Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

Mkuu huu ni mpira na mpira ili unoge lazima kuwe na ushabiki wa kiupinzani baina ya pande mbili, oscaroscar wapo wanamuona tahira kwa tweets zake lakini ndio njia aliyoamua kuitumia kwenye social networks kufikisha ujumbe

Ushabiki ambao mimi siupendi ni ule wa yanga kuwa tayari kuvaa jezi ya timu kutoka taifa la mbali na kuishabikia eti kisa tu inacheza na simba

Kiukweli mimi leo mniwie tu radhi maana hicho kipindi tulichokipitia kuisubiria siku ya leo nilikuwa nakereka sana kuona jina la mayele likitajwa tajwa kama ndio mchezaji kiboko kwa ajili ya simba

Nataka muiue hii dhana tegemezi ili msiirudie katika marudiano ya mzunguko wa pili. Mna wachezaji wengi why mayele kila muda??

Badilikeni bana eboo!
 
Mimi hata sio shabiki wa mpira na sijaanza kukusoma kwa Mayele tu. Kama ningekuwa mgeni ningeona wewe ni mtu wa kawaida but sio, nakufahamu kwenye mada nyingine uko brilliant
 
Simba mpira umewashinda imebidi wawekeze nguvu zao na maarifa kwenye swala la nembo ya gsm na swala la babra kunyimwa kuingizia familia yake kwenye jukwaa maalumu 😂
 
Hahah hoja zako zinafikirisha daaa sijui ntaweza kuachana na simba hahaha
 
utaniambia nini mbele ya Simba?.
Nimeanza kuipenda Simba kipindi Cha madaraka seleman.
Mpaka Leo nadhani Mungu akipenda nitakuwa Kama mzee AKILI Mali na yanga yake
Utoto raha sana
 
Bora hata netball ntafaidi kuona mapaja ya wadada
itakuwa shabiki wa kabwilicious SC bila shaka.

Nunua na kijora kabisa, ila make-up na wanja Ni hiari kupaka.

Nb:hakuna mwanamke anasisimka kwa kuona mapaja ya mwanamke mwenzie. Just utani! Coz nyie Utopolo hamkawii kwenda CAS.
 
Mashabik wa yanga waanza kujistaafisha kwa kukwepa aibuu...na bdo mtakimbia sanaa...hapa ndo mwanzo tu....bdo hao jesemu hawajawaingiza chaka vzur
 
Bro we achana na mpira kashabikie tamthilia tu.
Ukiwa shabiki wa mpira halafu ukawa unataka uone logic/reasoning kwenye kila kitu basi mpra haukufai.
Utamu wa mpira ni kutokuwa na reasoning
 
Acha kwani umelazimishwa,endelea na kazi yako ya kufuga majini uliyofundishwa na maalim Abassy.
 
usifananishe mpira na mambo ya uswahilini bro
 
Kama zamani kocha wa Manchester United babu ferguson alimwambia refa maliza mpira muda... mpira una matokeo matatu kushinda draw na kufungwa lolote lazima litokee
Kwako naona uwezi UTANI wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…