African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development.
Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa Flutter kulinganisha na Native Apps.
Kwa sasa nina wiki moja tangu nianze kujifunza kutengeneza IOS Apps kwa kutumia SwiftUI.
So far nimependa jinsi SwiftUI inavyofanania na Flutter kwenye upande wa kutengeneza UI. Zaidi nimependa State Management ya SwiftUI haichanganyi kama ile ya BLoC au Riverpod. Japo naimiss ile hot reload feature ya Flutter.