Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Ni PM nikupe msaada kisaikolojia (PSYCHOLOGICAL THERAPY)
 

Nenda kanisani utashiinda hizo tamaa
 
Binti mzuri mpe Bwn Yesu maisha yako uokoke yeye atakuponya na vishawishi vya shetani ibilisi.
Atakupa mume mzuri toka kwake, mpokee awe Bwn na mwokozi wa maisha yako!!
Kwa Bwn Yesu kuna mambo mengi mazuri saana!!
Bwn Akubariki!!
Barikiwa sana mkuu, ujumbe mzuri sana huu...Yesu ndiye kimbilio pekee na lazima akupe njia ya kutoka tu
 
Pole sanaaa
 
Lipia tangazo lako tafadhali,
 
Jaribu kua mwanaume wakaribu nikimaanisha rafik wakiume atelast kua nae may be inaweza kukusaidia il uweze kufanya maamuza sahh yakumpenda mtu ambae anaweza kua sahihi,,,never rush into relationship
 
uhusiano ni kwamba alizoeshwa sana dyudyu now uvumilivu unamshinda, mbona inahitaji elimu ndogo tuu kuelewa hapoo
Kufanya mapenzi mkiwa kwenye mahusiano ni kawaida sana, ila kuachana na kuanza kupenda kila mtu hilo ni tatizo,

Ila kwa kua una elimu ndogo ndio mana umemuelewa.
 
Hali ikoje sasa ivi? Updates plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…