Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mkuu usikate tamaa kisa mwanadamu ameshindwa kukupa suluhisho mgeukie Mungu ndio jibu la kila kitu

Hata mimi udogoni nilikuwa na throat complications nikaambiwa bila operation naweza kufa sababu ya kushindwa kupumua vizuri...... Nakumbuka mama alinifanyia maombi na operation sikwenda kwa imani baada ya miezi michache ugonjwa ule ulitoweka ghafla na haujawahi kurudi ni miaka zaidi ya 20 sasa imepita ila bado nipo mzima bila tatizo lolote la koo mpaka leo

Mungu ndio kila kitu haijalishi mwanadamu amesema nini ila Mungu atapindua..... Mjaribu utakuja kuleta majibu hapa hiyo miezi 4 itageuka MIONGO 4.....
 
Mungu akutie Nguvu. Soma zaburi ya 23. Nakushauri uingie google usome tiba ya cancer kwa kutumia majani mti wa stafeli. Kuna literature ya kufaa sana. Kama utahitaji Msaada zaidi piga simu 0766805757.Mungu akubariki.
 
Wasalimie wote, waambie Hali si shwari duniani, waambie maradhi yamezidi sana, waambie watu wamekuwa kama wanyama, naomba ukibahatika kukutana na muumba muulize Kuna watu hivi HUKU duniani Kuna watu aliwapa kazi za kutesa wenzao AU kuwaua, muulize inakuwaje binaadamu aliyemuumba kwa mikono yake anakuwa na roho ya kinyama kiasi cha kwenda kumtoa roho binaadamu mwenzake kwa ajili ya mambo yakipumbavu kabisa yanayoitwa maisha? Muulize vipi kuhusu familia za haowaliouliwa, muulize nini adhabu ya hawa watu,bends Iraqi, nenda Libya, njoo, mambo ni unyama unyama, muulize nini adhabu ya aliyemuua MUME wa MTU AU MKE watu, AU baba ya MTU, nikiitizama dunia machozi hunitoka, Libya WATOTO wanakufa, wazeee, wanawake, Mwisho nakuomba labda ujaribu kumuomba tena huku unalia aje, ashuke aje ashuhudie mwenyewe
 
Hili naona halipingiki
Umeshatiwa moyo sana
Kwa Mara ya kwanza nitaitikiwa R.I.P yangu na mhusika
R.I.P. broo
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

0754206196
 
Sio kweli. Wanatumia vipimo. Mm mama yangu alikufa kwa kansa hii hii. Tuliambiwa kuwa ana siku 40 za kuishi. Na yeye aliambiwa pia na mama aliaga watu wote na kusameheana na wale ambao alikuwa nao vibaya . Mm nlienda kuandaa mazishi ya mama kabla akiwa hai zilivyobaki wiki moja. Na nlimuaga kuwa naenda kuandaa mazishi yake. I was happy mama alikufa akiwa kaweka mambo sawa. Na sikulia hata kidogo
Huyu mtu anahitaji busara zenu za kumfariji sio kumuumiza kwa kumuhakikishia kifo ungekuwa wewe ungependa kusikia hayo unayoongea kama ni ukweli baki nao mpe faraja huyu mgonjwa
 
Anaye
Wasalimie wote, waambie Hali si shwari duniani, waambie maradhi yamezidi sana, waambie watu wamekuwa kama wanyama, naomba ukibahatika kukutana na muumba muulize Kuna watu hivi HUKU duniani Kuna watu aliwapa kazi za kutesa wenzao AU kuwaua, muulize inakuwaje binaadamu aliyemuumba kwa mikono yake anakuwa na roho ya kinyama kiasi cha kwenda kumtoa roho binaadamu mwenzake kwa ajili ya mambo yakipumbavu kabisa yanayoitwa maisha? Muulize vipi kuhusu familia za haowaliouliwa, muulize nini adhabu ya hawa watu,bends Iraqi, nenda Libya, njoo, mambo ni unyama unyama, muulize nini adhabu ya aliyemuua MUME wa MTU AU MKE watu, AU baba ya MTU, nikiitizama dunia machozi hunitoka, Libya WATOTO wanakufa, wazeee, wanawake, Mwisho nakuomba labda ujaribu kumuomba tena huku unalia aje, ashuke aje ashuhudie mwenyewe
za kumwambia MUNGU hayo yoote uliyoorodhesha hapo ni yeyote aliye hai km mleta mada, wewe na Mimi ndio tunaoweza kujibishana au kumpa hoja zetu na akazijibu kwa njia ya maombi Mungu ski kiziwi anasikia yote na anaona yote Bali hawezi kufanya lolote mpaka asikie sauti zetu.......Yer:33-3 anasema niite nami nitakuitikia Mani nitakuonyesha mambo makubwa magumu usiyoyajua
 
I know, but time is running na tumwambie ya nini wakati anayaona au unahisi yako mbali sana ndo maana HUKU chini aoni? Ndo maana ni kamtuma huyo mwenzetu anaeenda kuonana nae amwambie mambo haya, aka mwambie kuhusu Iraq na pia asisahau kuhusu libya
 
Wasalimie wote, waambie Hali si shwari duniani, waambie maradhi yamezidi sana, waambie watu wamekuwa kama wanyama, naomba ukibahatika kukutana na muumba muulize Kuna watu hivi HUKU duniani Kuna watu aliwapa kazi za kutesa wenzao AU kuwaua, muulize inakuwaje binaadamu aliyemuumba kwa mikono yake anakuwa na roho ya kinyama kiasi cha kwenda kumtoa roho binaadamu mwenzake kwa ajili ya mambo yakipumbavu kabisa yanayoitwa maisha? Muulize vipi kuhusu familia za haowaliouliwa, muulize nini adhabu ya hawa watu,bends Iraqi, nenda Libya, njoo, mambo ni unyama unyama, muulize nini adhabu ya aliyemuua MUME wa MTU AU MKE watu, AU baba ya MTU, nikiitizama dunia machozi hunitoka, Libya WATOTO wanakufa, wazeee, wanawake, Mwisho nakuomba labda ujaribu kumuomba tena huku unalia aje, ashuke aje ashuhudie mwenyewe

Huenda ukatangulia wewe so ni vizur hayo maagizo ubaki nayo kumbuka hatujui siku wala saa wala pahala
 
Wewe hujasoma vizuri, muhusika ameambiwa na MADOCTOR na yeye kaja kutuambia hapa, pili mimi si muoga wa kufa, maana ni ujinga wa Hali ya juu kukiogopa kifo, wewe huna ndugu zako waliokwisha kufa?
 
I miss my friend O.,,, the crew misses you homie,, since, our nursery school days till we graduated, we were more than family....
O died of pancreatic cancer in India in 2015..
U have reminded of him,,,
Inasababishwa na nini hii?
 
Duh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;

Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.

Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!

Death is painless ndugu.

Tangulia mkuu, tunakuja!

Candle in the wind.

Love you folk
Duuh... Mkuu nimesoma huku nasisimka. Kiukweli maandiko yako hunipa nguvu nakufanya nisiogipe kifo. Be blessed.
 
Kufa au kuishi anajua mungu ,tu ,usijipe uhakika wa kufa asilimia zote,, mi siwezi kukuombea uende salama ,,hali ungali hai ndugu ,,pole Sana na kuugua sio kufa ,,mponyaji ni mungu tu ,,kwani wazima wangapi tena wasio na dosari, tunawazika kila siku ,na wapo wagonjwa wasiojiweza hata kutembea ila wapo na hao wanatabiliwa watakufa kesho ,na kesho inapita,,

Mungu akubariki ndugu [emoji120]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom