Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hii haiwezi kuwa kweli mkuu..... Khidr ni mja mwema wa Mungu level ya kinabii yupo daraj ya juu sana, hawezi kufungwa kwenye chupa kama tulivyopata background ya Arsis kwa uchache!!
Khidr hutumwa na Mungu kwa mtu mara moja kufikisha utukufu wa Mungu na baadae huenda zake... Haya ya Khidr kukaa na mtu unamuita ukitaka umeyasikia wapi🤔

Ni kweli inafikirisha lakini Arsis kwa machapisho yake hapa uwwzekano wa kumuweka kundi la majinn n 60%
Nimetumia Neno Huenda Ila Usisahau Kuna waja Kibao tu waliopitia machungu au Kuwa Gerezani au kupata Misukosuko sio kwa sababu Ni waovu..
Ila Utukufu wa mungu uonekane..

Unakumbula Kuhusu A-sahab al kaaf au Watu wa Pangoni walikuwa na Kosa Gani Kulala kwa Muda wa Miaka 300 pangoni?
Je hawakuwa Wachamungu?

Vipi Kuhusu Uzair aliyelala na akahuishwa baada ya Miaka 100 naye alikuwa na kosa??

Neno nililotumia huenda maana Yake kulingana na Experience tulizo nazo kuhusu Waja wema Huenda na yeye ana hadithi kama Ya Waja Hao..
 
Nimempata Kaka muda huu mjinga kanitaja jina langu 😁🤣 na mie nimemtaja mwanangu anyways I have nothing to afraid of kujulikana kwangu sababu kuna member wanijua na sina shari na mtu majibizano huku mie na elimika naburudika.
Jamaa Ana Elimu Kubwa Sana nina Hakika Hii Haijatoka kwa Binadamu Hii Imetola Spiritual Realm..
Maana Ina Mchanganyiko
 
Nimetumia Neno Huenda Ila Usisahau Kuna waja Kibao tu waliopitia machungu au Kuwa Gerezani au kupata Misukosuko sio kwa sababu Ni waovu..
Ila Utukufu wa mungu uonekane..

Unakumbula Kuhusu A-sahab al kaaf au Watu wa Pangoni walikuwa na Kosa Gani Kulala kwa Muda wa Miaka 300 pangoni?
Je hawakuwa Wachamungu?

Vipi Kuhusu Uzair aliyelala na akahuishwa baada ya Miaka 100 naye alikuwa na kosa??

Neno nililotumia huenda maana Yake kulingana na Experience tulizo nazo kuhusu Waja wema Huenda na yeye ana hadithi kama Ya Waja Hao.
Hakika ya elim n ghaib, na ghaib haipo kwenye vitabu... Ili uweze kuelewa vizuri hayo mambo hapo juu ni mpaka upewe elim ya kiungu🤝

Yani usiyajue kwasababu umesoma sehem inatakiwa upate karama ya kuyajua automatic.... Ila ukisoma sehem utanibishia hapa mpk kesho!!!

Ngoja nikupe code ndogo... Ukitaka kujua kiumbe kipo level ipi kwenye ulimwengu wa kiroho, tizama uwiano wa energy yake!!!
Kila kitu kinaenergy ambayo hiyo ukiweza kuitrap ndo utajua Siri za ulimwengu wa aina zote!!

Ni daraj ya mbali kidogo...... Mfano ukikaa sehem mwili ukakusisimka (unajua hapa Kuna kitu kibaya.... Maana yake umeweza kuitrap energy)

Kwahy kukiweka kiumbe level ya KIMALAKUUT (Sio Jambo la kutizama au kutoa verse mbili tatu kwenye vitabu.... Ni Jambo zito sana
 
Kujua Energy ya Kiumbe Ni daraja Ndogo sana Sio ya Mbali tena bi Daraja la chini sana..
Utambuzi kutumia Energy unafanywa na Wale wa Level za Chini tena wanaitwa Aura Reading..

