Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Pole sana kiongozi, mi naamini hufi ndan ya miezi minne mungu ndio anapanga
 
Folk, una heri wewe, na umebarikiwa kuijua siku ya kufa i karibu, at least unayo nafasi ya kujiandaa kiroho kukutana na Muumba wako. Ni heri kwako maradufu kuliko kufa kifo cha ghafla mfano ajali ya gari ama heart attack. Jipe moyo mkuu, jipatanishe na Mungu, mbingu ni yako!

Candle in the wind!
 
MFALME DAUDI alipatwa na maumivu makali ya kihisia na ‘fikira nyingi zinazofadhaisha.’ Hata hivyo, hakuwahi kutilia shaka kwamba Muumba anatuelewa sana. Aliandika hivi: “Ee Yehova, umenichunguza kabisa, nawe unanijua. Wewe mwenyewe umepata kujua kuketi kwangu na kusimama kwangu. Umeichunguza fikira yangu tokea mbali. Kwa maana hamna neno hata moja katika ulimi wangu, lakini, tazama! Ee Yehova, tayari unajua yote.”—Zaburi 139:1, 2, 4, 23.

Sisi pia tunaweza kuwa na hakika kwamba Muumba wetu anatuelewa na anaelewa jinsi kushuka moyo kunavyoathiri akili na mioyo yetu isiyo mikamilifu. Anajua kinachofanya tushuke moyo na jinsi tunavyoweza kukabiliana na hali za sasa. Isitoshe, ametuonyesha jinsi atakavyoondoa kushuka moyo kabisa. Hakuna mtu mwingine yeyote anayeweza kutusaidia hivyo isipokuwa Mungu wetu aliye na huruma “mwenye kufariji wenye huzuni.”—2 Wakorintho 7:6,
Amina
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mkuu,hao ni madaktar wamesema kwan Mungu umemuuliza yy anasemaje? Au shetan amekuletea hzo habar na ww umekaa kmya uksubr kifo? Kataa kabsa!! kabsa!! kabsa!! Mungu alituahid tutaish miaka 70 Ww tayar una miaka 70?
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.

شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .
""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
☀ أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk kupata ujira (thawabu)
 
Kuwa uyaone yaani binadamu kutabiri kifo hii sio sahihi ni mungu pekee ndie ajuaye siku ya kufa kwetu
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

folk pole sana mkuu.

Usihofu kuhusu utabiri wa daktari.Ushauri wangu kwako ni kuendelea na maisha yako kama kawaida na wala usiiwaze hiyo report.Hizi taarifa huwa ni makadirio tuu hivyo usihofu.Kama una tiba unayotumia basi endelea kuitumia bila kuacha.
 
Pole sana ndugu yangu, Mtegemee Allah aliyekuumba!na kwa uwezo wake insha Allahu taalaa utapona.

شمسه زوجة ابراهيم الغرير تقول :-
Shemsa mke wa Ibrahim al-ghariri anasema:-
لا يجوز لأحد أن يموت من السرطان بعد الآن إلا بإهمال منه .
""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Haifai kwa yeyote afe kwa maradhi ya Cancer baada ya sasa ispokua ni kwa uzembe wake.

(١) الخطوة الأولى :-
(1) khatua ya kwanza:-
وقف تناول للسكر ومشتقاته ، فبدون السكر في الجسم ستموت الخلايا السرطانية
Simamisha kutumia sukari na vinavyozalisha sukuri hiyo, kwani bila sukari mwilini bacteria wa cancer wanakufa.

(٢) الخطوة الثانية :-
(2) Khatua ya pili:-
مزج فاكهة الليمون كاملة مع كوب من الماء الساخن وشربه لمدة (1 - 3) أشهر أول شيء قبل تناولك لأي طعام كل صباح ومساء ، بإذن الله سيختفي السرطان من جسمك لأنه لا يستطيع أن يعيش في جو قلوي وقاعدي كالذي يوفره عصير الليمون الساخن ، وفقا لما ذكرته كلية ماريلاند للطب ، بإنه أفضل 1000 مرة من العلاج الكيميائي ..*
Changanya limao nzima na kikombe 1 cha maji ya moto na unywe kwa muda wa kuanzia mwezi (1-3) kiwe nikitu cha mwazo kabla ya chakula chochote asubuhi na jioni. Kwa uwezo wa Allah cancer itapotea mwilini mwako; kwani bacteria wake hawawezi kuvumilia ukakasi wa limao na maji machem kila siku.
Hii nikulingana na uchunguzi wa chuo cha Irelanda cha mambo ya u doctor. Kwamba tiba hiyo nibora mara 1000 kuliko tiba ya chemical.
(٣) الخطوة الثالثة بديلا للخطوة (٢)
(3) Khatua ya tatu mbadala wa ya (2)
وهي عبارة عن شرب 3 ملاعق من زيت جوز الهند العضوي ، صباحا ومساء وسيختفي السرطان من جسمك بإذن الله
Nayo inaelezea kua nikunywa vijiko 3 vya mafuta ya Nazi Asubuhi na jioni.
Itapotea cancer mwilini mwako kwa uwezo wa Allah. In shaa Allah
يمكنك إختيار أي من العلاجين (٢) أو (٣) مع تجنب السكر ..
Unaweza kuchagua njia moja wapo kati ya (2) au (3) pamoja nakujiepusha na kutumia sukuri.
☀ أسمحوا للجميع من حولكم أن يعلم بهذه الخطوات.
Wapeni chansi wenzenu nao waweze kutambua khatua hizi za tiba ya Cancer.
فالدال على الخير كفاعله
Ajulishae jambo la kheri nikama alielifanya, ktk kupata ujira (thawabu)
Mkuu kansa haisababishwi na bakteria jaribu kupitia vitabu vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom