Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

Unawaonea tu hao Makolo, sijazungumza kwa niaba yao.
 
Umesoma uzi mkuu? au sijaeleweka.
 
Kwamba mechi dhidi ya Mashujaa ilikuwa nyepesi!!!?? Au ulihadithiwa? Ile mechi ingewezekana kuisha 3-3 kama si ubora wa kikosi cha Yanga. Tupunguze mahaba, tuangalie mpira kwa uhalisia wake.
 
Kk umemaliza kilakitu sitoweka comment Zaid ntaharibu🤣🤣
 
Nimesoma kote ila ulivyoleta story kuwa hizo timu nyingne sijui wakikutana na Simba basi wanawakazi, kiukweli sijaendelea kusoma tena.
Ww mechi za Simba huwa unaangalia kweli? Magoli ya penalt za mchongo alafu unasema wanawakazia!!
Penati za so called ni mapungufu ya referee, ambayo hutokea sababu uwezo mdogo, makusudi ya referee na sio timu pinzania. Ila huu uzi umejikita katika timu pinzani na sio wasimamizi wa mchezo ambayo in issue nyingine kabisa.
 
Kwamba mechi dhidi ya Mashujaa ilikuwa nyepesi!!!?? Au ulihadithiwa? Ile mechi ingewezekana kuisha 3-3 kutokana na ushindani waliotoa mashujaa
Nilikua KMC Complex tulitoka na kila mtu alikubalia ile magoli yote yalikuwa sababu ya uzembe wa Khomein, ila mechi ilikuwa nyepesi sana kwa Yanga. Truth must be told.
 
Penati za so called ni mapungufu ya referee, ambayo hutokea sababu uwezo mdogo, makusudi ya referee na sio timu pinzania. Ila huu uzi umejikita katika timu pinzani na sio wasimamizi wa mchezo ambayo in issue nyingine kabisa.
timu gani pinzani haiiogopi yanga
rejea kauli za dube na kiemba wakiwa azam una ambiwa mechi na yanga viongozi wana weka mipango madhubuti ya kushinda na wakipoteza wanaumia sana tofaut na mechi za simba

wapinzani wa yanga wote wanatamani kukaza sana shida wanazidiwa sana
 
Yes niliwahi kusikia hili. Hivyo tunakubaliana kuna wakati sababu nje ya uwanja kama zile za kiongozi au kiushabiki hupelekea kuathiri ushindani ya ndani ya uwanja.

I think nimekuelewa Mkuu.
 
Hizi ndo Akili za Washabiki wa Mpila wa Tanzania Taja Mechi Tatu za Simba za hivi Karibuni Na mechi Tatu za Yanga hizi Zilizopita Alafu linganisha Kiwango cha Ushindani Ndani ya kiwanja Kuanzia kimbinu na kiufundi Ndo utajigundua kuwa Yanga imekufanya uwe Zwazwa Kichwani.
 
Uzuri wa Maigizo huwa na Muda wa Kuanza na muda wa kwisha.
 
We hujui chochote kuhusu Yanga mmeenda mpilani na vibukta kisa Ally kamwe mmepaka hina nywele kisa Kamwe mmevaa Misuli kisa Kamwe Mmejipaka mafuta wenyewe kisa Ally kamwe mmeenda na Gari la maji taka Nyumbani kwa Lloyd Nchunga Eti Wavumilivu au UlikuwA Bado Mbwinde ujaja Mjini?
 
Nimetazama mechi zote
Ni matokeo ya kimchezo na Yanga anapata mechi ngumu na kufungwa.
Kama ingekuwa ivo kwanini Yanga anafungwa
Wapinzani wanapata on target
Yanga anataka card
Yanga wachezaji wanaumia
Si angekuwa anafika na kushinda
Match Fixing wachezaji Hawasimami tu kama Milingoti au minara ya Simu Hivi kweli kichwani Wenyewe Wapo?
 
Kiwango chao halisi ni Kule wanakoshika Nafasi ya Kwanza kutoka chini
 
Match Fixing wachezaji Hawasimami tu kama Milingoti au minara ya Simu Hivi kweli kichwani Wenyewe Wapo?
Yanga alivompiga 5imba mara nne mfululizo
5imba ilifanya mechi fixing?
 
Match Fixing wachezaji Hawasimami tu kama Milingoti au minara ya Simu Hivi kweli kichwani Wenyewe Wapo?
Afadhali umemjibu. Anadhani match fixing ikiwepo, wachezaji wanakuja wanachuchumaa uwanjani halafu timu nyingine inajifungia tu magoli.
 
Afadhali umemjibu. Anadhani match fixing ikiwepo, wachezaji wanakuja wanachuchumaa uwanjani halafu timu nyingine inajifungia tu magoli.
5imba kafungwa mara nne mfululizo
Kuna mechi fixing?
 
simba vs kagera, vs kengold, vs jkt magoli ya kufunga 8 ya kufungwa 2

yanga vs mashujaa, vs prison, vs dodoma magoli ya kufunga 11 ya kufungwa 2

kwa takwimu hizo nani ana kiwango hapo, ama una takwimu nyingine
 
5imba kafungwa mara nne mfululizo
Kuna mechi fixing?
Jifunze kujibu hoja maana una maswali 100 katika mtihani wewe majibu yako ni matatu tu, "5imba" kufungwa mara nne mfululizo, "5imba" kufungwa goli 5 na "5imba" kucheza kombe la kina mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…