Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Kipindi mwamba ana piga hii doze ili mwili uongezeke, kuna watu wana mla manzi mda wowote wakitaka na hadi mtoto analia 😄😄😄
 
Hakuna lolote ndugu pendapenda, wewe ni last option endapo wanaomtumia wakimalizana naye bila ndoa.
 
Najua umekumbuka nini ndiomaana nimekuita, usifikirie nimekurupuka.

Sasa ikiwa ndoa inaenda kwa hivi vigezo, siku jamaa akipungua si talaka inamhusu?

Extrovert amependekeza mapochopocho kibao utasema yanagawiwa bure, mtu avunje kibubu kutengeneza kitambi amfurahishe mchumba??? Tena bado anaweza akamzingua vile vile

Kama mtu ameshindwa kukuoenda ulivyo hapo sio fungu lako.

By the way wengine matumbo yana plastiki hataunywe lita 10 za korie kila siku, utabakia mkavu vile vile...
Nilivyosoma nikasema "kuna mtu ameamua kunifanya niichekee simu". Utanilipa.

Nimeona comment ya Extrovert, alivyoandika vyote vinahitaji mtu awe na uwezo wa kifedha. Ambapo kama OP angekuwa na huo uwezo wa ku-afford hizo vyakula na vinywaji kwa mwezi mzima, basi huyo mchumba angeshamkubali bila kujali wembamba wake.

Op amesema hataki kushauriwa kwamba hapendwi. Yupo tayari kutoa uhai wake ili ampate. Ataenda hata kuzimu ahakikishe anampata. Huo ugonjwa unaitwa Obsessive Love Disorder. Na huu ugonjwa hauwezi kumruhusu anenepe.
 
Usilazimishe mapenzi kwa staili hii, yanaweza kuja kukutesa sana. Linapokuja swala la mahusiano yenye mlengo wa kuelekea commitment kubwa kama ndoa hakikisha unapata mwanamke ambae moyo wake umefunguka kwako, yaan you have filled her heart bila hata kuanza purukushani za kumbembeleza awe mwenzi wako, utainjoi sana maisha vinginevyo ni shida tu.

Jana nimepokea taarifa toka kwa rafiki, ndoa yake imefikia tamati na ilikuwa na miezi sita tu. Alipambana sana kumpata huyo mdada, dated for a year and a half. Siku nne kabla ya ndoa akakuta meseji za mapenzi kwenye sim ya binti discussing kutoa ujauzito wq mwanaume mwingine.

Waligombana ila mwisho wa siku wakaamua kufunga ndoa kukwepa aibu. Mwezi ukaisha ndani ya ndoa, mke akaondoka bila taarifa for three months, mme katafuta mpaka akampata, wakarudi DSM. Ndani hakukaliki, ni dharau, kiburi, no tendo la ndoa na few days ago kaondoka anataka talaka.

Uwe makini mkuu, tumia akili zaidi kuliko hisia la sivyo yatakukuta ya kukuta mbele ya safari.
 
Nilivyosoma nikasema "kuna mtu ameamua kunifanya niichekee simu". Utanilipa.

Nimeona comment ya Extrovert, alivyoandika vyote vinahitaji mtu awe na uwezo wa kifedha. Ambapo kama OP angekuwa na huo uwezo wa ku-afford hizo vyakula na vinywaji kwa mwezi mzima, basi huyo mchumba angeshamkubali bila kujali wembamba wake.

Op amesema hataki kushauriwa kwamba hapendwi. Yupo tayari kutoa uhai wake ili ampate. Ataenda hata kuzimu ahakikishe anampata. Huo ugonjwa unaitwa Obsessive Love Disorder. Na huu ugonjwa hauwezi kumruhusu anenepe.
Kesi imeshaisha!
 
