kiislam huwa Kuna watu wanazaliwa wakiwa n mawalii wa Mwenyezi Mungu,,,,, kitu ambacho n nadra sana mtu kukipata
Au mfano mtu ufanye ibada mpk uwe nabii😁😁😁🏃
Ngum sana, nabii huzaliwa akiwa tayar ni nabii
(Dah mambo ya kiroho huwa yanamaelezo mengi sana...... Ila ukiweza kuwasiliana na viumbe wa kiroho hii Dunia umeiweza🤝
Njaa kwako sahau, kuonewa kwako sahau, kukataliwa kwako sahau,,, hii ni Siri ambayo wazungu wanaitumia sana
Ushuhuda:
Baba yangu alikuwa na uwezo wa kwenda kwenye mlima wowote au mto mkubwa, akifika anawaita watawala wa huo mto au mlima wanakuja live anawaeleza anataka nn kutoka kweny himaya yao halafu wakielewana kazi kwisha
(Anaenda kweny kaburi la mtu aliyekufa anamuamsha anaongea nae akimaliza anarudi kulala..... (Najua hapa ntaonekana muongo)
Anazama kweny maji anatoka mkavu bila kuloana
Anaweza kuchukua ile sarafu ya zaman inayotafutwa kila kona
SIMBA MBILI au Rupia (akafanya yake akamtoa yule Simba na king George wakakaa na kuanza mazungumzo
Alikuwa na uwezo wa ajabu sana.....
Note: source yake ya Power haikuwa GOD
(Kwenye hii Dunia ukitaka kuwa mtu hatari we chagua njia moja upite hiyo kikamilifu utaona balaa lake.... Kama n Mungu swali sana acha dhambi kwa ukamilifu wake utaona utavyokuwa hatari
Kama n upande wa shetwani... Roga sana, usisite kutoa mtu kafara Yani kuwa nyambisi haswaa utaona ibiris atavyokupenda😂
Fanya juu chini upate mapenzi either ya Mungu au Ibiris.... Usikubali kukaa katikati maana utakuwa mtumwa
Ila njia bora always huwa n hard way....ni kweli.kuwa na kuona kwa jicho lingine kiulimwengu inawezekana sana tu.kama ulivyosema njia ni hizo mbili.
wapo watu walipewa elimu wakaonja siri min asrar. yan walijua siri za sirin mola aliwaonyesha vitu.au kamq hivo makudam hao wanakupenda wanakwambia sisi tutakua tunakusaidia na wewe usadie watu wapo binadam walipewa sirii ambazo hata mitume hawakua na elimu.chkulia mfano yule jamaa nabii musa or moses aliambiwa nenda mahali fulan mukiona samak anatoka mwenyewe anaenda baharin bas ndio mahali mtakutana na mwamba mwenyewe huyo ana elimu kushinda wewe Musa. na kweli yule bwana alikua anajua yaliofichika.
haoa hakuna cha ajabu dunia hii pana.
Mkuu, jamaa amepangilia vizuri story yake na ina mtiririko mzuri bila shaka. Utakuwa umekosea kufuatilia kutokana na namna post zinavyokuwa updated hapa jf.Kwenye mtiririko wa hadithi yako sehemu ya 3 uliishia kusimulia umepelekwa na babu kuogeshwa maji chumvi ya bahari, ukavushwa nchi kavu na kuachwa kwenye madimbwi ya kamba mtoni.
Sasa baada ya hapo ukarukia hii uloweka muda si mrefu wahusika wakiwa ni wapishi wa visheti!
Ndonikasema hauunganishi simuliza yako, wadau hawawezi kuelewa.