Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Kwani ulimwambia unafanya kazi gani?

Wenzio wanatakaga Wafanyakazi wa banks sijui wanazani zile za bank zitakuwa zenu zote?! [emoji3]

Ndiyo maana wengi huishia kudanganywa na kuachwa single mums.
 
Kiuhalisia; ulikuwa ni back up..

Inawezekana baada ya wewe kutangaza kupeleka posa, alimuhusisha jamaa yake. Kwakuwa anampenda sana jamaa kuliko wewe, jamaa amebidi ajipange.

Wakati jamaa anajipanga, basi wewe ukawekwa pending.

Kwa kifupi, mafanikio au kushindwa kwako kumposa huyo mlimbwende itategemeana na utayari wa huyo jamaa.

Kwa kifupi ulikuwa hupendwi. Pole sana.
 
Dear learned brother...

Na maumivu yameshaisha ama?

Hili tukio limekufundisha nini kuhusu huyu binti hata kama mmesharudiana?

Bado mchakato wa ndoa unaendelea?

I am just curious...halafu nitaandika...
Karudi Ila simaanishi namrudia..

Namchora tu hapa...,

Nicheki 0714401470
 
Kiuhalisia; ulikuwa ni back up..

Inawezekana baada ya wewe kutangaza kupeleka posa, alimuhusisha jamaa yake. Kwakuwa anampenda sana jamaa kuliko wewe, jamaa amebidi ajipange.

Wakati jamaa anajipanga, basi wewe ukawekwa pending.

Kwa kifupi, mafanikio au kushindwa kwako kumposa huyo mlimbwende itategemeana na utayari wa huyo jamaa.

Kwa kifupi ulikuwa hupendwi. Pole sana.
Nashukuru sana mkuu kwa maono haya.
 
Back
Top Bottom