MAranatha7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2023
- 267
- 536
Tulia kijana kuna watu na wake bora wanakudubiria, tena utajilaumu kupoteza muda kwa mwalimuAsante sana mkuu. Ila naumia sana. Havielezeki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kijana kuna watu na wake bora wanakudubiria, tena utajilaumu kupoteza muda kwa mwalimuAsante sana mkuu. Ila naumia sana. Havielezeki.
Hivi nawe mwalimu!!!Walimu nasi tumekengeuka,sa itakuwaje?[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una hela za kuchezea wewe kuna wanawake kibao wanatamani kukaa na mtu bila ndoa. Achana na kununua mtu. Mungu kakuepusha na mwizi wa kura huyo.
Sawa.Ndoa ni kwa ajili ya watu wazima wenye akili.
Sawa mkuu, wako wapi sasa?Tulia kijana kuna watu na wake bora wanakudubiria, tena utajilaumu kupoteza muda kwa mwalimu
Hahaa, may be..Dear learned brother...
Na maumivu yameshaisha ama?
Hili tukio limekufundisha nini kuhusu huyu binti hata kama mmesharudiana?
Bado mchakato wa ndoa unaendelea?
I am just curious...halafu nitaandika...
Nimeishia hapa.Na pia nadhani ulijitoa sana kwake kwa kila kitu. Going forward be careful unapodeal na mwanadamu; na angalau uwe tayari kwa lo lote maana mwanadamu anaweza kubadilika wakati wo wote. Jitoe kwa upendo huku ukijua kuwa ni sadaka tu unatoa lakini siyo kwa kutegemea cho chote maana kusema kweli loyalty ya mtu huwezi kuinunua ama kwa material things wala upendo wako wa kweli. Mwanadamu anaweza kuwa kiumbe katili sana akiamua!
Lakini pia kama malengo yako yalikuwa safi kwa huyu binti (if your intentions were pure) basi ondoka na dhamira safi huku ukijua kuwa hukumpotezea muda wake...and the Universe will reward you handsomely. Mwache aende na mtakie mema ila usije ukashangaa huko mbele ya safari kama atataka kurudi tena.
Kwa sasa hakuna njia ya mkato. Kuumia ni lazima utaumia lakini utavuka. Kwa kadri muda unavyokwenda maumivu nayo polepole yatapungua; na nati hizo zinazokaza kwenye moyo zitaanza kuachia na furaha yako itarudi.
Na ni lazima uchukue tahadhari. Usije ukaishia kuchukia wanawake wote. Huyu hakuwa wako na imeonyesha hivyo. Hata kama ungelazimisha basi huko mbele ya safari ungeumia zaidi ya unavyoumia sasa. Angalia tu usije ukaenda huko ukilalama na kuita kila mwanamke ni laghai, mbwa na malaya. Hutakuwa sahihi. Na siku moja utakuja kumpata aliye wako ambaye atakuonyesha mwanamke mwema na waifu matirio yukoje. Endelea kumtafuta mwanamke huyo kwa roho njema, moyo safi na dhamira isiyo na mawaa na siku moja utampata tu.
Sasa umekua! 👏🏼👏🏼👏🏼💪💪
Pole sana mkuu..Kumbe tupo wengi, japo mimi ni tofauti kidogo.
Nina maumivu nimezaa na binti mmoja, mtoto bado ana umri wa miezi 5 juzi ananiambia nikamchukue anataka kuolewa. Kumbuka nina mke ndani hajui chochote na akijua ndoa inayumba. Maumivu x2, kwanza nampenda binti mpaka nikamzalisha. Pili hilo la mtoto sielewi cha kufanya, na anadai nisipoenda kumchukua atamleta mwenyewe kwangu
Hivi nawe mwalimu!!!
Ni Mwalimu huyo mkuu..Tulia kijana kuna watu na wake bora wanakudubiria, tena utajilaumu kupoteza muda kwa mwalimu
Anajua mimi ni wakili, tajiri na najielewa.
Pole sana mkuu ila kiufupi ulikuwa unaishi na jini kwenye chupa😀! Hapo ni kama amechoropoka.Maisha ni lazima yaendelee.
Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha, yanadhoofisha mwili, akili n.k.
Nimekuwa kwenye mahusiano serious kwa takribani mwaka na nusu na Mwl mmoja wa Shule ya msingi. Mpole, msikivu, mcha Mungu, mnyenyekevu, sio mbinafsi, mshauri mzuri na zaidi ya yote amekuwa mfano bora wa mama wa familia. Nikaamua kumpenda kwa dhati. Nikawaambia hadi ma-x wangu. Nikawa najiachia nae, nikamtambulisha kwa baadhi ya wana.
Nikakaa kitako na Baba nipeleke barua ya posa, binti akaridhia. Barua ikaandikwa, mwanangu mmoja ambaye ameshaoa akakubali kuwa mshenga. Barua ilikuwa ipelekwe tangu j5 ya wiki iliyopita ila nikapata dharura tukaahirisha. Ilikuwa baada ya kupeleka posa ndio nikamtambulishe home.
J'mosi ya juzi akaanza kubadilika kuanzia kwenye mawasiliano na kila kitu. Jana nampigia simu aniambie barua tupeleke lini, akashtuka kama hajui kinachoendelea! Akajibu nisubiri kwanza, mara anaomba tupeane muda kuna mambo ajiridhishe!
Nikajiongeza, nikamwambia muda siwezi kumpa kwasababu tulishalizungumza hili. Aseme tu kama anadhani hatuwezi kuwa pamoja tena nitamuelewa. Akasisitiza nimpe muda! Nikamjaribu kwa kumwambia tuachane ili tusipotezeane muda (kumbuka hapa nilikuwa namjaribu); ili nione anawaza nini.
