Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,598
- 2,905
Waulize kama ulimkuta bikra. Hiyo heka kafanyie mengine, yaani 18M ulipie **** ambayo kuna msenge anapewa bureNdoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.
Peleka hio hio huo ni mtihani tu wamekupa Mahari hailipwi yote lazima u-bargain kiume ndicho wanachokitaka kutoka kwako sio hizo million 18.5 wanataka maelezo yako ndani ya hio Million 2 ni yapi ambayo yatawashawishi wao wakupe binti yao?Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Nenda na hio hio Million 2 ukawaeleze hakikisha maelezo yako yanawa-convice sio unaeleza maelezo ya kihuni utakosa mkeNimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.
Huyo mtie mimba mpaka Azae watoto Saba, wakamtunze kwao wiki hata mbili au tatu, uone kama hujaitiwa mke wako na watoto wako Tena bila mahariNdoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.
Back to the topic,
Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.
Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.
Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.
Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?
Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?
Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?
Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.
Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Chenji ya kuwanunulia mashemeji kreti 2 za bia na kg 5 za kitimoto inatosha kabisaMwanangu hapo si una milioni 2 mie nakuchangia laki 1, uwe na milioni 2.1 hiyo inatosha kulipa faini za laki 7 ×3 yaani mimba tatu
Cha kufanya
Mtie mimba nyingine, Wakitaka faini wape laki 7 yao..
Kaa kaa, mtie nyingine, wakitaka faini wape hela yao.
Mpaka zifike 3
Na kwanza kadri muda unazidi faini inabidi ipungue, ya kwanza laki 7, mimba ya pili tutawapa laki 5,
Ya 3 tutawapa laki 3,
Ya 4, 250k
Ya 5, 250 k
Kwenye milioni 2 utabak8 na chenji ya laki 5
JioeNdoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.
Back to the topic,
Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu.
Nina binti niliingia naye kwenye mahusiano mwaka 2022. Mwaka 2023 alianza chuo kikuu hadi 2025, na tulikuwa kwenye mahusiano ya siri. Hajawahi kunitambulisha kwao, ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.
Mwaka 2025 binti akapata ujauzito na baada ya kumaliza chuo akarudi nyumbani. Nikaitwa na familia yake, tukakubaliana na faini ya Tsh laki 7. Baada ya hapo, niliendelea kutunza ujauzito hadi mtoto alipozaliwa Desemba 2025.
Sasa hivi, nimepewa barua ya mahari ya jumla ya Tsh milioni 18.5 (ng’ombe milioni 9, mbuzi milioni 7, mablanketi laki 2 na mengine). Awali, waliorodhesha mahari kiasi cha milioni 6. Waliuliza kama mimi ni mume wa dhati, kisha wakakubaliana tu na kulipa faini ya laki 7.
Nina nia ya dhati ya kumuoa binti huyu, lakini siwezi kulipa kiasi walichotaka (nina milioni 2 tu).
Swali: Je, mahari kama hii ni halali kwa taratibu za Kichaga?
Kwenye barua ya Posa imeandikwa "POSA KWA MCHAGGA MSOMI" hili la Mchagga msomi limenikera sana. Ndoa na usomi vinahusiana nini?
Ni mbinu gani za busara ninaweza kutumia kushughulikia hili bila kuvunja heshima za familia na desturi? Hivi Millioni 18 nanunua nini aisee? Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?
Nimefupisha tu stori wakuu, naombeni ushauri wenu.
Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Liverpool VPN
min -me
Xi Jinping
Tena kama atapiga hesabu vizuri, hiyo milioni 2 akaianzia kimradi.. anaw3za jikuta mradi ndio umemfanyia kila kitu.Chenji ya kuwanunulia mashemeji kreti 2 za bia na kg 5 za kitimoto inatosha kabisa
Hakuna kujieleza sana, wacha wakae na binti yao msomi tena single motherPeleka hio hio huo ni mtihani tu wamekupa Mahari hailipwi yote lazima u-bargain kiume ndicho wanachokitaka kutoka kwako sio hizo million 18.5 wanataka maelezo yako ndani ya hio Million 2 ni yapi ambayo yatawashawishi wao wakupe binti yao?
Peleka 2M waambie 16.5M huna kwa kipindi hiki kwa hio tuvumiliane wakwe nitaendelea kumaliza taratibu taratibu hicho kipengele kilichobakiaHakuna kujieleza sana, wacha wakae na binti yao msomi tena single mother
Mkuu unaposema walikutumia barua ya posa sijaelewa. Mimi najua posa inatoka upande wa mwanaume kwenda kwao mwanamke, na barua hiyo inakuwa na kusudio la kuoa bila kutaja kiasi cha mahari. Sasa iweje wao upande wa kike ndo wakupatie barua ya posa kwani wanakuposa wewe?Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta.