zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
match fixing bongo zitakuwa zinafanywa na marefaMatch Fixing wachezaji Hawasimami tu kama Milingoti au minara ya Simu Hivi kweli kichwani Wenyewe Wapo?
kama yule refa wa simba vs costal unioni alimaliza mpira baada ya kuona simba anaenda kufungwa
zile sasa ndo mechi matokeo yanapangwa