Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Daaaah nimejaribu kuvaa viatu vyako daaaaah aisee pole sana nimesoma hii post yako tangu Jana nalia tuuu

Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.

شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .

Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
[emoji295] أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk [quote uid=178096 name="folk" post=26598703]Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.

شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .

Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
[emoji295] أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk kupata ujira (thawabu) ujira (thawabu)[/QUOTE]

Hayo ni maoni tu ya madaktari ambayo ni kichume na Mungu. Anayetoa na kutwaa uhai ni Mungu pekee, jifariji kwamba kila MTU unayemuona hapa duniani akiwemo huyo daktar lazima ataonja mauti. Jipe moyo kwamba huyo ndio njia sahihi kwenda kuonana na Muumba wako Tubu acha kunung'unika mkaribia Mungu ukiwa hai nae atakupokea kwenye Utukufu wake.

Kama tukifa twafa kwa Bwana na kama tukiishi twaishi kwa Bwana.

Hatuna haja ya kuogopa bali tujitahidi kuishi maisha matakatifu yatakayktupatia amani ya nafsi. Na hapo ndipo tutakuwa na ujasiri wa hata kukikabiri kifo kwa vile kitakuwa na uwezo kwa miili yetu tu na si roho zetu.

Pole sana mpendwa. Amini Mungu yupo na anao uweza mkuu.

Mungu na aendelee kukutia nguvu ili upate ujasiri wa kuishinda hofu.

POLE SANA mkuu Folk! Naamini kwa maombi haya yanayoendele kwenye huu Uzi, MUNGU atatusikia! Na hapa Ndipo JF inapojidhihirisha kua ni FAMILIA!

TUNAOMBA MUNGU ATUSAIDIE KATIKA HILI! Amina

Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Magonjwa sio kazi ya Mungu. Baada ya Adamu na Hawa kuasi maagizo ya Mungu pale Edeni, ndipo shetani akapata mamlaka ya kutawala wa dunia hii. Biblia inasema kazi ya shetani ni kuua, kuchinja na kuharibu. Magonjwa ni kazi ya shetani. Mungu kwasababu alitupenda wanadamu hata baada ya kuasi, alimtuma Yesu Kristo ili kumuokoa mwanadamu kutoka kifungoni mwa shetani. Sasa kupitia Yesu Kristo, kuna afya njema na pia uzima wa milele.

Ii kutoka kifungoni mwa shetani, inapaswa mtu ampokee Yesu Kristo awe Bwana na mokozi wake. Hiyo ndio hatua ya kwanza. Hili nila msingi sana. Yesu alikuja na kufa msalabani kutuokoa na hukumu ya milele. Hii ina maana mtu akiwa ndani ya Kristo, hata akifa anao uzima wa milele.

Ndani ya wokovu kuna baraka za aina zote ikiwepo uponyaji wa mwili. Roho yako ikishapona au ukishaokoka, unafanyika mtoto wa Mungu. Kama mtoto wa Mungu, unakuwa mrithi wa baraka zote zilizo ndani ya Kristo ikiwepo uponyaji.

Ki msingi hakuna, binadamu hata mmoja mwenye haki. Tunahesabiwa haki ndani ya Yesu tu. Kwa hiyo usikiji hukumu sana kwa namna yoyote ile. Ukiwa ndani ya Kristo, ya kale yote yanapita unakuwa mpya kabisa. The past doesn't count at all. Kingine weka imani yako kwa Yesu. Mwambie Yesu, sitaki kufa sasa. Maana Mungu aliahidi miaka themanini na zaidi ya hapo kwa wenye nguvu. Kila siku kiri uponyaji. Jitabirie sitakufa, Bali nitaishi. Wakati huo, ukiona imani inapungua, mwambie Yesu akueleze ni wapi uende kwenye watumishi wake waliopewa mamlaka wapate kuomba pamoja na wewe. Kiri uzima, sema sitakufa nitaishi nimtumikie Yesu. Mwambie Yesu ukiniponya nataka nikutumikie. Nakuahidi Yesu atakumfungulia mlango wa uponyaji. Kumbuka madaktari wanatibu lakini Yesu anaponya.

Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mkuu Sasa ni wkat wa kupiga hta wenye Ngoma.tena kavu kavu

Ni heri yako wewe umezitambua siku ulizobaki nazo.. Pole sana kaka

Kaka okoka umpe Yesu maisha yako hutakufa ili utasimulie matendo ya Mungu aliye mkuu. Muone mtumishi wa Mungu yeyote aliyejaa imani na Roho Mtakatifu atakuombea na kupona nenda kwenye kanisa la gamanywa au nenda kwa mwakasege. Mtafute Mungu tafadhali ondoa maisha ya kufa Mungu yu hai

Dah inaumiza sana hii kitu pole sana mkuu ni kipind unachotakiwa kuishi maisha ya kumpendeza zaidi mungu kuliko dunia.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom