Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38]Once a traitor...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Once a traitor...?
Ni kweliDr.Slah anajua kujenga hoja ni mzuri kwenye kuzungumza watu wakamuelewa.sishangai akitakiwa na vyama vya siasa kupiga nondo.
Ndivyo mi CCM ilivyo , ni MambaDr.Slah anajua kujenga hoja ni mzuri kwenye kuzungumza watu wakamuelewa.sishangai akitakiwa na vyama vya siasa kupiga nondo.
Always a traitor.Once a traitor...?
Dr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima.
Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge nao na amekataa.
Hongera sana Dr Slaa kwa kazi nzuri uliyofanya wakati wako.
Naona sasa uko mtari wa mbele kutetea maridhiano na ujio wa Katiba Mpya.
Mungu akubariki.
Aje kwetu CHAUMA ni mwendo wa kula ubwabwa tu hapa hatuna bayaDr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima.
Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge nao na amekataa.
Hongera sana Dr Slaa kwa kazi nzuri uliyofanya wakati wako.
Naona sasa uko mtari wa mbele kutetea maridhiano na ujio wa Katiba Mpya.
Mungu akubariki.
huyu ni mnafiki haaminiki tenaDr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima.
Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge nao na amekataa.
Hongera sana Dr Slaa kwa kazi nzuri uliyofanya wakati wako.
Naona sasa uko mtari wa mbele kutetea maridhiano na ujio wa Katiba Mpya.
Mungu akubariki.
Once a traitor.. Always a traitor.. No matter what no matter why...!Slaa sio traitor,mtu aliyesimamia maamuiz yake,mimi mwenyewe niliacha kupenda CDM alivyokuja Lowasa. Slaa alikuja kubadilika mtazamo wakati wa Magufuli yupo madarakani na ilieleweka maana alikuwa na familia ya kulisha na ndio ulikuwa mfumo unaofanya kazi kipindi hiko ili uishi....Kwa sasa amerudi kwenye sense zake sababu ya ulingo wa kisiasa ulivyo fair.
Mkuu Lowassa alirudi CCM tangu mwaka 2018, na Slaa aliendelea kuimba CCM ni chama kizuri na bora nyakati zote hizo huku akila kuku na mrija kule Sweden akiwa balozi. Hiyo imekaaje?Not a traitor ila hakutaka kuwa mnafiki.
Ingekuwa ni fedheha kwake kusimama jukwaani na Lowasa akimnadi kwa kumsifia kuwa anafaa kwa urais mtu waliyezunguka miaka nane nchi nzima na chopa na kutuchangisha juu kuwa hafai hata kuwa diwani.
Ni sawa na we mzee umchafue mwanamke kwa majina yote mabaya mbele ya rafiki zako kisha siku uwaambie unamuoa.
Kwa hili hapana. Slaa aliisaliti CHADEMA kabla ya Magufuli hajaingia madarakani, Slaa alinunuliwa na serikali ya CCM chini ya JK mwaka 2015 (July) ili kuhakikisha Lowassa haingii madarakani. Magufuli aliingia madarakani akamkuta tayari Dr. Slaa yupo sebuleni akisubiria kupewa sahani lake la ubwabwa (cheo), na Slaa akapewa sahani lake la ubwabwa (ubalozi) akaenda kulitafunia zake Sweden.Dr Slaa in CDM damudamu ila awamu ilyopita wengi iliwavuruga,hata hivy hauna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu katika siasa. CDM irudishe wote waliokipigania chama muda mrefu wakiwemo wale akina mama 19,hali ya sisa itawafanya watulie na kufanya siasa safi. Yaliyotokea yote ni ajali kazini tu.
...... Always a traitor.Once a traitor...?
Slaa akirudi Chadema bado utakuja na maneno ya kutetea chadema kumrudisha huyo traitor kama mlivyofanya kwa chadema kumleta Lowassa(fisadi), Chadema kukubali tena pesa za ruzuku walizokataa n.kOnce a traitor.. Always a traitor.. No matter what no matter why...!
Sio kweli anaweza kuongoka.Always a traitor.
Mambo ya chadema hayakuhusu. Ya ccm yamekushinda?Slaa akirudi Chadema bado utakuja na maneno ya kutetea chadema kumrudisha huyo traitor kama mlivyofanya kwa chadema kumleta Lowassa(fisadi), Chadema kukubali tena pesa za ruzuku walizokataa n.k