Hii ni maajabu😄😂😂What a surprise!!!! (Leo ni kinge tu kama DC)
Haujawahi kuoa, ila umesimuliwa hadi umeona ndoa ni majeraha......na hadi umeona itakua fair kwa biashara yako, yani kaoa yeye ila biashara yako itanyooka, oooh pole sana.
Basi sawa tuendelee na no reforms no election.
Musukuma chapa ng'ombeKumbe bro we ngosha
Kabisa broHii ni maajabu😄😂😂
Sema sikuizi naona kama uchawi umeshuka bei😃😃,.Kabisa bro
sanaaDuh! Ila ubinadamu kazi sana.
Radi si buku jero bro au zimeongezwa tozo?Sema sikuizi naona kama uchawi umeshuka bei😃😃,.
Huko kwenu mnanunua shingapi broo??
Kwa bongo mara nyingi ukisikia "vi dili" huwa ni wizi, alafu baada ya miaka kadhaa ofisi inafungwa, waajiriwa wanarudisha makwao. Then wanaanza kulalamika ukosefu wa ajira.wakuu zenu Dua, maana naona it's my turn to rule the game.🔥🔥🤣🤣🤣🤣
baaasi ndio maana tuko wengi😂😂,.Radi si buku jero bro au zimeongezwa tozo?
JidanganyeHujui ndoa ni jeraha mkuu, kataa ndoa sio mabwege.
hapo ni 30 kutoboa, 70 kuharibu.
Ba parokwo upo?Jidanganye
Nipo mambo vipi ma parokwo?Ba parokwo upo?
Unaweza shangaa akaoa na mambo yake yakamuendea vizuri sijui utajificha wapi. Sio kila kitu kuwazia mabaya tu.Ndoa ni sawa sawa na kuingia kinyume nyume ndani ya ghetto la wahuni.
Kama hawa kujui, ndio utajua hujui.
Nime cheka Sana, bro kwanini ofisi zifungwe sasa 😂🤣Kwa bongo mara nyingi ukisikia "vi dili" huwa ni wizi, alafu baada ya miaka kadhaa ofisi inafungwa, waajiriwa wanarudisha makwao. Then wanaanza kulalamika ukosefu wa ajira.
Mambo ni poa, unaendeleaje?Nipo mambo vipi ma parokwo?
Wala sija muwazia mabaya, it's just business.Unaweza shangaa akaoa na mambo yake yakamuendea vizuri sijui utajificha wapi. Sio kila kitu kuwazia mabaya tu.
Oya bro haji manara niaje?Jidanganye
Ngosha wa mwanza huyoKumbe bro we ngosha
Dah enzi zile ukila big g una onekana don kweli kweli🤣😂Njoo nazo tu ila uweke grease kwenye taya
Bro unge kuwa mweupe wange kutolea ng'ombe 30, Kama siyo kukuibia😂🤣Musukuma chapa ng'ombe