Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,598
Reaction score
2,905
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
 
Waulize kama ulimkuta bikra. Hiyo heka kafanyie mengine, yaani 18M ulipie **** ambayo kuna msenge anapewa bure
 
Kwa baadhi ya makabila mahari inakwenda kwa kutaja mifugo, wazaramo wana vitu kama mikeka na mengineyo ila jamii za wafugaji lazima wataje mifugo. Hao Ng'ombe na Mbuzi ukiwabadilishaa kwa pesa ni bei ndogo cha muhimu kama ulichagua mshenga anayejua mila na desturi za kabila husika.
 
Wewe kubali tu ila sema uwezo wako kwa sasa ni milion 2, zilizobaki utalipa taratibu. Baada ya hapo endelea kumjaza mimba. Mtoto wa pili akizaliwa, wewe jifanye Kama vile unaomba talaka (uonekane uko serious) sababu kuu ni kwamba gharama za matunzo kwa mama na watoto ni kubwa sana na uwezo wako kulipa deni huna.
Kitakacho tokea ni either deni kufutwa au binti mwenyewe kuzilipa hizo mil 16 zilizobaki.
 
Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Peleka hio hio huo ni mtihani tu wamekupa Mahari hailipwi yote lazima u-bargain kiume ndicho wanachokitaka kutoka kwako sio hizo million 18.5 wanataka maelezo yako ndani ya hio Million 2 ni yapi ambayo yatawashawishi wao wakupe binti yao?
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Huyo mtie mimba mpaka Azae watoto Saba, wakamtunze kwao wiki hata mbili au tatu, uone kama hujaitiwa mke wako na watoto wako Tena bila mahari
 
Mwanangu hapo si una milioni 2 mie nakuchangia laki 1, uwe na milioni 2.1 hiyo inatosha kulipa faini za laki 7 ×3 yaani mimba tatu
Cha kufanya
Mtie mimba nyingine, Wakitaka faini wape laki 7 yao..
Kaa kaa, mtie nyingine, wakitaka faini wape hela yao.
Mpaka zifike 3

Na kwanza kadri muda unazidi faini inabidi ipungue, ya kwanza laki 7, mimba ya pili tutawapa laki 5,
Ya 3 tutawapa laki 3,
Ya 4, 250k
Ya 5, 250 k

Kwenye milioni 2 utabak8 na chenji ya laki 5
 
Chenji ya kuwanunulia mashemeji kreti 2 za bia na kg 5 za kitimoto inatosha kabisa
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Jioe
 
Tena kama atapiga hesabu vizuri, hiyo milioni 2 akaianzia kimradi.. anaw3za jikuta mradi ndio umemfanyia kila kitu.
Mfano aanzishe mradi hiyo milioni 2 impe laki na nusu tu kwa mwezi, akitia mimba leo, mpaka miezi 9 ikatike, wa kumi ndio aende kujitambulisha mkononi qtakuwa na milioni 1.5.. anawapa laki 5 faini yao..
Milioni anairudishia kwenye biashara, impe hata ka laki 2 hivi,
Laki 2 kwa mwezi mpaka mtoto atimize miaka miwili na miezi mi3, atakuwa na milioni 3.4 hivi..
Hapo akitia mimba mpka ajifunge, atakuwa na milioni 5.2 hivi..
Sio mbaya kule faini anawalipa laki 5 na bia za laki 2, anabakiza 4.5..
Hii akiongezea kwenye biashara mtaji unakuwa milioni 7.5 😂🤣
Faida ya laki 5 kwa mwezi, mara miaka mi3 ya kuja kuzaliwa mwingine ni milioni 18..
Yaani 18 anaipata na mke anampata bila kutoa milioni 18 yenyewe 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Peleka hio hio huo ni mtihani tu wamekupa Mahari hailipwi yote lazima u-bargain kiume ndicho wanachokitaka kutoka kwako sio hizo million 18.5 wanataka maelezo yako ndani ya hio Million 2 ni yapi ambayo yatawashawishi wao wakupe binti yao?
Hakuna kujieleza sana, wacha wakae na binti yao msomi tena single mother
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Mkuu unaposema walikutumia barua ya posa sijaelewa. Mimi najua posa inatoka upande wa mwanaume kwenda kwao mwanamke, na barua hiyo inakuwa na kusudio la kuoa bila kutaja kiasi cha mahari. Sasa iweje wao upande wa kike ndo wakupatie barua ya posa kwani wanakuposa wewe?
 
Back
Top Bottom