Usiandike barua.Nilimwambia kwa maneno sasa nataka nimwandikie barua
Boss wako kakuficha option ya 3 ya kuondoka kazini. Muajiri anaweza kumuachisha kazi muajiriwa kwa utoro. Piga kimya ionekane kama mtoro na kazi inaishia hapo.
Narudia tena, USIANDIKE BARUA