Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Acha kumdanganya mwenzio wengine hata wale nn hawanenepi!
Atanenepa kwa jina la Yesu 😂😂😂!!! Nina mwanang mmoja yeye analalamikaga tu hata aleje hanenepi! Namwambia unene unakujaga tu mda ambao hutarajii!
 
Ushauri ambao naona utakusaidia zaidi ni kula vyakula hasa wanga na protini, maji ya kutosha tunda usisahau. Piga sana mazoezi ingia gym baada ya week 2 njoo rudisha mrejesho.
 
Mkuu pata fat kwa wingi na enjoy maisha...

Ila kwa jinsi unavompenda huenda anakupa vihunzi ili isinenepe... Chunga sana, Wanawake hawaeleweki...

Nenda kwa step
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Wafanye vyote hivyo akiwa amerelax, otherwise ataishia kuharisha tu bila hata kuongeza hata robo kilo ya unga

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom