Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

baadaye ukishindwa kula tunda kwasababu ya unene ataanza tena ooh umenenepa sana ooh sijui nini, shtuka wewe hakuna love hapo
 
Baada ya kunenepa atakwambia una kibamia hapendi wanaume wenye vibamia ndio utajua haujui
 
Stress za mwenye ndoa zikikukondesha si atakubwaga huyo?
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lkn vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.

Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi

Nawasilisha

UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee
Huo ujinga utaujutia sana.
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kipato kinaruhusu mkuu?
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lkn vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.

Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi

Nawasilisha

UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee
Nenda kale ile mishikaki ya 100 pale msamvu moro KWA mwezi mmoja
Hakika utakuja kunishukuru
 
Kunenepa kunaleta marazi kama pressure.. So ukishanenepa afu ukagundua kuna vibishoo vyembamba vinamla.... Pressure inakuua.. Ila sio mbaya lengo lako linakua limetimia coz umetaka hata akuue
 
Back
Top Bottom