Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
mkuu dalili zipi ulianza kuziona hadi ukajulikana kuwa una tatizo hilo
 
Kukata tamaa ni simu kabisa. Hebu nenda maombi; achana na mambo ya kienyeji. Ukibadilisha attitude na kuwa positive hata kama unakufa utakufa maisha ya furaha kabisa.

Mungu akusaidie
 
Mbona upo kimya sana rafiki?
Unasoma kimya kimya au ndo upo kufani? au matibabuni?
Pole sana na nasikitika kwa moyo hasa...ni basi tu!
Ukiweza tuambie basi japo neno !
Namuomba Mungu akupe wepesi na ahuweni...angaak kama ni kifo basi kisiwe na maumivu yaliyoshindikana!
Nayajua maumivu.......nayajua....mmh...
 
be strong ,keep faith..........but who is a doctor?........jus human being as you are......so he has changed his professional and become prophet? .......no......ignore him
siku hizi hasa ughaibuni wanakuambia peupe. Ni vizuri ili kujiandaa
 
jitahidi usome hii pamplet halafu kwa maswali yako yote kuhusu wafu wanakwenda wapi,ubatizo ni nini,magonjwa na tumaini la Yesu ukiwapata watakufundisha vzr sana ,usipuuzie.
 

Attachments

Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Mkuu usiseme hivyo.
 
MUNGU anaponya kwa Jina la YESU KRISTO. HE sent his Word, to heal our diseases.
 
katika uzi wakonwa mwanzo kuna mdau alitoa ushuhuda kuhusu Mold ulifuatilia?
 
Bado miezi mitatu mkuu,,,uko salamaaa kweli mpaka sasa maaana naona uko kama kmyaaa hv?..

Alafu hyo cancer naambiwa kuwa ukiwa na HIV ndo wengi huwa wanapata hyo cancer stage 4 inamaana wewe upo hatarini kufa.

Pole sanaaa mkuu.
 
Kupitia uzi huu kuna members sikuwahi kufikiria kama wana roho ya utu lakini wamesympathize kinoma.

Anyway, kumbe nimegundua huwa ni kujitoa ufahamu tu.
Najua unanisema mie aiseeeee....[emoji20] [emoji20]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…