Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Brother utapoteze fedha na muda hapo hakuna kitu
Kunenepa rahisi lakini kupungua ni mziki hatari, wengi duniani wanapambana tena kwa kupoteza ela kupungua
Bora angesema unenepeshe mali, fedha, akili, lakini sio mwili. Mwishowe utaambiwa ulete mkojo wa samaki
Kifupi hapo hutakiwi na hupendwi, usipoteze muda, nguvu na fedha zako for the stupid girl, run away, nasema get away, hivi unasikia na kuelewa?
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Duuh
 
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.

Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.

Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi

Nawasilisha

UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Siku akimwambia ufe kidogo utakufa?
 
Mwambie yeye ndiye mwenye uwezo wa kukufanya unenepe as unampenda, akikubali uta relax then utanenepa.

Ila huyo binti atakuwa anaringa sana mkuu.
 
Mkuu, hata ahangaike nayo haya yote uliyo mshauri na akapata majibu chanya, ndoa haipo.
Na kama huyo jamaa ana mwili kama wa Polepole wa ccm hata alale na hivyo vyakula kitandani hanenepi ng'o.
Awaachie tu waoaji wamuoe huyo kisukunuku
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji16][emoji16]kisukunuku
 
Ila mwanamke akiwa hakupendi atakupa visababu vingiiii

Mkuu huyo mwanamke hakupendi tunajijua tukiwa hatumpendi mtu
Shunie kausha muache amnyonye damu mpaka za uti wa mgongo[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Nimekumbuka kitu nimecheka sana.

Mimi sio mtaalam ila kwa uzoefu hapo OP ale vyakula vyenye sukari nyingi kama sodas, cakes kila siku. Ndani ya wiki 2 tu anapata mchumba wake.

View attachment 1767206
Huyo demu anataka aringishie mashost zake kuwa bwana ake ana kitambi ujinga ujinga yaani

Na kiukweli huyo demu hampendi hata kiduchu kama hii stori sio chai[emoji57][emoji57]
 
AMKA!!!

Mwanamke anayekupenda Kwa dhati hawezi kukupa sharti la kijinga kama hilo na kama je hujajaaliwa kunenepa?akili nyingine za kipunguwani kabisa!Mtu hapendewi mwili kwani mwili unabadilika kutokana na umri na maisha hujui kesho yako(mungu aepushie mbali) labda unaweza kupata ajali ukawa kilema si atakwambia angekupenda ungelikuwa na miguu?

Utakapopata atakayekupenda kwa dhati hakutokuwa na vipingamizi.Wakati mwengine sisi binaadamu wabishi,hapo Mungu anakuepushia kitu lakini we bado umengangana tu.Kuwa na subira Mungu atakuletea mtu atakayekupenda kwa jinsi ulivyo na mapungufu yako!
 
Na ukinenepa halafu akakukubali kwa hayo mahusiano lazima ukonde, na ukikonda anakukataa😂😂😂
 
Well mie ni mvumilivu kuliko neno lenyewe, i can endure for years ila kupitia huo muda you might have exposed yourself to me then kupitia mwenendo wako i might decide to call it quits kabla hata sijafikia mwisho. Sasa huwa nachagua kutopoteza muda mwingi!

There a lot of women out there some might like you straight away and some can make you feel like shiyt sababu tu unaonesha kuwataka tena kwa nia nzuri tu ya kujenga mahusiano imara nao! Kila mtu ana haki na hitaji la kupendwa right..Hawa ndio wengi huangalia looks, kazi au gari kama unalo then as long as najua ndio vitu unanipima navyo why should i wait to get wasted! Ndio hapa unalazimika unenepe ili ukubaliwe, umtoe out, umpe hela za matumizi hapo yote unatafta jibu la kuambiwa i love you too! Just that!? Hell Noh!

I always choose the ones who like me straight away kwa jinsi nilivyo! It saves alot of time and expenses! Hamna alie bora kuliko mwenziwe we all humans.
Zaidi ya mbususu tamu mwanamke ana kipi cha ziada cha kumoffer mwanaume?[emoji1787][emoji16][emoji16]....hizi ni kauli za wanaume
 
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.

Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Haya maneno yako utakuja kuyakumbuka siku moja na utajiona fala sana, haya maneno kama yako basi unapotesea sana ndugu, mwanaume mwenye akili sawa sawa hawezi kuongea utumbo kama huu.
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Acha kumdanganya mwenzio wengine hata wale nn hawanenepi!
 
Back
Top Bottom