Na Mwingine anaweza akafanya Mistakes Kujua Kiumbe kina Level ndogo basi akahisi Ni Amateur..
Japo Sio Kweli Kwenye Spiritual Realm Kumantain Energy uliyo nayo Inataka inataka Willpower na Misimamo mikubwa sana "Hiyo haijalishi Uwe upande wa Nuru au Uwe upande wa Uovu"

Ukishidwa Kumentain Willpower bhasi unaweza ukajikuta aunafanya Misuse of Energy (Tunaziita Vital Energy) kwa sababu zinacontain Life Force yako wew kwenye Ulimwengu wa Kiroho (Spiritual Realm)

Kingine Kuna Watoto Wadogo ambao Bado hawaijui Balehe kwenye Ulimwengu wa Kiroho sana sana wa Kiume Huonekana wana energy kubwa sana Ila kiukweli kabisa hawana Level yoyote kwenye Spiritual Realm

Elimu ya Kiroho Ni Pana Sana...

Nimeona Umeandika Kuwa Ukiweza Kuitrap Energy basi Utasisimka Mwili ili Kuonesha Kitu kibaya..

Ukiona Mwili wako Unasisimka tu Bila Kupata Taarifa yoyote Ujue Bado Upo level ya Chini sana Kiroho..

Kwa kawaida Kadiri life Force, Vital force au Vital Energy inakuwa Kubwa Mwilini mwako basi ni Muda Unaanza kupata Tunaita Vipawa au Zawadi (Gifts) kutoka Kwa Aliye Juu..

Wengi huanza Kusisimka Mwili kama Ulivyosema ila Energy ikiwa kubwa Basi huchange na Kuwa Clairsentience (Yaani kupata Feeling hasa ya Nini Kinaendelea Maeneo yale kupitia instinct zake Huweza kujua Nini hasa Kinaendelea)..
Baadae akishakomaa ndo hufuata Claircognizance.
Kuweza kujua Kitu bila Kujua Amejuaje anaweza kusema tu fulani ana kitu fulani mwangalieni wakimuangalia kweli wanakuta anacho ukimuuliza Umejuaje anakwambia mimi.nimeshangaa najua tu..

Baada ya Kumaster hiyo huja zingine ambazo ni Clairaudience,Claircognizance,Clairgustance,Clairtangency na Ya mwisho kabisa Huwa ni Clairvoyance Hii ndo ya Mwisho kabisa..

So Elimu ya Kiroho ni Pana sana Inahitaji experience sana Kuliko Kawaida Tuendelee Kupata Elimu kutoka Kwa Rafiki yetu Arsis anayosema Ni 80% Ukweli Maana kuna baadhi ya Sehemu Kazitaja humo na Watu aliowataja ni watu halisi Japo wengine ni wa Miaka ya 2000s
 
HHa

Ahahhahaha umenifrahisha sana, ujue niliku- underestimate!!

Safi sana, mtu akiwa n learner sana huwa hata kumjibu unabidi upite juu juu tu kuhofia uelewa wake!!!
Nilikuelewa tofaut

Ila hapa pia mm umefanya nipate roho ya udadisi kidogo.... Hii elim yako wewe ni ya aina gani🤔
Umeipata kwa kusoma vitabu au umefanya meditation au umefanya fanya vipi
(Maana naona n elim nzur tu japo siyo niliyonayo mm!!
Tena wewe n Bora zaid kuliko mm sababu wewe unatumia elim... Ila mm vingi natumia Asraal
 
Mimi napenda Sana kujifunza kwa kusikiliza..
Japo kwenye Spirituality Huu ni mwaka wa 18..
Na nimeshaeleza Sana kuhusu mambo ya Kiroho humu Jukwaani..

KUhusu Experience Ninayo Ya muda mrefu..
Kuhusu Elimu Nimechukua Kutoka schools of Thought mbalimbali sana..

Niliwahi Kuwa Kaballah miaka 10 Iliyopita Nikaja Nikawa Na chama cha Meditation Nimekuwa Kwenye Shule za Kiroho nyingi sana..

Nimeanguka Mara Kadhaa sana kwenye Energy level ndo maana Mtu akizungumza Kuhusu Energy namuelewa Vizuri saana kwa Sababu licha ya Kuwa na Elimu Nimeexperience sana..

Nimewahi kuwa mwanachama wa NoFAP kabla sijahama na Kuwa Sexual Alchemists nimewahi Kupractise Taoism..

Kiufupi Elimu Ya Kiroho Ni pana Sanaaa
 
Kujua Energy ya Kiumbe Ni daraja Ndogo sana Sio ya Mbali tena bi Daraja la chini sana..
Utambuzi kutumia Energy unafanywa na Wale wa Level za Chini tena wanaitwa Aura Reading..

Na Mwingine anaweza akafanya Mistakes Kujua Kiumbe kina Level ndogo basi akahisi Ni Amateur..
Japo Sio Kweli Kwenye Spiritual Realm Kumantain Energy uliyo nayo Inataka inataka Willpower na Misimamo mikubwa sana "Hiyo haijalishi Uwe upande wa Nuru au Uwe upande wa Uovu"

Ukishidwa Kumentain Willpower bhasi unaweza ukajikuta aunafanya Misuse of Energy (Tunaziita Vital Energy) kwa sababu zinacontain Life Force yako wew kwenye Ulimwengu wa Kiroho (Spiritual Realm)

Kingine Kuna Watoto Wadogo ambao Bado hawaijui Balehe kwenye Ulimwengu wa Kiroho sana sana wa Kiume Huonekana wana energy kubwa sana Ila kiukweli kabisa hawana Level yoyote kwenye Spiritual Realm

Elimu ya Kiroho Ni Pana Sana...

Nimeona Umeandika Kuwa Ukiweza Kuitrap Energy basi Utasisimka Mwili ili Kuonesha Kitu kibaya..

Ukiona Mwili wako Unasisimka tu Bila Kupata Taarifa yoyote Ujue Bado Upo level ya Chini sana Kiroho..

Kwa kawaida Kadiri life Force, Vital force au Vital Energy inakuwa Kubwa Mwilini mwako basi ni Muda Unaanza kupata Tunaita Vipawa au Zawadi (Gifts) kutoka Kwa Aliye Juu..

Wengi huanza Kusisimka Mwili kama Ulivyosema ila Energy ikiwa kubwa Basi huchange na Kuwa Clairsentience (Yaani kupata Feeling hasa ya Nini Kinaendelea Maeneo yale kupitia instinct zake Huweza kujua Nini hasa Kinaendelea)..
Baadae akishakomaa ndo hufuata Claircognizance.
Kuweza kujua Kitu bila Kujua Amejuaje anaweza kusema tu fulani ana kitu fulani mwangalieni wakimuangalia kweli wanakuta anacho ukimuuliza Umejuaje anakwambia mimi.nimeshangaa najua tu..

Baada ya Kumaster hiyo huja zingine ambazo ni Clairaudience,Claircognizance,Clairgustance,Clairtangency na Ya mwisho kabisa Huwa ni Clairvoyance Hii ndo ya Mwisho kabisa..

So Elimu ya Kiroho ni Pana sana Inahitaji experience sana Kuliko Kawaida Tuendelee Kupata Elimu kutoka Kwa Rafiki yetu Arsis anayosema Ni 80% Ukweli Maana kuna baadhi ya Sehemu Kazitaja humo na Watu aliowataja ni watu halisi Japo *©wengine ni wa Miaka ya 2000s
Kama hutojar zielezee hzo daraj zilizobaki mpaka ya mwisho japo kwa uchache Kama ulivyofanya hapo awali.....

Hili darsa n zuri sana... Maana hizo daraj mm zilikuwa zinanipiga chenga Sana kuzijua na kuzipanga, sabb mengi mm nimejifunza mwenyewe na kuyajua kwa experience hvyohvyo!!

Japo sijafika mbali ila nadhan ntakuwa hapo kwenye daraj ya 3/4 hapo.....

Kama hutojar zama ndani kidogo utupe faida... Mungu atakulipa🤝
 
Nitaanzisha Uzi..Nitakutag Maana Sasa Hivi tupo kwenye Jukwaa la watu/Uzi wa mtu..

