African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Kwahiyo unatushaurije kwasababu wewe mwenyewe ndo uliisifia na kutuaminisha kuwa flutter na dart ni baba lao saivi unaikana tena kumbe ulikua ujaifahamu vizuri kwahiyo unashauri turudi kwenye Kotlin,java??Dart nimeijua haswaa. Nilikua natengeneza app inayofanana na instagram.. UI iko fresh ila ilikua ina lag kwenye kufanya baadhi ya vitu.. kama kufungua camera, kuaccess gallery, nk.
Pia ukituma sana network requests kuna lagging inatokea. Sio kwamba naandika code chafu, hapana.. ila haina performance nzuri kwa apps kubwa kubwa.
Kingine ile feel ya app yenyewe ukiitumia kwenye physical device.. hairidhishi kabisa yani inaharibu User Experience
Sio kwamba Flutter haifai, hapana. Kwa nilichokiona, Flutter iko vizuri sana kwenye kutengeneza UI kwa haraka na upande wa performance kwa apps ndogo ndogo ipo vizuri pia.Kwahiyo unatushaurije kwasababu wewe mwenyewe ndo uliisifia na kutuaminisha kuwa flutter na dart ni baba lao saivi unaikana tena kumbe ulikua ujaifahamu vizuri kwahiyo unashauri turudi kwenye Kotlin,java??
Btw
Mimi sio App dev ni web dev ila kwa mda mrefu natamani kujifunza App dev na nilitaka nianze na flutter due to its simplicity
Haya acha tuone mwisho usije ukarukia kwenye kotlin na Java tenaSio kwamba Flutter haifai, hapana. Kwa nilichokiona, Flutter iko vizuri sana kwenye kutengeneza UI kwa haraka na upande wa performance kwa apps ndogo ndogo ipo vizuri pia.
Ila kama unatengeneza apps kubwa zenye mambo mengi au zenye demand kubwa ya hardware, Bado sijaiamini ukilinganisha na native apps..
Kingine nilichokiona.. SwiftUI inafanana sana na Flutter kwenye utengenezaji wa UI.. hivo sioni haja ya kutumia flutter.
Bado sijagusa Native Android development.. ila nasikia Jetpack Compose imerahisisha sana kwenye kutengeneza UI za android apps.
Napiga swiftUI then nahamia kwenye Kotlin / Jetpack Compose ili niwe natengeneza ios apps na android apps nativelyHaya acha tuone mwisho usije ukarukia kwenye kotlin na Java tena
Ulete kitu kama B2b ecommerce kama iyo screenshot ulioiweka apo au ulete kitu kikubwa zaidi...
hapo angeandika diamond kafumaniwa na zuchu saa hizi uzi ungekuwa page ya 100Yaani vikiongeleka vitu vya kutumia akili usione ajabu watu wawili ndiyo wanajibizana tu kwenye uzi .
Sasa ongelea mapenzi , siasa kila mtu mdomo mrefu by the way hongera ila iombee Tanzania .
Flutter hatari sana hivi sio Instagram kweli hapana ni facebook kumbe , hapo sawa
Ivi back end unapiga kweli mkuu?Napiga swiftUI then nahamia kwenye Kotlin / Jetpack Compose ili niwe natengeneza ios apps na android apps natively
Ndio mkuu napiga kwa node js & express..Ivi back end unapiga kweli mkuu?
Noma sana mkuu 😀Yaani vikiongeleka vitu vya kutumia akili usione ajabu watu wawili ndiyo wanajibizana tu kwenye uzi .
Sasa ongelea mapenzi , siasa kila mtu mdomo mrefu by the way hongera ila iombee Tanzania .
Flutter hatari sana hivi sio Instagram kweli hapana ni facebook kumbe , hapo sawa
Apo safi..Ndio mkuu napiga kwa node js & express..
Na web napiga pia
Mkuu nimedownload android studio ila napata wakati mgumu kuiset fresh ikarun sasa sijui kwasababu pc haikidhi minimum requirement za resolutionNdio mkuu napiga kwa node js & express..
Na web napiga pia
..Mkuu nimedownload android studio ila napata wakati mgumu kuiset fresh ikarun sasa sijui kwasababu pc haikidhi minimum requirement za resolution
Ram 8gb, processor 2.4 core i5, ssd 256gb, graphics card nadhan ina 2gb ni intergrated, ni inches 14.5Unakwama kwenye hatua gani? PC yako ina specs gani?
PC yako iko vizuri.. Ni 32bit au 64bitRam 8gb, processor 2.4 core i5, ssd 256gb, graphics card nadhan ina 2gb ni intergrated, ni inches 14.5
Weka screenshot ya error message