Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Kila siku kunywa vijiko vitatu vya hamira kwa mwezi mmoja,halafu utaona umepata mwili wa JB
 
Reactions: BAK
Hakikisha unakula kila mara na tumbo lako limejaa Mossikama umevimbiwa baada ya mwezi lete mrejesho.
 
Kuna bro wangu mmoja tunamwita bonge (ni mwembamba kinyama). Huyo hata umlishe nini hanenenipi yani utaona vishavu tu vimevimba kidogo ndio dalili kuwa ameridhika.

Sijui alikulaga malboro?

Acha roho mbaya ndio maana ndugu yako anakonda hakuna chakula cha masimango kinachomnenepesha binadamu yeyote
 
Mwambie utajengeka mwili ukishakuwa nae. Aishi na wewe, akupikie chakula vizuri, akuliwaze ukisharidhika tu mwili utaanza kupendeza na utaanza kuvutia.
 
Mkuu, huoni kama ameshakudharau kiasi kwamba ameanza kukosoa hata jinsi Mungu alivyokuumba? Hilo ni tusi brother kwasababu kama hapendi wembmba hakua na haja ya kukuambia unenepe. Angekukatalia tu. Unadhani mtaa mzima wewe pekee ndiye mwembamba uliyemtongoza na anataka kukubalia?
 
Unene haujawahi kumpendeza binadamu!!
 
Badilisha mavazi tu. Anza kutupia majaketi makubwa ya kinyamwezi. Utanishukuru baadaye

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…