Si vyema kumuwekea Kitu ambacho yeye mwenyewe Huenda Hakipendi Kukielezea kwa Design yake
 
Kujua Energy ya Kiumbe Ni daraja Ndogo sana Sio ya Mbali tena bi Daraja la chini sana..
Utambuzi kutumia Energy unafanywa na Wale wa Level za Chini tena wanaitwa Aura Reading..

Na Mwingine anaweza akafanya Mistakes Kujua Kiumbe kina Level ndogo basi akahisi Ni Amateur..
Japo Sio Kweli Kwenye Spiritual Realm Kumantain Energy uliyo nayo Inataka inataka Willpower na Misimamo mikubwa sana "Hiyo haijalishi Uwe upande wa Nuru au Uwe upande wa Uovu"

Ukishidwa Kumentain Willpower bhasi unaweza ukajikuta aunafanya Misuse of Energy (Tunaziita Vital Energy) kwa sababu zinacontain Life Force yako wew kwenye Ulimwengu wa Kiroho (Spiritual Realm)

Kingine Kuna Watoto Wadogo ambao Bado hawaijui Balehe kwenye Ulimwengu wa Kiroho sana sana wa Kiume Huonekana wana energy kubwa sana Ila kiukweli kabisa hawana Level yoyote kwenye Spiritual Realm

Elimu ya Kiroho Ni Pana Sana...

Nimeona Umeandika Kuwa Ukiweza Kuitrap Energy basi Utasisimka Mwili ili Kuonesha Kitu kibaya..

Ukiona Mwili wako Unasisimka tu Bila Kupata Taarifa yoyote Ujue Bado Upo level ya Chini sana Kiroho..

Kwa kawaida Kadiri life Force, Vital force au Vital Energy inakuwa Kubwa Mwilini mwako basi ni Muda Unaanza kupata Tunaita Vipawa au Zawadi (Gifts) kutoka Kwa Aliye Juu..

Wengi huanza Kusisimka Mwili kama Ulivyosema ila Energy ikiwa kubwa Basi huchange na Kuwa Clairsentience (Yaani kupata Feeling hasa ya Nini Kinaendelea Maeneo yale kupitia instinct zake Huweza kujua Nini hasa Kinaendelea)..
Baadae akishakomaa ndo hufuata Claircognizance.
Kuweza kujua Kitu bila Kujua Amejuaje anaweza kusema tu fulani ana kitu fulani mwangalieni wakimuangalia kweli wanakuta anacho ukimuuliza Umejuaje anakwambia mimi.nimeshangaa najua tu..

Baada ya Kumaster hiyo huja zingine ambazo ni Clairaudience,Claircognizance,Clairgustance,Clairtangency na Ya mwisho kabisa Huwa ni Clairvoyance Hii ndo ya Mwisho kabisa..

So Elimu ya Kiroho ni Pana sana Inahitaji experience sana Kuliko Kawaida Tuendelee Kupata Elimu kutoka Kwa Rafiki yetu Arsis anayosema Ni 80% Ukweli Maana kuna baadhi ya Sehemu Kazitaja humo na Watu aliowataja ni watu halisi Japo wengine ni wa Miaka ya 2000s
Daah! Embu ngoja kwanza DR Mambo Jambo twende taratibu kidogo, Kuna vitu vinahitaji ufafanuzi zaidi hapa.
1. umesema ukishindwa ku maintain willpower unaweza kufanya misuse of energy... kivipi ? embu toa japo mfano wa kushindwa kumaintain willpower
2.Kuhusu kusisimka mwili, Hapa nina maswali mengi zaidi ila tuanze na haya, Je kusisimka mwili ni kiashiria cha kuwa kuna negative energy around ? yaani kitu kibaya au ata kitu kizuri kinaweza kuwa noticed kwa kusisimka mwili.? na je kuna uhusiano wowote wa sehemu ya mwili kucheza na mambo za kiroho?
 
Kwanza Kabisa Tunatakiwa Kujua Willpower Ni nini?

