muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Brother utapoteze fedha na muda hapo hakuna kitu
Kunenepa rahisi lakini kupungua ni mziki hatari, wengi duniani wanapambana tena kwa kupoteza ela kupungua
Bora angesema unenepeshe mali, fedha, akili, lakini sio mwili. Mwishowe utaambiwa ulete mkojo wa samaki
Kifupi hapo hutakiwi na hupendwi, usipoteze muda, nguvu na fedha zako for the stupid girl, run away, nasema get away, hivi unasikia na kuelewa?