Usilazimishe mapenzi kwa staili hii, yanaweza kuja kukutesa sana. Linapokuja swala la mahusiano yenye mlengo wa kuelekea commitment kubwa kama ndoa hakikisha unapata mwanamke ambae moyo wake umefunguka kwako, yaan you have filled her heart bila hata kuanza purukushani za kumbembeleza awe mwenzi wako, utainjoi sana maisha vinginevyo ni shida tu.

Jana nimepokea taarifa toka kwa rafiki, ndoa yake imefikia tamati na ilikuwa na miezi sita tu. Alipambana sana kumpata huyo mdada, dated for a year and a half. Siku nne kabla ya ndoa akakuta meseji za mapenzi kwenye sim ya binti discussing kutoa ujauzito wq mwanaume mwingine. Waligombana ila mwisho wa siku wakaamua kufunga ndoa kukwepa aibu. Mwezi ukaisha ndani ya ndoa, mke akaondoka bila taarifa for three months, mme katafuta mpaka akampata, wakarudi DSM. Ndani hakukaliki, ni dharau, kiburi, no tendo la ndoa na few days ago kaondoka anataka talaka.

Uwe makini mkuu, tumia akili zaidi kuliko hisia la sivyo yatakukuta ya kukuta mbele ya safari.

Ah! Unasema kwamba hata ile burudani pendwa ya masikini akawa anapewa kwa matuta?

Nampa...simpi...simpi..simpi..nampa..simpi?
 
Blo, acha tu. Ndani miezi mwili kapewa Mara nne tu tena bila ushirikiano
Hiyo sasa ndio tafsiri ya mgogoro!
Haya mambo pata mtu anakua fahari na wewe hivyo hivyo ulivyo. Vitu vinabadilika.
 
Hiyo sasa ndio tafsiri ya mgogoro!
Haya mambo pata mtu anakua fahari na wewe hivyo hivyo ulivyo. Vitu vinabadilika.
Kabisa. Sema vijana wengi huwa hatuelewi ama hatutaki kutumia akili zetu ipasavyo na ndo maana ndoa nyingi leo zina misukosuko mingi sana. Mungu atusaidie tu.
 
Nilivyosoma nikasema "kuna mtu ameamua kunifanya niichekee simu". Utanilipa.

Nimeona comment ya Extrovert, alivyoandika vyote vinahitaji mtu awe na uwezo wa kifedha. Ambapo kama OP angekuwa na huo uwezo wa ku-afford hizo vyakula na vinywaji kwa mwezi mzima, basi huyo mchumba angeshamkubali bila kujali wembamba wake.

Op amesema hataki kushauriwa kwamba hapendwi. Yupo tayari kutoa uhai wake ili ampate. Ataenda hata kuzimu ahakikishe anampata. Huo ugonjwa unaitwa Obsessive Love Disorder. Na huu ugonjwa hauwezi kumruhusu anenepe.
Hahahahahah kama huo ugonjwa basi wagonjwa ni wengi! Mie kitendo cha kusumbuliwa na mwanamke tu lazma ningechukua njia yangu nikaendelea na maisha! Kuna best yangu anasumbuliwa na not letting go character kama hio anataka kufosi tu wakati hapendwi!

I love a woman who makes it easy for me to be with her! Kuna elements kubwa za compatibility katika hio situation sio yale mambo ya ngoja nikufikirie 😝😝😝 am i mathematics to you? Au kunisumbua sumbua mara unidengulie ikitokea nimekaza ukaingia katika 18 jua ninakunyoosha after tasting the cookie straight away!
 
Kipindi mwamba ana piga hii doze ili mwili uongezeke, kuna watu wana mla manzi mda wowote wakitaka na hadi mtoto analia 😄😄😄
Hahahahah hii maisha haiko fair msee! Mwanamke anapokutesa wewe kuna wengine wanamkwepa 🤓🤓🤓 maana washamkinai!

Inataka akili sana na ukilijua hilo utaona kwamba hamna sababu ya kuteseka na ma manzi kama hakutaki yupo anaekutaka we changamka tu utakutana nae.
 
Back
Top Bottom