Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mkuu huu ni mpira na mpira ili unoge lazima kuwe na ushabiki wa kiupinzani baina ya pande mbili, oscaroscar wapo wanamuona tahira kwa tweets zake lakini ndio njia aliyoamua kuitumia kwenye social networks kufikisha ujumbeMashabiki wa mpira unaowasema ni wabongo. Sidhani kama uko duniani huwa hawana akili kama hawa ndugu zetu mashabiki wa Simba na Yanga.
Bongo mashabiki lialia wa mpira wengi wana upungufu wa akili (samahani kwa kusema ukweli). Ndio maana kina Salah, ambaye nimemuona mara nyingi ofisini kwake na kina Soloka na wengine top wa GSM Group of Companies ambao ndio wanaweka hela zao hawafatilii mpira kivile wala hawana pressure nao, Mo na watu wake sijui maana sijawahi kuwa karibu nae. Njaa kali ambao hawana majukumu na mambo mazito ndio wanatilia sana mkazo mpira. Wewe uliwahi ona Roman Abrahmovich anaonesha hata dalili za kusikitika Chelsea ikifungwa? Wamiliki kibao wa klabu hata viwanjani hawajawahi kanyaga.
Ukitaka kujua fatilia michango ya wadau humu kwenye mpira. Ukikutana na Scars kwenye mada za mpira unadhani ni kilaza. Ukimkuta mada nyingine unaona kabisa huyu mtu akili anazo. Ndio maana fake news nyingi ni za mpira kama ile barua ya wachoma vitumbua ya jana ambayo kuna watu na akili zao waliamini imetoka CAF na English yake ya kuchomelea.
Ushabiki ambao mimi siupendi ni ule wa yanga kuwa tayari kuvaa jezi ya timu kutoka taifa la mbali na kuishabikia eti kisa tu inacheza na simba
Kiukweli mimi leo mniwie tu radhi maana hicho kipindi tulichokipitia kuisubiria siku ya leo nilikuwa nakereka sana kuona jina la mayele likitajwa tajwa kama ndio mchezaji kiboko kwa ajili ya simba
Nataka muiue hii dhana tegemezi ili msiirudie katika marudiano ya mzunguko wa pili. Mna wachezaji wengi why mayele kila muda??
Badilikeni bana eboo!