Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

ashindwe yeye kufuata huu ushauri
 
Huyu hujamuelewa huyu na Baba wa huyo binti wanafahamiana na alipompiga mimba akapigwa faini laki 7 tena hio ni ndogo sana wenzie wanapigwa Million 1 hadi 2 hio ni faini tu ya kumpiga binti mimba na wanalipa ila yeye kapigwa laki 7 ni wamempenda sana hao wakwe zake maana ni ndogo kwenye mzani

Sasa yeye baada ya kupigwa faini naona hapohapo yalifuata masuala ya mahari ndio ikaja hio Million 18.5, ushaelewa?
 
Huko nimeelewa kabisa, aliponiacha ni kuletewa barua ya posa yenye kichwa cha barua "POSA YA BINTI MSOMI"😀😀.
 
Wamenipa hasira sana nimepanga kuwajibu kwa barua kuwaambia sioi tena! Ni sahihi kuwajibu kwa barua?
Wewe bwege si ulisema unafahamiana na Mzazi wa huyo binti?
ingawa mimi na Baba yake tumejuana kwa muda. Mwaka 2024 mwishoni, Baba yake aliniuliza kuhusu uhusiano wetu. Nikamjibu kwa uwazi kwa namna ya heshima, lakini sikusema kila kitu.
Au hapo umeandika kujikosha? Sasa km mpaka Baba yake unafahamiana nae halafu unaandika huu upumbavu wewe unaonekana bado hujakomaa wewe unaonekana hukua na lengo la kuoa ila ulikua na lengo la kuzalisha tu kisha upite hivi au sio?
 
Piga MIMBA huyo kama mnapendana kweli wazee watakupa bureeee..

UNAJUA HAKUNAGA MAPENZI YANAYOWEZA KUZUILIWA NA MZAZI/WAZAZI

WEWE KOKOTA MWANZAKO TOROSHA NENDA MKAANZISHE FAMILIA THE BEST OPTION KAMA HUNA HIYO MAHARI
 
Hii ni story ya kutengeneza na kupotezea watu muda. Kwani watu wa hiyo familia hawaingii hapa JF mpaka wewe unaona ni mahali sahihi kwa kuijadili na kupata ushauri?
 
Sasa kupiga chata ushaa piga unataka tukupe ushauri Gani dogo?Hapo piga mimba ya pili 3,4,5 baba mkwe atakuambia mwangu mkaishi tu,achaga ufala arifu...
 
Usioe mwanamke msomi,tafuta aliyeishia darasa la 7,mke mahar ni laki 2 tuh.Na hakuna stress nikumkunja tuh,na atakuheshimu ila huyu wako atakutumia tuh
 
Tafuta mwanamke mwingine
 
Wachaga wana hela kaka ,wamekaa wakakutathimini wakaona huwezi ishi na binti yao wameamua wakutolee nje ,mwanaume mwenzangu tena nahisi binti anakuzidi elimu ndiyo maana wameseme MAHARI YA MCHAGA MSOMI .

Jitafute utajipata ikiwa unampenda kalipe hiyo mahari hakuna kitu kizuri kumuoa binti unauempenda ila ukae ujue ukweni wanakuona kolo hivyo pambana usimame rafiki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…