Willpower ni uwezo wa mtu kudhibiti matamanio, tabia, au hisia zake ili kufanikisha malengo ya muda mrefu au kufanya maamuzi sahihi.

Ni aina ya nguvu ya ndani (Sio Nguvu ya Nje) inayokuwezesha kupinga vishawishi au kuvumilia changamoto kwa ajili ya kufanikisha jambo muhimu zaidi.

Kwa lugha rahisi (Ya kimjini mjini) willpower ni uwezo wa kusema “hapana” kwa kile kinachokuvutia lakini hakina faida, au “ndiyo” kwa kile kinachohitaji juhudi kubwa lakini kina manufaa ya muda mrefu.

Hapo sijui Umenielewa?

Sasa lets Say mimi Nimeona Pesa Imeangushwa Na Mtu Njiani Kiasi cha Tsh 10Milion, Japo Ninao uwezo wa Kuichukua Hiyo Pesa na Nikaitumia Kwa Manufaa yangu binafsi kwa sababu hakuna anayeniona Wala kunizuia Ila Nikaamua Kutokuichukua Bali kuikota na Kumuita Mtu aliyeangusha hiyo Pesa na Kumpatia..

Kumbuka Hapo Willpower Yangu Imekuwa Kubwa Na Kunionyesha Kuwa mimi Ni mkubwa Kuliko Hiyo 10 Milion Japo Huenda Hata Sina 2000 Mfukuni ila Nimeona Kuchukua Pesa Ya Mtu ambayo sijaifanyia Kazi haina faida kwangu...

Sasa Twende How Willpower Inakuwa Abused au Missused..

Kuna antagonists ya willpower ambayo Huwa ni Ego..
Ego mara Nyingi huwa inaibuka sana kwa Kifupo ni kale ka Ubinasi ambako Moyo unakuwa nako kujiona una thamani sana Kushinda wengine hivyo kupelekea Kuabuse Willpower kwa kuelekeza Udhibiti wa Tabia na Matamanio kwenye Viti ambavyo hazina Msingi wa wewe Kukua Kiroho..

kwa mfano kuna Misingi ili ukue Kiroho unahitaji Kuifata ila Ego inakushawishi na Kukuambia Usifata mambo usiyoyajua na Mwisho wa Siku jipende wewe Maana Wote tutaingia Kaburini..

ego itakufanya Upende Material World na Mwisho wa siku utakuwa una Missuse Willpower Basi utatumia Energy Zenye Frequency ya Chini sana ambazo zitakupelekea Kwenye Lust, Greed, Gluttony, Envy,Wrath na zingine nyingj kama sad na vyote vile..

Uliza Mtu yoyote ambaye anajua Elimu ya Majini (Tukiacha hij Ya kiroho) atakuambia Hili kwamba Hizi ni Negative Energy kama Una willpower Kubwa huweiz kupata Uoga wala hasira kwa sababu unaamini kila kitu kina sababu..

hivyo haata kudhuriwa na Majini ni Vigumu sana Kuliko yule ambaye ameshamisuse willpower..

jini Hamuingii Mtu mpaka amtie kwanza Uoga Au Huzuni..

Japo willpower au Kushindwa Kuzuia Matumizi mabaya Ya willpower na Mtu kuingiwa na Tamaa Huwaza Kutokea Kwenye stage yoyote ya Kiroho au Level yoyote ila mara Nyingi..

huwatokea Wale wanaoanza Kuingia kwenye Kukua Kiroho..

Kwa Mfano Kama wwe Ni mkristo Utakuwa Unajua yale makanisa Saba yale sio makanisa Insuch ile ni stage za Kiroho na Willpower zake na Ushauri kuhusu Kutokuanguka na Kipi hasa Kitakuangusha kwa Kila stages..
Kama Unajua Kuhusu Hilo Nitaliacha ila Ukitaka Nielezeee Kuhusu Makanisa Saba na stages za Kukua Kiroho nitaeleza pia

Nataka Tudiscuss Static Electricity kama Unaikumbuka kwanza..
Unaikumbuka??

