Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Pole mkuu ila jiandae tu uende kukutana na Muumba wako dunia siyo sehemu nzuri kabisa mimi ningejua siku yangu ya kufa ningefarijika sana kwasababu najua kabisa nitaacha hii dunia yenye kila aina ya uchafu
 
Kwanza pole ndugu yangu
Lakini kikubwa kinachonifurahisha kwenye huu uzi ni comments za watu juu ya huyu Yesu Kristo kama huamini anaweza ndugu basi angalia shuhuda za wanaokutia moyo.
Inuka hapo ulipo iambie hiyo cancer kwamba hutakufa, kuwa na imani na umtafute huyu Mungu kwa nguvu zako zote yeye ni mwamijifu naamini utakuja kutoa ushuhuda hapa.
Wanaoweza kuwa karibu nae kumtia moyo na kufanya nae maombi wasisite kufanya hivyo kama yupo tayari.
Unaweza sema amekata tamaa lakini kukata tamaa pia ni kazi ya shetani inafika sehemu hata nguvu ya kuomba mtu anakosa, tafadhrini sana mnaoweza kumtembelea na kufanya nae maombi ya mzigo Mungu awape nguvu na kibali. Amen.
 
Pole sana ndugu, sote ni wa mola na kwa hakika kwake tutarejea.
 
Ndugu kufa ni jambo la hakika sio lazima uambiwe na mtu.Unachotakiwa kukifanya nikufanya jitihada zitakazokufanya uishi nasio kuwaza utakufa kwasababu ilo nijambo lakila mtu.Kwaiyo angalia saikolojia yako isiathiri maisha yako vibaya zaidi kuliko tatizo ulilonalo.Pole sana.
 
Wana heri wao wafao katika BWANA! Natamani huo utabiri ungekuwa umepewa na Malaika Mkuu Gabriel! Hata hivyo jiandae kufa kifo chema! Waheri wao waijuao siku yao ya kufa!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mimi sija pata ugonjwa kama wako lakini nilipita kipindi hata Mimi mwenyewe nili jua huenda nitakufa lakini maombi na sala ni sawa tosha ukiwa na imani,Mungu aliye nitetea Mimi hakika anaweza kukufanyia njia nawe
 
Kwa maadili ya udaktari hili limekaaje?
Sijui sana coz mie sio daktari
folk tumia chai ya majani ya mstafeli asubuhi na jioni lkn pia kula na matunda yenyewe ya mstafele, kwa maelezo zaidi google tu kuhusu faida za majani ya mstafeli lakini unapofanya yote hayo usiache kumuomba Mungu yeye si kiziwi asisikie maombi yako....nasi pia tunakuombea upokee uponyaji kwa jina la Yesu
 
Sijui sana coz mie sio daktari
folk tumia chai ya majani ya mstafeli asubuhi na jioni lkn pia kula na matunda yenyewe ya mstafele, kwa maelezo zaidi google tu kuhusu faida za majani ya mstafeli
Nilimanisha kwa maadili ya udaktari wanaruhusiwa kumtaarifu mgonjwa taarifa kama hii moja kwa moja
 
Nilimanisha kwa maadili ya udaktari wanaruhusiwa kumtaarifu mgonjwa taarifa kama hii moja kwa moja
Inaweza kuwa sahihi au sio sahihi pia, mimi sio daktari so sijui which is which, lakini kiimani binafsi naona ni sahihi coz mtu unakufa kifo chema kabisa......
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

SHIKA NENO NAWE UTAISHI... GOD SAY YOU HAVE NOT BECAUSE YOU ASK NOT..
Kwa imani yangu ya dini unaweza ukairisha kifo unaweza ukapona.. Ndo maana mungu anasema njooni tusemezane... Ijapokuwa una imani kama chembe ya haradani unaweza ukaumbia mlima huu nenda ukatupwe kule.

ISAYA 38:1

1Wakati huo, mfalme Hezekia aliugua sana karibu kufa. Ndipo nabii Isaya mwana wa Amozi, akamwendea, akamwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu: Panga mambo yako sawasawa katika nyumba yako kwa kuwa utakufa, hutapona.”

Hakuna andiko katika Biblia linalotaja kuhusu “nafsi isiyoweza kufa” lakini biblia inataja kusemezana na mungu. Je wewe unasemezana naye nini? unasemezana naye kufa au kuwa hai kukamilisha jukumu lako duniani.

Methali 18:21
Kifo na uhai viko katika nguvu za ulimi;aWale wanaopenda kuutumia watakula matunda yake

Unataka kuishi alafu wakati huo huo unakuwa TAYARI NA KIFO

Yakobo 3:9, 10

Kwa ulimi tunamsifu Yehova,* aliye Baba, na bado kwa ulimi tunawalaani wanadamu ambao wameumbwa “kwa mfano wa Mungu.”a 10 Baraka na laana hutoka katika kinywa kilekile.Ndugu zangu, haifai mambo yatendeke hivyo.

AMINI UNAWEZA UKAPONA

 
Pole mkuu ila jiandae tu uende kukutana na Muumba wako dunia siyo sehemu nzuri kabisa mimi ningejua siku yangu ya kufa ningefarijika sana kwasababu najua kabisa nitaacha hii dunia yenye kila aina ya uchafu
\
kwa nini usijinyonge tu?
 
Mwenyezi Mungu akuongoze kuepuka ushirikina na kufuru kwa siku zako za mwisho, akupe subira kuushinda msongo wa mawazo. Vinginevyo sisi sote ni wa Mungu na hivyo kwake tutarejea
 
Mungu mwenye henzi hakuwai kuumba mtu kwa mfano wake alafu akamuacha. Na maandiko matakatifu yanakataa kufa katika umri wa ujana. Je ni makusudi ya Mungu ufe katika umri hui ? Kataa kifo cha kabla ya wakati kwa jina la Yesu . 2wafalme 17:1. Stisha kifo juu yako na upanue mipaka ya uhai wa roho yako katika mwili.
 
Ukiona hivyo jua una kazi muhimu sana hapa duniani n'a mambo makuu ya kushangaza ndio maana adui anataka kuukatisha ndogo zako kwa kukuuguza magonjwa ya ajabu. NINABATILISHA ROHO YA KIFO JUU YAKO KWA JINA LA YESU. AMINA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom