andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]Polepole kanenepa haswa sio utani
Mtoe kwenye list kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]Polepole kanenepa haswa sio utani
Mtoe kwenye list kabisa
Kila siku kunywa vijiko vitatu vya hamira kwa mwezi mmoja,halafu utaona umepata mwili wa JBKaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.
Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi
Nawasilisha
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Yule kanawiri ila uso umebaki wa bushman wa kalahari desert.Polepole kanenepa haswa sio utani
Mtoe kwenye list kabisa
Ina shingap?Anajua mpaka account yangu ina shilingi ngapi. Kama tatizo lingekuwa ni hela angeniambia maana mpka PIN ya ATM yangu anayo
Kuna bro wangu mmoja tunamwita bonge (ni mwembamba kinyama). Huyo hata umlishe nini hanenenipi yani utaona vishavu tu vimevimba kidogo ndio dalili kuwa ameridhika.
Sijui alikulaga malboro?
SimuachiiiiiAtakutesa buree mkiwa kwenye ndoa,achana nae sio wako...
Unataka uchukue nafasi yake?ina shingap?
Hayo hayakuhusu niachie mimiUkisha kuwa na kitambi atakukimbia
Ungekua na hiyo hela hata asinge waza kabisa kuhusu wembamba wakoUnataka uchukue nafasi yake?
Mkuu, huoni kama ameshakudharau kiasi kwamba ameanza kukosoa hata jinsi Mungu alivyokuumba? Hilo ni tusi brother kwasababu kama hapendi wembmba hakua na haja ya kukuambia unenepe. Angekukatalia tu. Unadhani mtaa mzima wewe pekee ndiye mwembamba uliyemtongoza na anataka kukubalia?Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic
Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana lakini vyote nimevishinda na sasa kimebaki kimoja tu kwamba yeye hapendi wanaume wembamba so amenipa masharti kwamba niongezeke mwili kidogo ili anikubali niwe mume wake.
Nakuja hapa kwenu kuwaomba mbinu hasa za kiafya za namna ya kuongeza mwili kwa muda mfupi
Nawasilisha
UPDATES
Nahitaji ushauri wa namna ya kunenepa wala sio kumuacha. Maana naona kuna watu wanakuja mara ooh hakupendi, mara ooh hakuna ndoa hapo, mara hakuna mapenzi ya masharti.
Jamani kama ni mapenzi kuniendesha basi huyu binti ameshanimaliza imebaki kuniuwa tu. Nampenda na simuachi kama ni kuniua basi nifeeeee.
Unene haujawahi kumpendeza binadamu!!Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.