Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

Ila kupitia mechi ya leo naamini TFF na bodi ya ligi lazima wataamka kutoka usingizini. Ni fedheha kubwa kwa ligi yetu.
Fedheha gani?
Matokeo ni 2_1
Job amefanya super save ambayo inge equalize matokeo
Singida wametoa challenge nzuri hadi coach wa Yanga amelaumu wachezaji hawakucheza vizuri
SBS hawakujifunga?
Hakuna penalty
Hakuna own goal
Sasa match fixing hiyo ikoje
Au ili match fixing isiwepo hadi Yanga afungwe
 
Nakumbuka Wolves walishawahi adhibiwa na FA sababu ya kupanga kikosi kilichotafsirika kuwa ni dhaifu.

Kupitia point hiyo tu, angalia kikosi cha Singida dhidi ya Yanga. Hapa tu TFF wakisimamia hii mechi lazima adhabu zitolewe.
 
Elvis Rupia ndo top scorer wa SBS ana goals 8 ulitaka coach aanze na striker gani
Sergie Pokou huyu ni kiungo hatari ametokea Al Hilal na aliwafunga makolo

Damaro Camara huyu sisemi sana
Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora United huyu ndo alizuia Yanga na Leo amefanya kazi vizuri kabisa

Gadiel Michael amecheza Azam Yanga na Simba ni beki mzuri

Morice Chuku huyu ni mchezaji kiraka anaziba kama kiungo na beki
Hapo ni mfano
Mchezaji gani pale alikuwa dhaifu
 
Wanasema kila mmoja ashinde Mechi zake!
 
Well ni sahihi Singida kuwaweka benchi wachezaji muhimu kama Trabi, Bada, Imoro, Ande hata Chukwu kwa mechi nzito kama hii na Yanga??

Then, unaingiza Chukwu akacheze beki wakati bechi una A. Tra Bi?

Wewe kwako unaona sawa?

Hii kwako ni kawaida??
 
Mipango ya bench la ufundi
laZima uheshimu
Coach ndo anafanya nao mazoezi kambini ndo anajua fitness Yao na Nini walionyesha mazoezini
Kama Chikwu alifanya vyema kwenye uwanja wa mazoezi laZima apewe match na TRA bi akae bench
Hakuna mchezaji ana haki ya kukaa bench
Aki perform mazoezini anapewa game
 
Mbona wewe unawatetea sana singida leo? Uko kwenye payroll ya madellu?
 
Eeh unaweza kuelezea yanga itapata hasara ya kiasi gani kutokana na wewe kuacha kutazama mechi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…