Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Ebu na mimi nisaidie ndugu huyo daktari wakoNdugu folk, usiogope bado lipo tumaini kubwa sana njoo inbox nikupe daktari wa kumwona na shida yako itapata jibu mwafaka
Sijui sana coz mie sio daktariKwa maadili ya udaktari hili limekaaje?
Nilimanisha kwa maadili ya udaktari wanaruhusiwa kumtaarifu mgonjwa taarifa kama hii moja kwa mojaSijui sana coz mie sio daktari
folk tumia chai ya majani ya mstafeli asubuhi na jioni lkn pia kula na matunda yenyewe ya mstafele, kwa maelezo zaidi google tu kuhusu faida za majani ya mstafeli
Inaweza kuwa sahihi au sio sahihi pia, mimi sio daktari so sijui which is which, lakini kiimani binafsi naona ni sahihi coz mtu unakufa kifo chema kabisa......Nilimanisha kwa maadili ya udaktari wanaruhusiwa kumtaarifu mgonjwa taarifa kama hii moja kwa moja
SawaInaweza kuwa sahihi au sio sahihi pia, mimi sio daktari so sijui which is which, lakini kiimani binafsi naona ni sahihi coz mtu unakufa kifo chema kabisa......
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Mbere naye kawaje kwani?RIP Mbere, upumzike kwa amani
\Pole mkuu ila jiandae tu uende kukutana na Muumba wako dunia siyo sehemu nzuri kabisa mimi ningejua siku yangu ya kufa ningefarijika sana kwasababu najua kabisa nitaacha hii dunia yenye kila aina ya uchafu