Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Yaani hawa wanawake sijui vip na huyo jamaa anaerudiana nae ni kashaoa ana mwezi tu
Usilazimishe penzi kwa mwanamke ambaye hakutaki utaumia kimwili, kifikra, moyo na nafsi, kiakili, kisaikolojia, na hata nyeti zako hizo zitaumia sana.

Mwache aende utampata mwingine....wanawake wapo wengi sana
 
Wanaume waga hatulii ety kwamba timempenda sana mwanamke bali ni kwasababu ya pesa tulizotoa na mda pia
Kila mara tuanawaambia Usiwekeze chochote kwa jinsia ya kike lakini bado hatuelewani, kinachokuuma wala hata sio mapenzi ni huo uwekezaji uchwara 😂, kubali na jipe muda
 
Okay sawa, upo tayari kuingia katika penzi jipya, penzi la mtoto mzuri, penzi la moto lisilo na mbambamba wala kuachwa, penzi litakalokufanya ujihisi upo Eden?

Au unasubiri kwanza moyo upoe?
Kuna mtu anaenda kuliwa kichwa muda sio mrefu 😆😆
 
Pole Sana bro ila tambua tu likuepukalo lina kheri, kwanza shukuru Mungu amekuepuaha na kukutoa katika utumwa wa dhambi ya zinaa,si unajua uzinzi ni dhambi bro!!

Pia 2year ni Mingi, ulitaka ugundue Nini kwa mfano na huku mnazini🤔🤔, hayo ni mahusiano sugu pengine ameona hakuna hata dalili yoyote ya ndoa🤣


 
Nimetoa ya moyoni maana sina wa kumuhadithia zaidi ya nyinyi
Vzr sana, Lia weee tena jifungie hata ulie kwa sauti ili uchungu uishe then mshukuru Mungu, wewe ni wathamani na UTAPATA kilicho bora zaidi.

Ktk mahusiano yatupasa tutambue kuwa mambo MAWILI yaweza kutokea, ndoa au kubaki na jambo la kujifunza ili uwe bora zaidi. Usijihukumu wala kujuta, mbele Kuna maisha bado yanahitaji kukamilishwa na amani ya moyo wako.

Stay happy bro.
Happiness is a choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…