Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Umesahau kumwambia na supu ya kongoro la nguruwe..ile ukipiga wiki tu unaoana nguo zikikataa moja moja
 
Siku ukimpata anaependa wembamba utapungua tena, sasa hatari umpate anaependa shoga
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kuna bro wangu mmoja tunamwita bonge (ni mwembamba kinyama). Huyo hata umlishe nini hanenenipi yani utaona vishavu tu vimevimba kidogo ndio dalili kuwa ameridhika.

Sijui alikulaga malboro?
 
Watu wanahangaika na kupungua,wewe unahangaikia kunenenepa. Sawa utanenepa lakini tena utaanza kuhangaikia kupungua. Kwenye kupungua ndio patashika,ndio pagumu hatari
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Mkuu akiwa na stress atanenepa hata kama mlo kamili anautekeleza?
Binafsi nikipata pesa ndio kila kitu nanenepa
 
Mkuu akiwa na stress atanenepa hata kama mlo kamili anautekeleza?
Binafsi nikipata pesa ndio kila kitu nanenepa
Hahahaha wewe ukipata pesa, mie nikipata amani tu na penzi tamu na zito nanenepa balaa!

Jamaa akikubaliwa atanenepa!
 
Hahahahahah kama huo ugonjwa basi wagonjwa ni wengi! Mie kitendo cha kusumbuliwa na mwanamke tu lazma ningechukua njia yangu nikaendelea na maisha! Kuna best yangu anasumbuliwa na not letting go character kama hio anataka kufosi tu wakati hapendwi!

I love a woman who makes it easy for me to be with her! Kuna elements kubwa za compatibility katika hio situation sio yale mambo ya ngoja nikufikirie [emoji13][emoji13][emoji13] am i mathematics to you? Au kunisumbua sumbua mara unidengulie ikitokea nimekaza ukaingia katika 18 jua ninakunyoosha after tasting the cookie straight away!

[emoji23][emoji23][emoji23] Wanasemaga wanatujaribu ati kuona kama tuko serious au la...
Mwanamke akisumbuasumbua ni utoto
 
Hahahahah hii maisha haiko fair msee! Mwanamke anapokutesa wewe kuna wengine wanamkwepa [emoji851][emoji851][emoji851] maana washamkinai!

Inataka akili sana na ukilijua hilo utaona kwamba hamna sababu ya kuteseka na ma manzi kama hakutaki yupo anaekutaka we changamka tu utakutana nae.

Comment imeshiba na imemaliza maelezo....
Hawa ndio wanaochoraga tatoo za mademu zao
 
Tafuta pesa mkuu...

Sisi mabaharia tushamuelewa huyo mrembo.

Ametumia lugha ya kificho.
Maana yake wewe huna hela..
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho

Mishikaki ya nundu ni ipi hiyo
 
Huyo hakupendi anakutafutia ugonjwa wa Heart attack na obesity ili ufe achana nae
 
Hahahahahah kama huo ugonjwa basi wagonjwa ni wengi! Mie kitendo cha kusumbuliwa na mwanamke tu lazma ningechukua njia yangu nikaendelea na maisha! Kuna best yangu anasumbuliwa na not letting go character kama hio anataka kufosi tu wakati hapendwi!

I love a woman who makes it easy for me to be with her! Kuna elements kubwa za compatibility katika hio situation sio yale mambo ya ngoja nikufikirie 😝😝😝 am i mathematics to you? Au kunisumbua sumbua mara unidengulie ikitokea nimekaza ukaingia katika 18 jua ninakunyoosha after tasting the cookie straight away!
Unaonekana mtu wa ku-give up mapema sana Extrovert.

Hamna kitu kizuri kwenye hii dunia halafu kikapatikana kirahisi. If you don't enjoy chasing women inabidi wewe ubadilike. I mean uwe aina ya mwanaume ambaye %kubwa ya wanawake wangetamani wangekuwa na wewe.
 
Well mie ni mvumilivu kuliko neno lenyewe, i can endure for years ila kupitia huo muda you might have exposed yourself to me then kupitia mwenendo wako i might decide to call it quits kabla hata sijafikia mwisho. Sasa huwa nachagua kutopoteza muda mwingi!

There a lot of women out there some might like you straight away and some can make you feel like shiyt sababu tu unaonesha kuwataka tena kwa nia nzuri tu ya kujenga mahusiano imara nao! Kila mtu ana haki na hitaji la kupendwa right..Hawa ndio wengi huangalia looks, kazi au gari kama unalo then as long as najua ndio vitu unanipima navyo why should i wait to get wasted! Ndio hapa unalazimika unenepe ili ukubaliwe, umtoe out, umpe hela za matumizi hapo yote unatafta jibu la kuambiwa i love you too! Just that!? Hell Noh!

I always choose the ones who like me straight away kwa jinsi nilivyo! It saves alot of time and expenses! Hamna alie bora kuliko mwenziwe we all humans.
 
Mwambie aache uvivu hiyo ni kazi yake kuhakikisha unakuwa kibonge huko ndoani.
 
Back
Top Bottom