Nimeachana Rasmi na Flutter. Sasa ni ios/SwiftUI

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development.

Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps.

Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza IOS Apps kwa kutumia SwiftUI.

So far nimependa jinsi SwiftUI inavyofanania na Flutter kwenye upande wa kutengeneza UI. Zaidi nimependa State Management ya SwiftUI haichanganyi kama ile ya BLoC au Riverpod. Japo naimiss ile hot reload feature ya Flutter.
 
Attachments

  • Screenshot 2023-09-16 at 12.11.22.png
    Screenshot 2023-09-16 at 12.11.22.png
    472.8 KB · Views: 24
Aisee unarukaruka sana coz hujajua dart vizuri unasema perfomance??kitu cha google kabisa unasema flutter haina perfomence nzuri??Ulidevelop App gani kwa mfano ukaona perfomance yake ni ndogo mkuu

Btw swift kwenye UI na frontend kwa ujumla wako vizuri sana
 
Dart nimeijua haswaa. Nilikua natengeneza app inayofanana na instagram.. UI iko fresh ila ilikua ina lag kwenye kufanya baadhi ya vitu.. kama kufungua camera, kuaccess gallery, nk.

Pia ukituma sana network requests kuna lagging inatokea. Sio kwamba naandika code chafu, hapana.. ila haina performance nzuri kwa apps kubwa kubwa.

Kingine ile feel ya app yenyewe ukiitumia kwenye physical device.. hairidhishi kabisa yani inaharibu User Experience
 
Kwahiyo unatushaurije kwasababu wewe mwenyewe ndo uliisifia na kutuaminisha kuwa flutter na dart ni baba lao saivi unaikana tena kumbe ulikua ujaifahamu vizuri kwahiyo unashauri turudi kwenye Kotlin,java??

Btw
Mimi sio App dev ni web dev ila kwa mda mrefu natamani kujifunza App dev na nilitaka nianze na flutter due to its simplicity
 
Sio kwamba Flutter haifai, hapana. Kwa nilichokiona, Flutter iko vizuri sana kwenye kutengeneza UI kwa haraka na upande wa performance kwa apps ndogo ndogo ipo vizuri pia.

Ila kama unatengeneza apps kubwa zenye mambo mengi au zenye demand kubwa ya hardware, Bado sijaiamini ukilinganisha na native apps..

Kingine nilichokiona.. SwiftUI inafanana sana na Flutter kwenye utengenezaji wa UI.. hivo sioni haja ya kutumia flutter.

Bado sijagusa Native Android development.. ila nasikia Jetpack Compose imerahisisha sana kwenye kutengeneza UI za android apps.
Hivo nikiwa comfortable na ios development, nitahamia kwenye android development
 
Sio kwamba Flutter haifai, hapana. Kwa nilichokiona, Flutter iko vizuri sana kwenye kutengeneza UI kwa haraka na upande wa performance kwa apps ndogo ndogo ipo vizuri pia.

Ila kama unatengeneza apps kubwa zenye mambo mengi au zenye demand kubwa ya hardware, Bado sijaiamini ukilinganisha na native apps..

Kingine nilichokiona.. SwiftUI inafanana sana na Flutter kwenye utengenezaji wa UI.. hivo sioni haja ya kutumia flutter.

Bado sijagusa Native Android development.. ila nasikia Jetpack Compose imerahisisha sana kwenye kutengeneza UI za android apps.
Haya acha tuone mwisho usije ukarukia kwenye kotlin na Java tena

Ulete kitu kama B2b ecommerce kama iyo screenshot ulioiweka apo au ulete kitu kikubwa zaidi...
 
Napiga swiftUI then nahamia kwenye Kotlin / Jetpack Compose ili niwe natengeneza ios apps na android apps natively
 
Yaani vikiongeleka vitu vya kutumia akili usione ajabu watu wawili ndiyo wanajibizana tu kwenye uzi .

Sasa ongelea mapenzi , siasa kila mtu mdomo mrefu by the way hongera ila iombee Tanzania .

Flutter hatari sana hivi sio Instagram kweli hapana ni facebook kumbe , hapo sawa
hapo angeandika diamond kafumaniwa na zuchu saa hizi uzi ungekuwa page ya 100
 
Yaani vikiongeleka vitu vya kutumia akili usione ajabu watu wawili ndiyo wanajibizana tu kwenye uzi .

Sasa ongelea mapenzi , siasa kila mtu mdomo mrefu by the way hongera ila iombee Tanzania .

Flutter hatari sana hivi sio Instagram kweli hapana ni facebook kumbe , hapo sawa
Noma sana mkuu 😀
 
Back
Top Bottom