Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

Tena kama atapiga hesabu vizuri, hiyo milioni 2 akaianzia kimradi.. anaw3za jikuta mradi ndio umemfanyia kila kitu.
Mfano aanzishe mradi hiyo milioni 2 impe laki na nusu tu kwa mwezi, akitia mimba leo, mpaka miezi 9 ikatike, wa kumi ndio aende kujitambulisha mkononi qtakuwa na milioni 1.5.. anawapa laki 5 faini yao..
Milioni anairudishia kwenye biashara, impe hata ka laki 2 hivi,
Laki 2 kwa mwezi mpaka mtoto atimize miaka miwili na miezi mi3, atakuwa na milioni 3.4 hivi..
Hapo akitia mimba mpka ajifunge, atakuwa na milioni 5.2 hivi..
Sio mbaya kule faini anawalipa laki 5 na bia za laki 2, anabakiza 4.5..
Hii akiongezea kwenye biashara mtaji unakuwa milioni 7.5 😂🤣
Faida ya laki 5 kwa mwezi, mara miaka mi3 ya kuja kuzaliwa mwingine ni milioni 18..
Yaani 18 anaipata na mke anampata bila kutoa milioni 18 yenyewe 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
ashindwe yeye kufuata huu ushauri
 
Mkuu unaposema walikutumia barua ya posa sijaelewa. Mimi najua posa inatoka upande wa mwanaume kwenda kwao mwanamke, na barua hiyo inakuwa na kusudio la kuoa bila kutaja kiasi cha mahari. Sasa iweje wao upande wa kike ndo wakupatie barua ya posa kwani wanakuposa wewe?
Huyu hujamuelewa huyu na Baba wa huyo binti wanafahamiana na alipompiga mimba akapigwa faini laki 7 tena hio ni ndogo sana wenzie wanapigwa Million 1 hadi 2 hio ni faini tu ya kumpiga binti mimba na wanalipa ila yeye kapigwa laki 7 ni wamempenda sana hao wakwe zake maana ni ndogo kwenye mzani

Sasa yeye baada ya kupigwa faini naona hapohapo yalifuata masuala ya mahari ndio ikaja hio Million 18.5, ushaelewa?
 
Huko nimeelewa kabisa, aliponiacha ni kuletewa barua ya posa yenye kichwa cha barua "POSA YA BINTI MSOMI"😀😀.
 
Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?
Wewe bwege si ulisema unafahamiana na Mzazi wa huyo binti?
ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.
Au hapo umeandika kujikosha? Sasa km mpaka Baba yake unafahamiana nae halafu unaandika huu upumbavu wewe unaonekana bado hujakomaa wewe unaonekana hukua na lengo la kuoa ila ulikua na lengo la kuzalisha tu kisha upite hivi au sio?
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Piga MIMBA huyo kama mnapendana kweli wazee watakupa bureeee..

UNAJUA HAKUNAGA MAPENZI YANAYOWEZA KUZUILIWA NA MZAZI/WAZAZI

WEWE KOKOTA MWANZAKO TOROSHA NENDA MKAANZISHE FAMILIA THE BEST OPTION KAMA HUNA HIYO MAHARI
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Hii ni story ya kutengeneza na kupotezea watu muda. Kwani watu wa hiyo familia hawaingii hapa JF mpaka wewe unaona ni mahali sahihi kwa kuijadili na kupata ushauri?
 
Sasa kupiga chata ushaa piga unataka tukupe ushauri Gani dogo?Hapo piga mimba ya pili 3,4,5 baba mkwe atakuambia mwangu mkaishi tu,achaga ufala arifu...
20251111_074050.jpg
 
Usioe mwanamke msomi,tafuta aliyeishia darasa la 7,mke mahar ni laki 2 tuh.Na hakuna stress nikumkunja tuh,na atakuheshimu ila huyu wako atakutumia tuh
 
‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.

Back to the topic,

Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.

Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.

Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.

Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?

Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?

Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?

Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.

Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Tafuta mwanamke mwingine
 
Wachaga wana hela kaka ,wamekaa wakakutathimini wakaona huwezi ishi na binti yao wameamua wakutolee nje ,mwanaume mwenzangu tena nahisi binti anakuzidi elimu ndiyo maana wameseme MAHARI YA MCHAGA MSOMI .

Jitafute utajipata ikiwa unampenda kalipe hiyo mahari hakuna kitu kizuri kumuoa binti unauempenda ila ukae ujue ukweni wanakuona kolo hivyo pambana usimame rafiki .
 
Back
Top Bottom