Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

Mkuu, hata ahangaike nayo haya yote uliyo mshauri na akapata majibu chanya, ndoa haipo.
Na kama huyo jamaa ana mwili kama wa Polepole wa ccm hata alale na hivyo vyakula kitandani hanenepi ng'o.
Awaachie tu waoaji wamuoe huyo kisukunuku
[emoji3][emoji3]wabongo mnamaneno
 
Unanenepa huko na pesa kwa mfuko. Hapo hakuna mapenzi halafu uenda unaoa mtoto mchunguze. Ya walimwengu ni mazito sana. Kanunue pumba za mahindi kula kila siku rejea mfano wa popi wanavyonenepa wakila pumna.
 
Ni kula tu ni kurelax. Mwaka jana nadhani July nilichangia thread flani kuwa mimi nina mwili hauna shukrani, ila napoandika hapa, nimetoka kuwa na 58 kg now nina 71 nimeanza kuwa na ka kitambi.
Shida nachoka haraka
Kitambi sikipendi
Jambo lililonifanya ninenepe ni kula, sipitishi mlo hata mmoja.
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho

Kwenye hiyo diet aongeze na mtori.

Mim namshauri amwambie kuwa akimkubalia tu itamfanya anenepe(sound mingi ). Mpaka hatua hiyo tayari huyo Ke kashakubali ukijiongeza kidogo utakuwa nae bila hata kunenepa.
 
Amwambie mtaalamu kamuelekeza amkubalie kwanza wakiwa wote ile furaha itamnenepesha

Si wanapendwa kudanganywa ampe stahiki yake kuna muda hawa viumbe ni kuwaongopea tu mpaka aingie kingi maana uhalisia hawaoni. Jamaa anaweza kunenepa na bado asiambulie kitu
 
☞ Njia zipi nitumie ili ninenepe?

Ungetoa thread ya [emoji2383]

Lakini mwenzetu umetoa vijisababu visivo na mashiko, umechefua watu ndo maana unakula za uso.

Unaonekana hujapevuka
Unaonekana Mdwanzi aiseh

Acha upewe makavu tu.

Au Wananzengo mnasemaje?
[emoji3]
 
Kula mishkaki ya nundu kwa mwezi mmoja utaleta mrejesho! Hakikisha unaila na ugali wa nguvu mida ya usiku!

Asubuhi piga supu daily na vyapati vyapati!

Mchana kula chips mayai + Kuku wa kukaangwa!

Fanya hii Diet kwa mwezi tu kisha utaleta mrejesho
Asisahau na bia mbili usiku kabla ya kulala..mwezi tu katoka kitambi..atarudi humu kuomba namna ya kupunguza mwili.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…