Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nilinenepaga snaa first yrs chuo..maana nilikua mwembamba sana nilipotoka six

Hapo nna boom 100%....deile ni kitimoto na ugali..mim na demu wangu..tukajikuta tuna vitambi wote in less than 2months
 
Ora dingi, hupendwi hapo, utajibadilishaje ili ukubalike dingile? Be yourself
 
Huyo demu anataka aringishie mashost zake kuwa bwana ake ana kitambi ujinga ujinga yaani

Na kiukweli huyo demu hampendi hata kiduchu kama hii stori sio chai[emoji57][emoji57]
Potelea pote mi namtama yeye
 
Mama Terry acha kuniwazia mabaya mimi ni mwanadamu mwenzio ujue
hahahah mwambie bibie akikupa amani ya roho tu utanenepa bila hata kula utanawiriiii,. afu mwambie sisi mama zake tulioana na baba zake wakiwa kama ukuni sasa hiv wamenawiri kwa kupata chakula cha mwili na rohoo
 
Pamoja na ushauri uliopatiwa na wadau usisahau kumwambia aondoe hofu ya kimbunga kwasabu kwa sasa hali ni shwari (kimeyeyuka). Kazi iendelee
 
Pesaa, tafuta pesaa automatic hata yeye pia atanenepa!
 
😀😀😀😀polee
 
Mkuu, hata ahangaike nayo haya yote uliyo mshauri na akapata majibu chanya, ndoa haipo.
Na kama huyo jamaa ana mwili kama wa Polepole wa ccm hata alale na hivyo vyakula kitandani hanenepi ng'o.
Awaachie tu waoaji wamuoe huyo kisukunuku
Polepole kanenepa haswa sio utani
Mtoe kwenye list kabisa
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kuna watu hawanenepi hata wale vp...

Zaidi, utashangaa kitambi kinajaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…