Lahaulaa, akasema 'SAWA'. Nikaishiwa nguvu. Nilikuwa barabarani nikasimama kwanza kwasababu nilipatwa na wenge nikahisi naweza kusababisha ajali.
Ina maana ile kupenana muda ilikuwa ni gia tu, alishaamua tuachane. Sikumtafuta tena tangu jana na yeye kakaa kimya mpaka muda huu!
Huyu ni msichana aliyeniaminisha kwamba hawezi kuniacha. Kwamba hata nikijaribu kumuacha atafanya jambo baya (ni kama alikuwa anatishia kujiua).
LAWAMA ZANGU ZOTE NAZIELEKEZA KWA RAFIKI YAKE MWENYE JINA LINALOANZA NA HERUFI 'J', ANAYEISHI MKOA UNAOANZA NA HERUFI 'M'. Mpenzi wangu alikuwa anamsikiliza sana, na mara nyingi wamekuwa wakiniongelea, nina kila sababu ya kuamini kwamba ushauri wake umechangia kumfanya mwanamke wangu afikie uamuzi huu. Huyu dada yeye kaolewa, leo kaamua kumfanyia figisu rafiki yake! We dada wewee....
Biblia imesema tushukuru kwa kila jambo. Pengine kuna jambo Mungu ameniepusha nalo. Naumia ila najikaza.
Daaaah pole aiseeKumbe tupo wengi, japo mimi ni tofauti kidogo.
Nina maumivu nimezaa na binti mmoja, mtoto bado ana umri wa miezi 5 juzi ananiambia nikamchukue anataka kuolewa. Kumbuka nina mke ndani hajui chochote na akijua ndoa inayumba. Maumivu x2, kwanza nampenda binti mpaka nikamzalisha. Pili hilo la mtoto sielewi cha kufanya, na anadai nisipoenda kumchukua atamleta mwenyewe kwangu
Miss you pia rafiki [emoji8][emoji8]Thank you rafiki.
I miss u, though.
Hivi kuna wanaume malaya ama malaya ni wanawake?Maisha ni lazima yaendelee.
Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha, yanadhoofisha mwili, akili n.k.
Nimekuwa kwenye mahusiano serious kwa takribani mwaka na nusu na Mwl mmoja wa Shule ya msingi. Mpole, msikivu, mcha Mungu, mnyenyekevu, sio mbinafsi, mshauri mzuri na zaidi ya yote amekuwa mfano bora wa mama wa familia. Nikaamua kumpenda kwa dhati. Nikawaambia hadi ma-x wangu. Nikawa najiachia nae, nikamtambulisha kwa baadhi ya wana.
Nikakaa kitako na Baba nipeleke barua ya posa, binti akaridhia. Barua ikaandikwa, mwanangu mmoja ambaye ameshaoa akakubali kuwa mshenga. Barua ilikuwa ipelekwe tangu j5 ya wiki iliyopita ila nikapata dharura tukaahirisha. Ilikuwa baada ya kupeleka posa ndio nikamtambulishe home.
J'mosi ya juzi akaanza kubadilika kuanzia kwenye mawasiliano na kila kitu. Jana nampigia simu aniambie barua tupeleke lini, akashtuka kama hajui kinachoendelea! Akajibu nisubiri kwanza, mara anaomba tupeane muda kuna mambo ajiridhishe!
Nikajiongeza, nikamwambia muda siwezi kumpa kwasababu tulishalizungumza hili. Aseme tu kama anadhani hatuwezi kuwa pamoja tena nitamuelewa. Akasisitiza nimpe muda! Nikamjaribu kwa kumwambia tuachane ili tusipotezeane muda (kumbuka hapa nilikuwa namjaribu); ili nione anawaza nini.
Lahaulaa, akasema 'SAWA'. Nikaishiwa nguvu. Nilikuwa barabarani nikasimama kwanza kwasababu nilipatwa na wenge nikahisi naweza kusababisha ajali.
Ina maana ile kupenana muda ilikuwa ni gia tu, alishaamua tuachane. Sikumtafuta tena tangu jana na yeye kakaa kimya mpaka muda huu!
Huyu ni msichana aliyeniaminisha kwamba hawezi kuniacha. Kwamba hata nikijaribu kumuacha atafanya jambo baya (ni kama alikuwa anatishia kujiua).
LAWAMA ZANGU ZOTE NAZIELEKEZA KWA RAFIKI YAKE MWENYE JINA LINALOANZA NA HERUFI 'J', ANAYEISHI MKOA UNAOANZA NA HERUFI 'M'. Mpenzi wangu alikuwa anamsikiliza sana, na mara nyingi wamekuwa wakiniongelea, nina kila sababu ya kuamini kwamba ushauri wake umechangia kumfanya mwanamke wangu afikie uamuzi huu. Huyu dada yeye kaolewa, leo kaamua kumfanyia figisu rafiki yake! We dada wewee....
Biblia imesema tushukuru kwa kila jambo. Pengine kuna jambo Mungu ameniepusha nalo. Naumia ila najikaza.
Labda amekutana na MASTER zaidi yake. (Jokes)Sijasahau bhana ulileta Uzi jinsi unavyomgegeda mwanamke wako mpaka anafurahi, sasa naona umeandikwa umeachwa, aisee wanawake....
Sijui wanataka nini?
Mkuu, sijui hata imekuaje tena. Ninavyojisikia hapa ni Mungu pekee anajua.
Ni kipigo tu 🤣Sijasahau bhana ulileta Uzi jinsi unavyomgegeda mwanamke wako mpaka anafurahi, sasa naona umeandikwa umeachwa, aisee wanawake....
Sijui wanataka nini?