Kwanza Kabisa Tunatakiwa Kujua Willpower Ni nini?
Willpower ni uwezo wa mtu kudhibiti matamanio, tabia, au hisia zake ili kufanikisha malengo ya muda mrefu au kufanya maamuzi sahihi.
Ni aina ya nguvu ya ndani (Sio Nguvu ya Nje) inayokuwezesha kupinga vishawishi au kuvumilia changamoto kwa ajili ya kufanikisha jambo muhimu zaidi.
Kwa lugha rahisi (Ya kimjini mjini) willpower ni uwezo wa kusema “
hapana” kwa kile kinachokuvutia lakini hakina faida, au “
ndiyo” kwa kile kinachohitaji juhudi kubwa lakini kina manufaa ya muda mrefu.
Hapo sijui Umenielewa?
Sasa lets Say mimi Nimeona Pesa Imeangushwa Na Mtu Njiani Kiasi cha Tsh 10Milion, Japo Ninao uwezo wa Kuichukua Hiyo Pesa na Nikaitumia Kwa Manufaa yangu binafsi kwa sababu hakuna anayeniona Wala kunizuia Ila Nikaamua Kutokuichukua Bali kuikota na Kumuita Mtu aliyeangusha hiyo Pesa na Kumpatia..
Kumbuka Hapo Willpower Yangu Imekuwa Kubwa Na Kunionyesha Kuwa mimi Ni mkubwa Kuliko Hiyo 10 Milion Japo Huenda Hata Sina 2000 Mfukuni ila Nimeona Kuchukua Pesa Ya Mtu ambayo sijaifanyia Kazi haina faida kwangu...
Sasa Twende How Willpower Inakuwa Abused au Missused..
Kuna antagonists ya willpower ambayo Huwa ni Ego..
Ego mara Nyingi huwa inaibuka sana kwa Kifupo ni kale ka Ubinasi ambako Moyo unakuwa nako kujiona una thamani sana Kushinda wengine hivyo kupelekea Kuabuse Willpower kwa kuelekeza Udhibiti wa Tabia na Matamanio kwenye Viti ambavyo hazina Msingi wa wewe Kukua Kiroho..
kwa mfano kuna Misingi ili ukue Kiroho unahitaji Kuifata ila Ego inakushawishi na Kukuambia Usifata mambo usiyoyajua na Mwisho wa Siku jipende wewe Maana Wote tutaingia Kaburini..
ego itakufanya Upende Material World na Mwisho wa siku utakuwa una Missuse Willpower Basi utatumia Energy Zenye Frequency ya Chini sana ambazo zitakupelekea Kwenye Lust, Greed, Gluttony, Envy,Wrath na zingine nyingj kama sad na vyote vile..
Uliza Mtu yoyote ambaye anajua Elimu ya Majini (Tukiacha hij Ya kiroho) atakuambia Hili kwamba Hizi ni Negative Energy kama Una willpower Kubwa huweiz kupata Uoga wala hasira kwa sababu unaamini kila kitu kina sababu..
hivyo haata kudhuriwa na Majini ni Vigumu sana Kuliko yule ambaye ameshamisuse willpower..
jini Hamuingii Mtu mpaka amtie kwanza Uoga Au Huzuni..
Japo willpower au Kushindwa Kuzuia Matumizi mabaya Ya willpower na Mtu kuingiwa na Tamaa Huwaza Kutokea Kwenye stage yoyote ya Kiroho au Level yoyote ila mara Nyingi..
huwatokea Wale wanaoanza Kuingia kwenye Kukua Kiroho..
Kwa Mfano Kama wwe Ni mkristo Utakuwa Unajua yale makanisa Saba yale sio makanisa Insuch ile ni stage za Kiroho na Willpower zake na Ushauri kuhusu Kutokuanguka na Kipi hasa Kitakuangusha kwa Kila stages..
Kama Unajua Kuhusu Hilo Nitaliacha ila Ukitaka Nielezeee Kuhusu Makanisa Saba na stages za Kukua Kiroho nitaeleza pia
Nataka Tudiscuss Static Electricity kama Unaikumbuka kwanza..
Unaikumbuka??
Kwamba nikisugua Kutana Kichwani kwangu Kitana Kinaanza Kusimamisha nywele au vipande vya Karatasi..
Au Nikisugua Puto halafu Nikaliweka Kichwani Kwenye Nywele litavuta Nywele Zangu kwa kuzinyanyua kidogo..
Sijui kama Unanielewa?
Sasa kama Unakumbuka ni kwamba Static Electricity Ni Umeme ambao Hautokei kukiwa na Charges zinazofanana lazima Charges moja Iwe negative na Positive..
So Mwili wa Jini una Charges..Due to High vibratory frequency Waliyonayo wenzetu..
Rejea
Coulomb's Law of the force between two charged from the objects. "
It states that the force between two point charges is directly proportional to the product of the magnitudes of the charges and inversely proportional to the square of the distance between them"
so Kutumia Hiyo Coulumbs Tunasema..
The direction of the force depends on the nature of the charges:
- If both charges are of the same sign (either both positive or both negative), the force is repulsive.
- If the charges are of opposite signs, the force is attractive.
Nafikiri Kidogo umeanza Kupata Picha..
Sasa ule Msisimko Ndo Huwa Atraction Force inayotokea Between wewe na Negative energy iliyopo maeneo hayo na ndo maana Baadhi ya Viungo husimama kama Nywele Etc..
Ila kama Una Negative energy basi huwezi hata Siku moja Kusisimka Kama Umekaa na Negative energy mwenzako..
Zaidi uta Repulse...
Kama Unaswali.Unaweza Kuongeza Nimeandika Haraka haraka Nilikuwa na shughuli nafanya Natamani uulize maswali kama Utaweza