Kwamba nikisugua Kutana Kichwani kwangu Kitana Kinaanza Kusimamisha nywele au vipande vya Karatasi..

Au Nikisugua Puto halafu Nikaliweka Kichwani Kwenye Nywele litavuta Nywele Zangu kwa kuzinyanyua kidogo..

Sijui kama Unanielewa?

Sasa kama Unakumbuka ni kwamba Static Electricity Ni Umeme ambao Hautokei kukiwa na Charges zinazofanana lazima Charges moja Iwe negative na Positive..

So Mwili wa Jini una Charges..Due to High vibratory frequency Waliyonayo wenzetu..

Rejea Coulomb's Law of the force between two charged from the objects. "It states that the force between two point charges is directly proportional to the product of the magnitudes of the charges and inversely proportional to the square of the distance between them"

so Kutumia Hiyo Coulumbs Tunasema..

The direction of the force depends on the nature of the charges:

  • If both charges are of the same sign (either both positive or both negative), the force is repulsive.
  • If the charges are of opposite signs, the force is attractive.
Nafikiri Kidogo umeanza Kupata Picha..

Sasa ule Msisimko Ndo Huwa Atraction Force inayotokea Between wewe na Negative energy iliyopo maeneo hayo na ndo maana Baadhi ya Viungo husimama kama Nywele Etc..

Ila kama Una Negative energy basi huwezi hata Siku moja Kusisimka Kama Umekaa na Negative energy mwenzako..

Zaidi uta Repulse...

Kama Unaswali.Unaweza Kuongeza Nimeandika Haraka haraka Nilikuwa na shughuli nafanya Natamani uulize maswali kama Utaweza
 
Dah. Nakupata vyema sana!!

Hii willpower Kwa Mujibu wa maelezo yako sisi tunaiita ZUHUD.. Nafs ikifika hap inakuwa ni nafs iliyosalimika!!!! Anyway tupe darsa kidogo kuhusu hatua za ukuaji wa kiroho (Arsis hana neno alishatoa ruksa kila mtu awe huru kuleta elim Ili watu wapate faida
 
Mkuu!
Kwani we ni sufi (tasawwuf)?😳
 
Naam, Nimekuelewa vyema kabisa kuhusu willpower 👏
Kuhusu makanisa saba elezea pia maana ndio nasikia kwako kuhusu hilo.
 
Ndio, Static electricity naikumbuka na hapa ndipo nilipokuwa napataka haswa.
Ikiwa like charges repel and unlike charge attract tuiweke law hii katika maisha yetu ya kila siku yanayohusiana na spiritual world , Kumbe basi ikiwa mtu ni positive akakutana na mtu ambaye ni negative wote watasisimka mwili hivyo kwa njia hii tu kumbe ni rahisi mchawi kumjua mchamungu na mchamungu kumjua mchawi.
1. Je kwa upande wa positive kwa positive hakuna njia yoyote unaweza jua kua umezungukwa na positive maana positive kwa positive zita repel?
2. Umesema majini wana charges due to their high vibratory frequencies, That means their charges can be + or - right?, Vipi kuhusu viumbe wengine kama malaika na wanyama na wenyewe wana hizi charges?
 
Dah. Nakupata vyema sana!!

Hii willpower Kwa Mujibu wa maelezo yako sisi tunaiita ZUHUD.. Nafs ikifika hap inakuwa ni nafs iliyosalimika!!!! Anyway tupe darsa kidogo kuhusu hatua za ukuaji wa kiroho (Arsis hana neno alishatoa ruksa kila mtu awe huru kuleta elim Ili watu wapate faida
DR Mambo Jambo ningependa kujua pia kuhusu hatua za ukuaji wa kiroho.
 
Naam, Nimekuelewa vyema kabisa kuhusu willpower 👏
Kuhusu makanisa saba elezea pia maana ndio nasikia kwako kuhusu hilo.
Wewe Ni Mkristo??
Nataka kama Nikianza Kuyazungumzia Hayo makanisa Unielewe zaidi..
Kama Ni Muislam Nitatumia Nguvu Kukueleza
 
Back
Top Bottom