Nimeacha CHADEMA vijana wengi imara, vyama sita vimeniomba nijiunge nao

Dr.Slah anajua kujenga hoja ni mzuri kwenye kuzungumza watu wakamuelewa.sishangai akitakiwa na vyama vya siasa kupiga nondo.
 

Kutetea tumbo
 
Aje kwetu CHAUMA ni mwendo wa kula ubwabwa tu hapa hatuna baya
 
huyu ni mnafiki haaminiki tena
 
Once a traitor.. Always a traitor.. No matter what no matter why...!
 
Dr Slaa in CDM damudamu ila awamu ilyopita wengi iliwavuruga,hata hivy hauna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu katika siasa. CDM irudishe wote waliokipigania chama muda mrefu wakiwemo wale akina mama 19,hali ya sisa itawafanya watulie na kufanya siasa safi. Yaliyotokea yote ni ajali kazini tu.
 
Mkuu Lowassa alirudi CCM tangu mwaka 2018, na Slaa aliendelea kuimba CCM ni chama kizuri na bora nyakati zote hizo huku akila kuku na mrija kule Sweden akiwa balozi. Hiyo imekaaje?
 
Kwa hili hapana. Slaa aliisaliti CHADEMA kabla ya Magufuli hajaingia madarakani, Slaa alinunuliwa na serikali ya CCM chini ya JK mwaka 2015 (July) ili kuhakikisha Lowassa haingii madarakani. Magufuli aliingia madarakani akamkuta tayari Dr. Slaa yupo sebuleni akisubiria kupewa sahani lake la ubwabwa (cheo), na Slaa akapewa sahani lake la ubwabwa (ubalozi) akaenda kulitafunia zake Sweden.
Awamu iliyopita (ya Magufuli) hamkutesa wala kumgusa Slaa, mama Samia ndio amemlaza njaa Dr. Slaa.
 
Once a traitor.. Always a traitor.. No matter what no matter why...!
Slaa akirudi Chadema bado utakuja na maneno ya kutetea chadema kumrudisha huyo traitor kama mlivyofanya kwa chadema kumleta Lowassa(fisadi), Chadema kukubali tena pesa za ruzuku walizokataa n.k
 
Slaa akirudi Chadema bado utakuja na maneno ya kutetea chadema kumrudisha huyo traitor kama mlivyofanya kwa chadema kumleta Lowassa(fisadi), Chadema kukubali tena pesa za ruzuku walizokataa n.k
Mambo ya chadema hayakuhusu. Ya ccm yamekushinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…