C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 364 Reaction score 767 Jan 13, 2025 #21 ranchoboy said: Nilimwambia kwa maneno sasa nataka nimwandikie barua Click to expand... Usiandike barua. Boss wako kakuficha option ya 3 ya kuondoka kazini. Muajiri anaweza kumuachisha kazi muajiriwa kwa utoro. Piga kimya ionekane kama mtoro na kazi inaishia hapo. Narudia tena, USIANDIKE BARUA
ranchoboy said: Nilimwambia kwa maneno sasa nataka nimwandikie barua Click to expand... Usiandike barua. Boss wako kakuficha option ya 3 ya kuondoka kazini. Muajiri anaweza kumuachisha kazi muajiriwa kwa utoro. Piga kimya ionekane kama mtoro na kazi inaishia hapo. Narudia tena, USIANDIKE BARUA